Search results

  1. Cynic

    Zoezi la Uhakiki wa Watumishi wa Umma Mbogwe

    ... unasahau kwamba kuna yule binadamu ambaye hajaribiwi?
  2. Cynic

    Ajali mbaya yaua Ubungo njia panda

    Rip. Matatizo ya kukariri & kufanya kazi kama robots za zamani. Gari hizo zina breaks ... kwa nini zisitumike?
  3. Cynic

    Serikali inatumia fedha nyingi kupambana na wapinzani kisha inaomba kuchangiwa madawati na maafa?

    tule tu Mig-21 tunatafuna $4,500 per flight hour. Sasa fikiria ndege kadhaa zilirushwa Dar, Mwanza? Mbeya? Arusha? kwa siku kadhaa !
  4. Cynic

    Diaspora mmechangisha kiasi gani?

    Huu ni uchonganishi ambao ni uchochezi ...
  5. Cynic

    Rais wetu yuko wapi tena? Kagera hayuko Zambia hajaenda

    .. kwa utetezi huu finyu, basi angeweza vilevile kuratibu akiwa Lusaka
  6. Cynic

    Bungeni: Serikali yatoa kauli kuhusu tetemeko la ardhi Kagera

    #Serikali naona imesahau kuwashukuru/acknowledge juhudi zilizofanywa na 'first responders' na misaada kutoka wadau mbali mbali (.. ikiwa ni pamoja Serikali ya Kenya)
  7. Cynic

    Ni tabia gani sugu uliyokuwa ukiifanya utotoni?

    kuwabatiza watu majina ya bandia/nick names.
  8. Cynic

    Lawama hizi zaelekezwa kwa serikali kuhusu tetemeko.

    Haya mawili yameifanya serikali yetu ionekane kwamba ipo ipo tu. Wanatia mkazo mkubwa kwenye mambo yasiyo na umuhimu kama ukuta na Shein kunyimwa mkono.
  9. Cynic

    Mahojiano bora ya mheshimiwa Rais Magufuli yaliyonifanya nimuelewe

    Na wewe naona kama vile kurudia rudia kumekutoa ufahamu?
  10. Cynic

    Mpinga njoo hapa Shekilango Total uone wanavyogawiana shekeli

    malalamishi kutoka kwa wananchi ya kila namna yameongezeka sana siku za karibuni ... nchi inaelekea kusiko.
  11. Cynic

    Tetemeko la Ardhi Bukoba: Rais aahirisha kwenda Zambia, kuwakilishwa na Makamu wa Rais

    ... swali liko pale pale, alikuwa wapi & anafanya nini jana na leo?
  12. Cynic

    Inawezekana Hillary Clinton ni mgonjwa kweli

    Trump & GOP must be liking this ..
  13. Cynic

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Dah ... Terry & ivanovic wamebadilisha fani ... wamekuwa waigizaji wa comedy?
  14. Cynic

    Mhe. Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli, "Sema Neno Moja Tuu, na Roho Zetu Zitapona!"

    huyu ndiyo zake. no-show ktk mazishi ya Jumbe, Mawazo, mikutano ya AU, TICAD, SADC, n.k. Inabidi tuzoee tu kwamba kuna umbwe ...
  15. Cynic

    Yakiwa Yamebaki Masaa Machache; Tupate dondoo mbili tatu kuhusu Mtibwa Sugar.

    Well done SSc. Nimeanza tena kuiamini timu yetu ....
  16. Cynic

    Sheikh Ponda: Furaha imetoweka, tutafakari upya

    Sheikh Ponda is a principled person. Si mnafiki, hamumunyi maneno
  17. Cynic

    Ujenzi wa reli ya standard gauge: Asante J. Kikwete kwa kutuletea wawekezaji, uliona mbali sana

    Kumbe JPM anadandia vitu vilivyoanzishwa na watangulizi wake na kuvitumia kujipatia ujiko .. reli anajinadi ni yeye, kuhamia Dodoma ni yeye, daraja la kigamboni ni yeye, . hizi sifa kwa JK zitakuwa zinawakera sana watu aina ya akina Makonda
  18. Cynic

    Kumbe Jakaya Kikwete ni kiongozi mzuri sana, haya hakuyafanya pengine ana sababu za msingi sana!

    JK (na A. H. Mwinyi pia) walikuwa ni maraisi ambao walichukulia urais kama taasisi... walikuwa wanasikiliza sana ushauri wa mbalimbali na wa kitaalam tofauti na JPM (na hata Mkapa na hata Nyarere) ambao wakati mwingine wanalazimisha mambo
  19. Cynic

    Mheshimiwa Rais Uongozi si zawadi wala kipaji

    ... kwa kweli inasikitisha sana kuona eti leo mtu anaongoza vipindi vya umbea umbea halafu bila training yoyote kesho anapewa jukumu la kuongoza halmashauri. Watu kama Salim A. Salim, Wassira, na wengineo Nyerere aliwapeleka shule kwanza kabla ya kuwateua ktk nyadhifa mbalimbali.
Back
Top Bottom