Search results

  1. H

    Tujadili Mgomo wa Waalimu

    As the group gets larger it loose cohesiveness! hicho ndicho kirusi cha CWT na zaidi viongozi wanaoweza kuhongeka kirahisi wa vyama vya wafanyakazi. Si waalimu tu waliowahi kutangaza mgomo halafu haukufanyika, TUCTA, TUICO wote hawawezi na hawataweza mpaka wawe na committed leadership, kwa...
  2. H

    Jamani hizi supplementary kwa finalists UDSM zinatutesa

    Supplimentary ni mitihani ya kawaida tu! kaka anahaha kwa sababu amezoea kufaulu tangu aanze shule. Halafu anazungumzia sup. mia moja na ushee wakati EC 216 (Intemidiate microeconomics I)na EC 226 Intermidiate microeconomics II) unazungunzia sup 290 na 400's respectively (Dr. Karamagi na Prof...
  3. H

    wanafunzi waandamana

    Mabomu ya nini kwa watoto wadogo? mbona hata Ulaya watu wakiandamana huzuiwa tu na si kuwapiga mabomu ya machozi! Lakini ndio njia inayotumika sana hapa Afrika, kupiga na kujeruhi. Na hao askari watoto wao hawamo kwenye maandamano?
  4. H

    Attention Bodi Ya Mikopo Ya Elimu Ya Juu Kwa Wanafuzi(HESLB)

    Watanzania masikini wasiwe na wasiwasi kwani sisi watoto wao kamwe hatutakubali kunyanyaswa kwa sababu ya umasikini wetu, tumeanza na tutaendelea hadi dakika ya mwisho pale haki itakaposhinda dhulma. Tunabaguliwa na wanasiasa kwa kuwatumia wasomi vibaraka na wanaotaka kujipendekeza ili wapewe...
  5. H

    Huyu ndiye ‘the real’ Kikwete!

    DrWHO Mkataba wa RICHMOND ni mkubwa sana,haiwezekani rais asijue mkataba wa Mamia ya Mabilioni, na kama hajui basi ni dalili za uzembe? Fedha zote hizo haziwezi kutolewa na waziri pekee ni lazima baraza zima la mawaziri lijadiliane! hivyo rais anajua! Kama kuongeza bilioni 48 kwa ajili ya bodi...
  6. H

    Elimu ya Uraia Tanzania

    Mimi nimechangia kwa dhana ya uchaguzi tu! japo kichwa cha mwanzilishi hakiendani na kile alicho kiandika! Kwani Julian katika jamii hiyo ya wasomi hakuna watu bora? au ni njia gani zinazotumika kuwapata wagombea?je wale waliopiga kura wao wanamtizamo gani? Ni kweli kupiga kura ni hiari ya mtu...
  7. H

    East African Federation (EAF) public Views

    Hey, kuweni wastaarabu, kipimo cha ustaarabu ni kuheshimu taratibu! Utaratibu ni lazima ufuatwe! Safu hii ni ya mjadala juu ya shirikisho la Afrika Mashariki na si SADC na Mashariki ya kati! Hayo yapelekeni kwenye siasa au Mengineyo (Miscellaneous)!
  8. H

    Elimu ya Uraia Tanzania

    Mmmmh! watanzania mmesikia habari za wale mnao waona wasomi?hawapigi kura!na kampeni zao ni za muziki! TUMEPOTEZA!
  9. H

    East African Federation (EAF) public Views

    Kenya produces more than 50000 graduates every year, Uganda Nearly 20000 a year, Tanzania about 15000 a year! What will be the position of Tanzania in this Federation? a country with many people than other members with few skilled people and a lot of resourses! Why are Kenyans and Ugandan are in...
  10. H

    Baadhi ya Lecturers wa Mzumbe wana degree Feki - VC wao naye FEKI

    Kwani ni ipi dhana ya shahada feki? Mbona hizo zipo kila sehemu! Ntatolea mifano miwili ya vyuo ambavyo mimi navifahamu. Kwanza ni Taasisi ya usimamizi wa Fedha(IFM),kwa wingi wa wanafunzi walionao IFM imeshindwa kudhibiti wizi wa mitihani na badala yake Taasisi imeamua kuwaongezea wanafunzi...
  11. H

    Zimbabwe: The turmoil, reconciliation, and the future!

    Hiyo ndio hali ya Afrika kwa ujumla, si Zimbabwe peke yake! Kazi kwetu kuendelea kukaa kimya au kutumia njia walizotumia wao wakati wakitafuta uhuru! Kwa makaratasi(kupiga kura) kamwe Afrika haitapata viongozi bora, na madikteta waliopo wataendelea kutawala. Raia wa Zimbabwe wanakufa njaa...
  12. H

    Kuileta Madrid Bongo ni kituko

    Kuna mambo mengi ambayo hufanywa kwa kukurupuka na serikali, sio hii ya JK pekee bali hata waliokuwepo kabla yake wote! Nisingependa kuelezea ni kwa jinsi gani kila mmoja alikurupuka,lakini tuliangalie hili suala la Real Madrid kuja Tanzania lina manufaa au ni hasara kwa walipa kodi hohe hahe...
Back
Top Bottom