Search results

  1. Bzimana

    Kauli ya Waziri wa Elimu ya kwamba walimu wafanye mtihani kabla ya ajira ni ya udhalilishaji

    Kama engineers wanafanya..! Pamoja na kada zingine, kwanini nyie mnahofu? Je! Ni uwezo mdogo?
  2. Bzimana

    Madai ya Janeth Shayo, Mkazi wa Uru, Moshi, kutosikilizwa

    Akili zako ni ndogo, pia utasema kwanini hao watuhumiwa waziri asiwahoji yeye.🙄🙄🙄
  3. Bzimana

    Kibaraghashia kitambulike kama vazi rasmi Mashuleni

    Kweli kabiisa, naunga hoja
  4. Bzimana

    Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

    Baba wa mtoto hakuwa wa ndoto yake, kwanini alimpatia?
  5. Bzimana

    Rais Samia jenga barabara ya njia nane Dar to Mwanza, Morogoro to Mbeya, Dar to Arusha

    Unaonaje ugombee hio nafasi ili uje utujengee hizo njia nane...!!!!! Wewe kama mwenyekiti/Rais wa familia yako, umetekeleza njia nane kwenye familia yako
  6. Bzimana

    Wazazi wa wanafunzi Shule ya Sekondari BUJUNANGOMA, tumechoka na Michango, Rushwa, Utumikishwaji wa watoto wetu shuleni

    Mtoa mada, una elimu gani na umri gani? Wasilisha changamoto zako kwa Afisa Elimu Kata, akishindwa uende kwa Afisa Elimu Wilaya, akishindwa muone mkuu wa wilaya au DED. ILA KWA CHANGAMOTO HIO, HATA UKIMUONA MWENYEKITI WA KIJIJI anaweza kuwasaidia.
  7. Bzimana

    Ipi ni 'sexual fantasy' yako?

    Hamkuwa mnaenda kusoma, ila kupiga chabo
  8. Bzimana

    Idara ya Elimu Msingi wilaya ya Kwimba huu ni Uhuni na Udhalilishaji wa Walimu

    Wewe ni Mwalimu usie na akili. Sijui unafundisha nini watoto wetu huna uadilifu na uvumilivu. Hivyo hata watoto wetu unawafundisha tabia za ukosefu wa uadilifu na uvumilivu
  9. Bzimana

    Watu wanaomlaumu Vicky Kamata, wanadhani Magufuli alipomtumbua Dkt Servacius Likwelile alimuacha na hela. Bila kujua alilelewa na Vicky

    Kwa sisi watu wa kawaida, ukikaa na mwanamke miezi miwili bila cheti cha ndoa ni mke halali akienda mahakamani kudai talaka mbona mtagawana hadi vijiko
  10. Bzimana

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Una umri gani wewe!! Mbona kama mvulana ambae unakula ugali wa shikamoo
  11. Bzimana

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Siwezi kuchukua emolo, akisimama anafika kwenye magoti yangu
  12. Bzimana

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mbona hata sio mzuri, emolo wako.
  13. Bzimana

    Tamu na chungu baada ya kujiunga na forever living products

    Hizo biashara za FLP ni wizi tu. Qnet hizo
  14. Bzimana

    Tamu na chungu baada ya kujiunga na forever living products

    Acha lugha za mstusi. Katangaze biashara hii kwenu. Mimi sitaki kusikia habari za Flp
  15. Bzimana

    Najitokeza natafuta kazi ya unasihi/ushauri nasaha kisaikolojia

    Ila ni kweli, nami namshauri ajiongeze kwa kusoma masomo ya bible, atakuwa vizuri katika kuhubiri, kwani atakuwa anacheza na akili za watu na kuwatabilia sana kutokana na elimu yake ya unasihi
Back
Top Bottom