Search results

  1. Vawulence

    LATRA wapo kwa niaba ya nani?

    Haijafifia na wala haina msaada sana kwetu. Kiuhalisia tunachaji bei za amani kwa asilimia kubwa. LATRA wao wanapanga kiwango cha juu na sisi tunatumia busara kuweka nauli inayoendana na wateja wetu. Ukikutana na sarange wa stand ndio watakuchaji bei ya LATRA. Mara nyingi kaka tie tiketi kwenye...
  2. Vawulence

    LATRA wapo kwa niaba ya nani?

    Faini zisizo na msingi, kufungiwa bila Kusikilizwa, kulazimika kutoza nauli ndogo hata bei ya mafuta na vipuri ikiwa juu sana. Kutikutimiziwa mambo yaliyo chini yao kwa wakati. Kwa mfano niliomba kuunganishwa kwenye mifumo wa VTS kwa gari nne toka mwezi wa 11 2023 ila mpaka leo ninazungushwa...
  3. Vawulence

    Makabila yenye akili nyingi Afrika

    Hebu tumia, Japan, Austria, China na Uingereza kusisitiza point yako
  4. Vawulence

    LATRA wapo kwa niaba ya nani?

    Laiti ungekuwa unamiliki gari ukutane na kero za LATRA usingeandika haya
  5. Vawulence

    Simba wafanikiwa kumrubuni Feisal Salum

    Halafu timu yenye posho haijaweza kupeleka mchezaji hata mmoja nje ya nchi.... Haya ni maajabu.
  6. Vawulence

    Mayele achaguliwa mchezaji Bora Africa mwezi April

    Haina tofauti na Musiba aanzishe tuzo. Kama kuna mtu aloshasoma hilo jarida atuambie.
  7. Vawulence

    Tujikumbushe kidogo Rivers utd Vs Wyad AC

    Nakukumbusha tu kwenye preliminary ndio mlimfunga Zalan magoli 9. Sasa hivi mko wapi?
  8. Vawulence

    Yanga wafanyiwa figisu, wapewa gari bovu Nigeria

    Hii gari ina tatizo gani?
  9. Vawulence

    Tumechoka kumuona Baleke akifunga sana tunamwomba na Musonda nae afunge mara kwa mara

    Phiri 10 Ntibanzokiza 10 Bocco 9 Baleke 7 Sakho 7 Chama 6 Haya sasa na wewe tupe orodha ya hao "kila mchezaji anafunga" na magoli yao
  10. Vawulence

    Baleke kwa Nabi ni benchi

    Ni mchezaji mpumbavu pekee anaweza kuondoka timu inayoshiriki klabu bingwa na akaenda kuchezea kombe la mbuzi
  11. Vawulence

    Siku nimebaki mimi na kipa tu na ghafla mpira ukugeuka sufuria la hela ndipo nilipoamini uchawi upo!

    Hivi unajua alichofanya yule beki kilisaidia Congo wasipatwe na dhahama ya magoli?
  12. Vawulence

    Upuuzi wa CAF Usitupumbaze Wananchi, Tusiridhike Mapema

    Nakukumbusha tu kuwa malengo ya timu yako yalifeli vibaya pale iliposhindwa kuingia makundi ya Klabu bingwa. Kwa sasa timu yako inashiriki mashindano isiyojua inataka nini.
  13. Vawulence

    Mbinu ya awali kujua kama unalea mtoto wako au wa mwanaume mwenzio

    Taabu zote za nini? Kwetu Kibosho ukitaka kujua mtoto wako unawaambia wote wakakae jikoni na mama yao. Yule atakayekaa akielekea kutazama mlango siyo wa kwako.... Anatafuta pa kutokea.
  14. Vawulence

    Musonda weka mbali na watoto

    unaandika kwa kurukaruka kama paka mgonjwa. Kidogo niseme kaandika Rapcha
  15. Vawulence

    Ujinga mliofanya Singida ndo chanzo cha kufungwa na Wapinzani wetu

    Leta timu yako ifanye hiyo kazi. Acha kuwaonea Singida.
  16. Vawulence

    Waliosema Tanzania ni miongoni mwa ligi tano bora Afrika wajitafakari

    Umeandika andiko losilo na mashiko hata kidogo.
  17. Vawulence

    Unpopular Opinion: Arsenal hatoshinda taji lolote msimu huu

    Kumbe nilipokupiga pipe uliona nina mwili mkubwa ee.
Back
Top Bottom