Search results

  1. okyo

    Kwanini magari aina ya Nissan yanasumbua mafundi kwenye matengenezo?

    Asante mkuu nitalifanyia kazi nimeona mahali pia wanasema muda mwingine inaweza kuwa inasababishwa na kufa kwa u joint hivo ntafania kazi yote haya nione kama tatizo bado litakuwepo
  2. okyo

    Kwanini magari aina ya Nissan yanasumbua mafundi kwenye matengenezo?

    Ni kweli mkuu ila asante sana nimefanikiwa kupata kingine sasa hivi nimebaki na tatizo moja ambalo bado linanichanganya kidogo nilikuwa nikikimbia speed ikifika 120 gari ina vibrate sana pia nikishika brake napata iyo vibration hadi sterling inavibrate sasa mara ya kwanza nilidhani labda ni...
  3. okyo

    Kwanini magari aina ya Nissan yanasumbua mafundi kwenye matengenezo?

    na nilifanya engine diagnosis gari haina shida yoyote natafuta fundi mzuri a fix hili tatizo la sauti msaaada wadau gari mpya haina 3 month
  4. okyo

    Kwanini magari aina ya Nissan yanasumbua mafundi kwenye matengenezo?

    wakuu nissan dualis inasauti mbaya kama exahaust ina tundu lakini nilifungua nikakuta yale masega hayapo je hii inaweza kuwa sababu na naweza pata wapi masega
  5. okyo

    To all those with broken heart, i want share this with you

    Thank you so much for this piece of information,i have been through a deep shits since yesterday battling the fear my body was weak but i thank God i wake up with this useful post my God bless you....You serve my life Sent using Jamii Forums mobile app
  6. okyo

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Chanika

    Mkuu kiuhalisia sio kila mtanzania anaweza kumiliki kiwanja kikubwa sana kulingana na gharama hivo hii inamsaidia hata mtu ambae anakipato cha kati kuweza kupata ardhi na kujenga nyumba ya ndoto zake kiwanja ni kidogo lakin nyumba standard inakaa apo na parking unapata angalia kwa mfano sinza...
  7. okyo

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Chanika

    Shukrani sana Sent using Jamii Forums mobile app
  8. okyo

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Chanika

    Makosa ya kiuhandishi mkuu samahani Sent using Jamii Forums mobile app
  9. okyo

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Chanika

    Sawa mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. okyo

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Chanika

    Hapana sijui kwa kwel Sent using Jamii Forums mobile app
  11. okyo

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Chanika

    Mchakato mzima wa upimaji ulifanywa na manispaa ya ilala hati zikatolewa na wizara ya ardhi nyumba na maendeleo ya makazi mkuu samahani kwa kuteleza Sent using Jamii Forums mobile app
  12. okyo

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Chanika

    Dah nimevurugwa tu mkuu hati ni ya wizara ya ardhi bana utaratibu ndo umefanywa na manispaa ya ilala Sent using Jamii Forums mobile app
  13. okyo

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Chanika

    Icho ambacho kimezungushiwa peni nyekundu kwa mbele yake ni barabara Sent using Jamii Forums mobile app
  14. okyo

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Chanika

    Alafu kipo njiani kabisa kwenye barabara za mtaa nikipata nafasi nitaweka ramani ya icho kiwanja kilipo Sent using Jamii Forums mobile app
  15. okyo

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Chanika

    Huo wembamba ni wa kawaida tu unajenga nyumba nzuri tu kwa standard unaweza acha 1.5m hivo nyumba inafit kwenye mita 9 na ikawa nyumba nzuri sana Sent using Jamii Forums mobile app
  16. okyo

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Chanika

    Mkuu ni kiwanja kimepimwa kina hati miliki ya manispaa ya wizara ya ardhi Sent using Jamii Forums mobile app
  17. okyo

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Chanika

    Labda wataalam watusaidie hapa Sent using Jamii Forums mobile app
  18. okyo

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Chanika

    Duh kwenye hatua sina uzoefu mkuu hicho kimepimwa kwa sqm boss urefu ni sqm 30 na upana ni 10.52 sqm Sent using Jamii Forums mobile app
  19. okyo

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Chanika

    Hahaha corona ni hatari mkuu acha kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  20. okyo

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Chanika

    Umeona hii nyumba apo ni kiwanja cha size iyo iyo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom