Search results

  1. S

    Ni Tanzania Pekee (only in Tanzania)

    Maprof. wa China na Urusi hata wasipojua kuongea Kiingereza kumbuka hiyo siyo lugha yao rasmi kama ilivyo kwa Tanzania, Kiingereza ni lugha rasmi hivyo tunatarajia yule anayeitwa msomi hasa kwa viwango vya PHD lazima ajue kuandika na kuzungumza kwa ufasaha Kiingereza
  2. S

    Top 10 Most Peaceful Countries in Africa-Tanzania haimo-Can you believe it?

    Ni kweli Tanzania haikupaswa kuwemo kwenye hiyo list kwani amani ambayo viongozi na watawala wamekuwa wakiipambanua si ya kweli, tukiangalia kuna ukiukwaji mkubwa wa katiba ya nchi kuvunjwa; pale watawala wanapokataa kuwapatia wananchi wake uhuru wao wa kuandamana, kitendo hicho ni uvunjifu wa...
  3. S

    Prof. Safari na Prof. Mkumbo ndani ya EATV usiku huu

    . Achana kabisa ndugu na huyu Prof. Kitila Mkumbo kwani yeye mwenyewe alikuwa CDM na aliondoka kwa kufukuzwa, na alikubali vipi kukaa kwenye chama kisicho na misingi, hayo ni maneno ya sungura, "Sizitaki mbichi hizi kumbe kashindwa kuzifikia".
  4. S

    Confessions: Nilimfukuza kaka yangu kichawi

    Mbona hueleweki ndugu? Hii unayoita confession ni ya aina gani? Kwa kawaida confession huambatana na kuhitaji msaada lakini wewe ulichokifanya ni kujisifu kwa kitendo chako kibaya cha kumroga ndugu yako wa damu kwa kumpoteza na kuharibu ufahamu, sijafamu viwango vyako vya utakatifu mbele za...
  5. S

    Confessions: Nilimfukuza kaka yangu kichawi

    Mbona hueleweki ndugu? Hii unayoita confession ni ya aina gani? Kwa kawaida confession huambatana na kuhitaji msaada lakini wewe ulichokifanya ni kujisifu kwa kitendo chako kibaya cha kumroga ndugu yako wa damu kwa kumpoteza na kuharibu ufahamu, sijafamu viwango vyako vya utakatifu mbele za...
  6. S

    Profesa Ibrahim Lipumba amemtembelea Askofu Josephat Gwajima aliyelazwa TMJ Hospitali

    Utukfu kwa Mungu wetu milele kwa kuzidi kumpigania mtumishi wake Askofu Josephat Gwajima, Amen
  7. S

    Nitaendelea kumtetea Zitto kwa gharama zangu zote. Kwa pamoja tuutokomeze ukiritimba

    Mtoa mada acha kukurupuka kwani hakuna lengo la kuwazimisha vijana kama unavyosema, kuhusu marehemu Amina Chifupa hakuzimwa kama unavyodai kwani alikuwa mgonjwa na watafiti wa mambo tunaelewa hilo, na kuhusu Mh. Zitto Kabwe hakuna anayetaka kumzima bali yeye mwenyewe ndiye atakayejizima aidha...
  8. S

    Nitaendelea kumtetea Zitto kwa gharama zangu zote. Kwa pamoja tuutokomeze ukiritimba

    Mtoa mada acha kukurupuka kwani hakuna lengo la kuwazimisha vijana kama unavyosema, kuhusu marehemu Amina Chifupa hakuzimwa kama unavyodai kwani alikuwa mgonjwa na watafiti wa mambo tunaelewa hilo, na kuhusu Mh. Zitto Kabwe hakuna anayetaka kumzima bali yeye mwenyewe ndiye atakayejizima aidha...
  9. S

    CHADEMA isipomvua Zitto uanachama...!

    Ni kweli kabisa Mh. Zitto Kabwe hana budi kufukuzwa kabisa kwenye chama kwani amejisahau na kuona KITU (pesa) ni bora kuliko UTU (Watanzania) wakiwemo ndugu zake wa karibu (mjomba, shangazi, bibi, babu na wengine), mimi naamini CHADEMA ni chama makini hivyo kitafuata taratibu zote kikatiba za...
  10. S

    Goodbye my friend

    pole sana ndugu sokwe, kifo hicho ni somo kwa tuliobakia kwani Mungu amesema ktk kitabu cha MITHALI 6:32-35 'Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa, afanya jambo litakalomwangamiza nafsi.......' hatuna budi kufahamu kuwa neno la Mungu ni kweli, tazama sasa jamaa yako amepoteza si tu nafsi...
  11. S

    Uunganishwaji wa umeme Arumeru umekuwa kero

    Wakazi wa Arumeru tunapata kero kubwa sana ya kutokuunganishiwa umeme kwa wakati hata baada ya kuwa tumefuata taratibu zote ikiwa ni pamoja na malipo, tunapouliza tunaambiwa kuwa vifaa vimeagizwa Dar, watu tumejinyima kufanya mambo yetu ya kuongeza kipato na kuamua kulipia huo umeme lakini mpaka...
  12. S

    Cancer inachukua maisha yangu

    pole sana ndugu yangu, nakutia moyo kuwa Mungu aliyeiumba hiyo figo anaweza kuifanya upya tena, nenda kwenye vituo vya maombezi vya walokole watakuombea, kitu kikubwa ondoa hofu maana ni kitu hatari sana kwani inaua kuliko ugonjwa
  13. S

    Natamani mtoto lakini imekuwa ngumu kupata

    pole sana ndugu yangu, najua kile unachopitia hivyo usiogope kwani Mungu ninaemwamini ameahidi kutokuwepo tasa wala mwenye kuharibu mimba kwa yeyote atakayemwamini, mimi binafsi sikushauri kunywa dawa za waganga kwani zitagharimu sana maisha yako na huyo mtoto, nakushauri nenda kwa watumishi wa...
  14. S

    Kwa heri mie nimeamua kujinyonga-Wakili Nyaronyo Mwita Kicheere

    Usijinyonge mzee maana ni dhambi mbele za Mungu na utaangukia mahali pabaya kuliko hii serikali dhaifu, pia kumbuka family yako bado wanakuhitaji lakini watanzania tunakuhitaji zaidi maana wa ni zawadi yetu kutoka kwa Mungu, ni maombi yangu Mungu akusamehe kwa maamuzi yako ya kutaka kujinyonga...
  15. S

    Baba yake Joyce Kiria afariki dunia

    Pole sana da Joyce, Mungu mwenye kufariji ninayemtumikia awafariji, awafute machozi na kuwatia nguvu nyote ktk kipindi chote cha msiba wa baba yetu mpendwa..... THE LORD GAVE AND THE LORD HAS TAKEN AWAY, MAY HIS NAME BE BLESSED...... JOB 1:21b
  16. S

    Wilfred Lwakatare alazwa Muhimbili,Aomba Watanzania Wamuombee

    Pole sana kamanda, namwomba Mungu akuponye maana wewe ni mtu wake muhimu unayemwakilisha hapa Tanzania ktk kupigania haki za watanzania wote wasiopenda dhuluma, kamanda naomba uungane nami ktk kumfanya Mungu kuwa msaada wako na tumaini lako siku zote za maisha yako..... ZABURI 94:14-23, HALELUYA...
  17. S

    Mafuta ya Oki, Viking, Asma sasa marufuku

    Mimi naona huo ni uwongo wa TBS na serikali yetu kwani mafuta haya ya OKI, VIKING nk hayajaanza kutumika juzi au jana, hao TBS walikuwa wapi wakati hayo mafuta yanaingizwa nchini na kuanza kutumiwa kwa mara ya kwanza? Kuna tetesi kuwa mafuta ya KORIE yalifichwa kwa lengo ya kuyapandisha bei...
  18. S

    Baada ya siri ya Mwigulu Nchemba kulalamikia CCM kumwachia zigo la Lwakatare kuvuja,Nawashauri CCM

    CCM ni lazima itambue kuwa lengo la CHADEMA kwa Tanzania na watanzani wote ni jema sana na kufanya mkono wa MUNGU kuwa pamoja na CHADEMA, hivyo basi chochote kinachopangwa sirini na CCM ili kuiangamiza CHADEMA, MUNGU anakifichua tena kwa kuwatumia baadhi ya wanaCCM wenye hofu ya Mungu na mapenzi...
  19. S

    Rais Nkurunziza wa Burundi aja kuhubiri injili Tanzania

    Ni kweli kwa Mungu hakuna upendeleo kwani hata marais wanaokoka, PRAISE THE LORD..... IMANA ISHIMWE
  20. S

    TANZIA: Dr. Ferdinand Masau wa Tanzania Heart Institue afariki dunia

    Kwa wale wanaotaka kufika kwenye msiba wa dr. Masau, nyumbani kwake ni mbweni kama unatokea mjini panda gari linaloelekea bagamoyo shuka kituo cha kwa jumbe kisha vuka barabara chukua pikipiki shs. 1500 mwambie nipeleke kwa dr. Masau
Back
Top Bottom