Search results

  1. Cynic

    Breaking News .. JF ita''register member'' wa 100,000 baada ya dakika 5

    So far registration counts ni kama hivi: Registered Members: 99,998 Hongereni sana mliokuja na idea hii. Mungu awabariki
  2. Cynic

    Tanzania kwenye 'Global peace index 2012'

    TZ inaendelea kufanya vizuri kwenye mambo ya amani pamoja na mauaji ya watu wanaoandamana kwa amani, askari kupiga raia hovyohovyo, nk. Tusubirie siku za usoni matukio za ZNZ, ushari wa akina Ponda, nk. yatatuweka wapi! List .... 1 Iceland (Vinara) 2 Denmark 2 New Zealand 4 Canada 5...
  3. Cynic

    Mauaji holela ya raia TZ: Special Update Thread

    Mauaji holela ya raia TZ na askari au dola yamekuwa yakitokea kila kukicha, na yamekuwa yakijirudia rudia. Wauaji wamekuwa wakijitetea kwa sababu nyepesi nyepesi. Bahati mbaya sana record huwa haziwekwi. Hebu tujaribu kuweka record sawa kwenye thread hii. 2005 todate Songea (watu ?) Arusha...
  4. Cynic

    Wakati umefika wa kuwa na larger (> 10,000) denomination bills

    Nadhani wakati umefika wa kuanzisha noti kubwa zaidi ya sh 10,000 (~$6/~€4). Noti ya 10,000 ni ndogo sana ... yaani imekuwa hadi mtu unajukuta unaenda ATM kila siku! Haya, na huko kwenye ATM zetu, uwepo wa pesa ni bahati, foleni kama kawa, etc. Tuondoleeni hii kero.
  5. Cynic

    Mkulo na Biblia

    Hii mbinu ya serikali/CCM kutumia vifungu vya misaafu ''out of context'' kuhalalisha kushindwa kazi inazidi kukua! Kila anayeshindwa kujieleza anatafuta mstari ktk msaafu na kuu''spin'' anavyotaka! Na nyinyi maaskofu, wachungaji, mashehe, maraabi, etc. kemeeni. Vitabu yenu vinashushwa hadhi ..
  6. Cynic

    Elections 2010 Viongozi wa CCM watawekewa vikwazo kama Mugabe na genge lake?

    Hivi ndivyo inavyoripotiwa nje ya Tanzania (hii ni moja tu kati ya nyingi nilizioona). Viongozi wa CCM wawe makini wasije wakafanya tukawekewa vikwazo kama Zimbabwe (Mugabe na genge lake walivyofanywa).
  7. Cynic

    Kumbe mpangilio mbovu wa mji wa Dar es salaam ni kivutio cha kitalii...

    Wandugu hii picha na tangazo (la kampuni fulani ya nchi fulani ya ughaibuni) inatumika ku-promote utalii TZ. Hebu soma text kwenye hiyo picha. Inaonekana mpangilio mbovu wa mji wa Dar es salaam sasa imekuwa kivutio kikubwa cha kitalii pia ..... Aibu kwenu mliopewa dhamana ya kuongoza mji/nchi.
  8. Cynic

    Sticker ya Fire Extinguisher Ndiyo Nini tena??

    Hawa watawala ni wazuri kweli katika kubuni kero. Unatoka na gari lenye sticker safi ya insurance na road licence (ambazo kila mtu anajua zinachangia ktk pato la taifa). Halafu unasimamishwa na traffic police kwamba huna sticker ya usalama barabarani (zinazofadhiliwa na kampuni la simu) na...
  9. Cynic

    Kumbe Tanganyika bado ipo!

    Wiki chache zilizopita nilitakiwa nitoe taarifa wazazi wangu walizaliwa lini na wapi. Nikataja mwaka na kwamba walizaliwa Tanzania. Jamaa akaniuliza nina uhakika mara tatu na mimi kwa kujiamini nikamwambia ndiyo. Baada ya muda akaniambia haiwezekani! Nikamwambia labda kwenye database yake...
  10. Cynic

    Vita kati ya Tarime na Rorya

    Hivi kuna Vita kati ya Tarime na Rorya? Au ni utengenezaji wa news? Maana nimesikiliza recorded BBC Swahili News bulletin, na kama kawaida news kwa vyombo vingi vya habari huwa ni habari mbaya mbaya tu, waka'cover' Irak na mabomu yao, Somalia na kukatana miguu na mikono, Iran na vurugu zao, kesi...
  11. Cynic

    Askofu Kilaini achemsha kwa ushauri huu!

    Kwangu mimi huu ni Ushauri wa hatari kwa nchi iliyojiwekea misingi ya uhuru wa kuabudu kwenye katiba yake. Yaani watz 200 wakitaka kuabudu wasihalalishwe kuabudu! Idadi gani ni halali?
  12. Cynic

    UK's Expense Flap - Kuna mengi ya kujifunza

    Haya ni baadhi ya majumuisho kwa haya yanayoendelea huko UK: Hawa wanasiasa wetu (bila kujali nchi, race, dini, nk) hawatofautiani sana kimaadili. Hawa wa UK wanarudisha hela walizoiba (kwa staili ile ile ya EPA), lakini pia sheria itachukua mkondo wake. Pamoja na kwamba hela walizoiba hawa...
  13. Cynic

    Nisaidieni maana ya maneno haya

    Naomba nisaidieni maana ya maneno haya 1) amedata 2) kudadeki. Kwangu ni mageni kabisa na nimeyaona yakitumika sana humu JF. Natanguliza shukrani
  14. Cynic

    Nguvu ya mwenye pesa

    Kuna haja gani ya kuingia gharama/cost kama hizi?
  15. Cynic

    Tuna Kazi ya Kusafisha Jina na Tanzania

    Nadhani tuna kazi kubwa tu ya kusafisha jina na Tanzania. Leo ktk maongezi ya hapa na pale na jamaa ambao hata hawajawahi kufika Tz mmoja wao akaibua swala la maujaji ya Albinos TZ - nadhani makusudi akijua natoka Tanzania. Nikanywea kama vile nimemwagiwa maji - sikutarajia kwa kweli. Mmoja wao...
  16. Cynic

    Waziri Cha Pombe

    Jamani hebu angalieni maajabu! YouTube - Japanese finance minister drunk at G-7 Huyu ni Mkulo wa Japan (Japanese Finance Minister) alipokuwa kwenye News Conference wakati wa mkutano wa G-7 Rome. Halafu anakanusha hakuwa amelewa! Bahati yake hakuna ''The Home of Great thinkers" huko...
  17. Cynic

    Israel's General Election - Centrist Kadima party led by Tzipi Livni wins most seats

    Counting is under way in Israel after polls closed in the country's snap general elections. Results are expected to be close, with preliminary exit polls giving the ruling Kadima Party 30 seats to 29 for the opposition Likud. Right-wing Yisrael Beitenu is forecast to be third, pushing...
  18. Cynic

    Uteuzi unaotia shaka - Ukanda na Ukabila mtupu!

    Msolla aunda kamati ya kuchochea sayansi James Magai WAZIRI wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Profesa Peter Msolla ameunda Kamati ya ushauri katika masuala ya Teknolojia na Mawasiliano ambayo pamoja na majukumu mengine itaishauri Serikali namna ya kuwavutia vijana wasome masomo ya...
  19. Cynic

    Wamuua dereva wakidai kaiba nyama - Wagawana nyama, wateketeza gari

    This is lawlessness/lack of civil order of highest order. Where is our moral obligation ( at least in layman's terms)? ____________________________________________ Date::1/15/2009 - Wamuua dereva wakidai kaiba nyama - WAGAWANA NYAMA, WATEKETEZA GARI Frederick Katulanda, Mwanza SI jambo...
Back
Top Bottom