Search results

  1. N

    Nyumba ya bei rahisi inauzwa

    Kuna nyumba milioni 20 ila ipo uswahilini vingunguti. Kama unataka kukaa uswazi deal hilo
  2. N

    VIWANJA 20m x 20m. Bei poa ya kutupa!!! Unapewa na Hati ya kumiliki

    Mie nina kiwanja mitaa hiyo heka 1 jirani na vikindu mjini nauza milioni 3. Saabu ya kuuza natafuta ada ya chuo. Hati ipo na ikiwezekana tuuziane mahakamani kwa usalama zaidi.
  3. N

    Kiwanja: Kitunda Kivule - Tshs 2,500,000 (mita 20x23).

    mie nina kiwanja/shamba la hekari moja nauza kwa milioni 2 unusu.Kama vp PM.
  4. N

    Kuolewa na Mzungu Tanzania, ni Ticket ya U-celebrity au Njaa?

    Kuna wengine hapo wala hawajaolewa na hao wazungu wameishia kuzalishwa tu na kuachwa maana hao wazungu walikuja bongo kwa mkataba wa kazi baada ya mkataba kuisha wamerudi kwao na hao wadada kuachiwa machotara.
  5. N

    Nyumba inauzwa.

    Kiwanja kimepimwa na hati miliki ipo. Kwa maelezo zaidi piga simu na ikiwezekana ukaione.
  6. N

    Nyumba inauzwa.

    Nyumba inauzwa ipo gongo la mboto mwisho wa lami, ina vyumba 4, jiko choo na uwanja mkubwa.Bei ya kuuza ni milioni 20.Mwenye kuhitaji na kutaka kuiona apige simu namba 0769 393533 hii ni namba ya mmiliki wa nyumba.
  7. N

    Soma hapa tafadhali!!

    Mie nachukua Bachelor of commerce in accounting.
  8. N

    Soma hapa tafadhali!!

    Wanajamii forum natafuta sehemu ya kufanyia field,nipo chuo kikuu cha dodoma nasomea B.com. Tumepewa wiki 2 ili tutafute sehemu za kufanyia field, kwa sasa nipo hapa Dar nimekuja kutafua hiyo sehemu, and then nikishaipata mwenzi July ndio nitakuja kufanya filed. Kwa kuwa hapa jamii forums kuna...
  9. N

    Jamani mbona wahamihaji haramu ni wengi Sana Tz??

    Hakuna lolote wala hawapati ukazi kihalali kuna watu wanajilipua kwa kujifanya wakimbizi ili wapate makaratasi. Wengine wanafunga ndoa za biashara na ni risk kweli kweli hadi wengine walikufa huko Detroit kwa kufunga ndoa za makaratasi na watu tofauti halafu wakapigwa risasi wote mtu na mchumba...
  10. N

    Jamani mbona wahamihaji haramu ni wengi Sana Tz??

    Wewe Omega hapo juu kweli umenena nyie wenyewe mnaotoa comment hapa msikute mpo illegal kwenye nchi za watu. Hao illegal immigrant in Tanzania nao wanatafuta maisha kama nyie mnavyotafuta maisha huko majuu.Hebu acheni kuwasema kama vp rudini home muwafukuze.
  11. N

    Mzee Malecela atangaza kutetea jimbo lake!

    huyu mzee mroho wa madaraka sana asipoangalia atakuja kuangauka kwenye kampeni.
  12. N

    Big Brother Africa 2009: The Revolution

    Eliza ni ushamba hakuna kitu kingine hata kama ana boyfriend mzungu naona huyo mzungu ni choka mbaya. Mnakumbuka siku ya kwanza alivyokuwa analia lia kwamba hakwenda shule kwa kuwa hana pesa, kama mzungu angekuwa na pesa asingelia lia kivile. Inabidi awe serious kama anataka pesa, aondoe...
  13. N

    Huyu Mwanamke hivi nimfanyeje jamani?

    Hata mie siku zote huwa najua ni mwanamke huyu.
  14. N

    tatizo la kutojisikia kula.

    njaa nasikia ila sina hamu ya kula kabisa.
  15. N

    tatizo la kutojisikia kula.

    sina stress yeyote. Mazoezi nafanya ya kutosha tu.
  16. N

    tatizo la kutojisikia kula.

    sijapungua uzito, na wala sina matatizo ya homa.
  17. N

    tatizo la kutojisikia kula.

    Natumaini wazima wana JF, Mimi nina tatizo la kutojisikia kula chakula, sipati hamu ya kula kabisa. Sasa yapata miezi 6 nina hili tatizo. Nimetumia vidonge vya vitamini B lakini bado hilo tatizo lipo. Tafadhali anayefahamu njia ya kuliondoa hili tatizo aniambie.
  18. N

    EX-BF ananitaka tena na wakati kaoa tayari, nifanyeje?

    Loh! mie mgeni humu kichakoro. Maana sijajua vizuri jinsi ya kutumia hizo Quote. NIfundishe ndugu yangu
  19. N

    Forgiveness..?

    tehe tehe tehe
  20. N

    EX-BF ananitaka tena na wakati kaoa tayari, nifanyeje?

    cha msingi wewe Pretty inabidi utulie, ili nawe uje kumpata wa kwako.
Back
Top Bottom