Search results

  1. badshah

    Ushauri juu ya haya matokeo

    kwa anayefahamu jamani naombeni mnisaidie juu ya hili, kwa waliomaliza form six mwaka huu 2014, principle inaanzia ngapi D au C? na je kama mtu katika matokeo yake amepata grades CDE kwa matokeo ya mwaka huu anaweza kujinga na diploma au degree?
  2. badshah

    Nini Tofauti ya hizi? Website and Blog

    Kwa kifupi ni kwamba blog ni aina ya website ambayo inajulikana kama Web Log na kuchukuliwa herufi ya mwisho ya Web ambayo ni "b" na kuunganishwa na neno zima la mwisho ambalo ni Log na kuwa Blog. Unaweza kuwa umeshawahi kusikia kuhusu Static and Dynamic websites. Blog inaweza kuwa ndani ya...
  3. badshah

    Heart failure

    Nini maana ya Kufeli au kufa kwa moyo? (Heart failure) Na nini kisababishi? Ingawa inaweza kuleta maana hiyo Lakini kufa kwa moyo haina maana kwamba moyo umeshindwa kufanya kazi au umefeli. Kufeli kwa moyo ni hali mbaya sana ambayo moyo hausukumi damu ipasavyo katika mwili. Upande wa kulia wa...
  4. badshah

    Habari za kusikitisha!!!!

    e bwana eeeeeee kama zali haya niambie nani mwenzangu
  5. badshah

    viunganishi, vivumishi na vihisishi

    Siku hizi matusi yamekuwa ni viunganishi, vivumishi na vihisishi katika Lugha ya kiswahili. Angalia sentensi hizi hapa chini: 1. Dah yaani we ni Mxx..nn..zz!! ile mbaya umeweza kuruka pale!!! 2. nilipomuona tu! K..um..@ ni..n@ nikarudi haraka sana. 3. wakati wanapigana pale yaani we acha tu...
  6. badshah

    mazungumzo walipokutana kaburini

    jamaa alipata tetesi kuwa mkewe anaingiza buzi ndani kila anapotoka. siku moja kwa mtego akarudi mapema sana huku akiwa na shauku ya kumfumania mkewe. lakini hakumuona huyo jamaa, lakini alimuona mkewe akiwa na wasiwasi sana hivyo hali hiyo ilimfanya aamini kuwa anachoambiwa ni kweli, hivyo...
  7. badshah

    ugomvi wa wazazi

    nilikua natembea njiani, kwa mbaaaaaaaaaaali nikaona watu wawili wakigombana, sasa wakaniita nikasuluhishe uwo ugomvi....... mmmh mpaka sasa hv nasulihisha ngoja nimalize nitawaambia.
  8. badshah

    Matatizo ya mfupa wa kati wa kifua (sternum/breast bone)

    Habri zenu wana JF, Ningependa kwa yeyote mwenye ujuzi wa hili anipe ushauri... miaka 6 iliyopita nilikuwa nacheza mchezo wa karate, katika hali ya kurusha ngumi nikasikia mshutuko katika mfupa wa kifuani (Stermun) hali hiyo ikanifanya nisiweze kuendelea na mchezo tena. nilitumia dawa za...
  9. badshah

    Copy & Paste From FB

    Mwanamke Zuzu alikuwa na mchumba wake Zuzu, baadaye uhusiano ulivunjika. Zuzu mwanaume alikuwa akimsumbua sana kumpigia na km2mia sms yule mwanamke Zuzu kila siku mpaka mwanamke Zuzu akawa anachukia. Zuzu mwanamke akaamua abadili SimCard, alipoweka ile mpya tu akam2mia sms Zuzu mwanaume...
  10. badshah

    New Methali Updates

    Samaki mkunje ............ mpaka anye!! Siku za mwizi .............. inategemea kama ni mwanaume hana siku. polepole ndiyo ............ slow motion asiyesikia la mkuu .......... ana phone masikioni aliye juu ................ mlenge na manati atashuka mtaka cha uvunguni ................ toa...
  11. badshah

    Ikiwa hivi utafanyaje?

    Utafanyaje pale utakapoamka asubuhi halafu ukafungua mlango ukakuta hakuna nje?
  12. badshah

    Jinsi Simba anavyomla binadamu

    sio mimi wote hata wewe....
  13. badshah

    Jinsi Simba anavyomla binadamu

    Khaa!!! yaani umefungua ili ujue jinsi simba anavyokukula... cha msingi we potezea ukijua hutotamani hata kwenda katika hifadhi ya wanyama.
  14. badshah

    Hata kama ni wewe utajisikiaje?

    eti wana JF kweli, mtu na akili zake katika muda lakini masaa machache tu utakula na kama bado si ataenda shule ila ni vema ukasaini mikataba ujue kwamba kuandika hamna neno basi tu ni hali ya maisha kwani usumbufu huu hata juzi mvua ilinyesha lakini ukweli mahakamani huwezi kabisa kufahamu siku...
  15. badshah

    Habari za kusikitisha!!!!

    nawatania bwana :majani7:
  16. badshah

    Katika maisha vitu viwili vinahusika

    KATIKA MAISHA VITU VIWILI VINAHUSIKA Aidha uzaliwe mwanamke au mwanaume. Ukizaliwa mwanamke, uko salama. Ukizaliwa mwanaume, vitu viwili vinahusika.:rockon: Aidha ukae nyumbani au uende kufanya kazi. Ukikaa nyumbani, uko salama. Ukienda kufanya kazi, vitu viwili vinahusika. Aidha ufanye kazi...
  17. badshah

    Cream ya Photoshop

    siku hizi watu wanang'aa katika mitandao ya kijamii kwa kutumia cream ya Photoshop. cream hii hata uwe na uso kama fenesi lakini zinatolewa zoooooooooote unakuwa na sura mpyaaaaaaaaaaaaaaaa!!! ngoma upate appointment ya kuonana weeeeeehhh kazi inakua hapo sasa...
  18. badshah

    Dhana ya ukeketaji

    YOU ARE RIGHT!!!!! nakuunga mikono mpaka miguu...
  19. badshah

    Dhana ya ukeketaji

    DHANA YA UKEKETAJI Ni moja ya tatizo sugu sana linalowakabili wanawake katika jamii nyingi. Imekadiriwa ulimwengu mzima kuwa wanawake takriban milioni 120 wamekumbwa na tatizo hili. Wanaounga mkono ukeketaji husema kuwa ni sehemu muhimu sana katika maisha ya kiutamaduni na kidini, na wengine...
  20. badshah

    Uwongo katika maisha imekuwa dili sasa.

    Kumbuka kuwa: uwongo umesababisha watu kuingia katika uhusiano kimakosa. Umesababisha watu kulea watoto wasiokuwa wakwao. Umesababisha watu kuhukumiwa makosa yasiyokuwa yao. Umesababisha wenye hatia kuonekana hawana hatia. Umesababisha watu kudhulumiana. Umesbabisha marafiki, ndugu...
Back
Top Bottom