Search results

  1. P

    Chanzo cha ufisadi na dawa yake

    Watu wengi wamekuwa wanajiuliza ni kwa nini sasa kuna ufisadi sana kuliko miaka ya nyuma,wengi wa viongozi wamekuwa matajiri katika kipindi kifupi sana,uku wakiacha wananchi walio wengi katika umasikini mkubwa wa kupindukia.chanzo kikubwa sana cha ufisadi kilianza miaka ya 1993 baada ya TZ...
  2. P

    Caught on Tape: Mkakati wa Mamluki wafichuliwa!

    Jamani ni lazima tuwe makini sana,Rwanda,na Burundi mambo yalianza kama hivi.kuna picha kubwa hapa inaendelea bila watu wengi kujua,Mwanakijiji kuwa makini sana na unachoandika kwani watu wengi sana tunakutegemea katika mambo mengi sana,pengine unaweza kuwa kiongozi wetu wa baadaye kwani mambo...
  3. P

    Tanzanians Diaspora Summit on 18th December 2009

    Muda ni mdogo sana inabidi anzeni kuwatangazia wabongo kwenye web mbalimbali,blog ,na balozi zote na inabidi kuwe na special website on this sumit.pia muunde kamati maalum kwa jambo hili iwe na watu wenye sifa na maadili na si wahuni,wazo lenu ni kubwa sana na pengine mnaweza mkawa ndio chanzo...
  4. P

    Tanzanians Diaspora Summit on 18th December 2009

    Du kweli hii ni kubwa sana kama mtaweza kufanikisha jambo hili,naomba isiwe domo tu kwani watz wana mambo mazuri mengi sana vitendo kidogo,wazo zuri sana.
Back
Top Bottom