Search results

  1. Tulimumu

    Uwanja wa Taifa ni mchafu sana

    Sisi wapenzi wa mpira tunapoenda kuangalia mpira Uwanja wowote ule kwa malipo maana yake sisi ni wateja inabidi tuheshimiwe kama wafalme kama kauli mbiu inavyosema kuwa mteja ni mfalme. Nikizungumzia uwanja wa Taifa wa Mkapa ambao ndio uwanja mkubwa na bora kuliko vyote nchini kwakweli huduma...
  2. Tulimumu

    Wafanyakazi wote nchi nzima tuungane na kufanya yafuatayo kuhusu vita ya kikokotoo

    Suala la kikokotoo limekuwa ni mwiba mkali kwa wastaafu katika nchi hii huku kundi dogo la wanaofaidi keki ya taifa wakitaka kikokotoo kiwepo kwa wastaafu wakati wao hakiwagusi wanachumua mamilioni yao kwa mkupuo wakijufanya wao ndio wenye akili zaidi ya kujua matumizi ya pesa kuliko wafanyakazi...
  3. Tulimumu

    Hatimaye Dotto James aonekana hadharani

    Sasa anatusu nini sisi na shida zetu?
  4. Tulimumu

    CDF mstaafu Mabeyo amelikoroga, Makamu wa Rais ndiye alitakiwa kuwa mtu wa kwanza kila hatua kujua afya ya Rais

    Hapa alikuwa anajifagilia kuwa yeye ndiye alikuwa close na JPM
  5. Tulimumu

    Wanaojiita “Samia Queens” ni akina nani na wanatafuta nini?

    Huo ni fitina wanatengeneza makundi ya kichawa ya kujikomba na kusababisha migawanyiko. Kuna wajinga wengine waliaanzisha walichoita eti Jukwaa ;a Walimu wazalendo Bashiru wakati huo akawapiga marufuku. Hawa nao wanaangalia udhaifu wa uongozi uliopo kuwa unataka sifa sana
  6. Tulimumu

    Pesa za kuchukua fomu ya kugombea Urais anazochangiwa Samia bado hazijatimia?

    Toka kampeni ya kumchangia Rais Samia pesa za kuchukua fomu makundi mbalimbali yameendelea kujitokeza kumchangia. Hivi toka walipoanza wakuu wa shule mpaka sasa PM naye kaenda kuchangisha wanawake hazijatimia? Je, ni kweli mheshimiwa hana uwezo wa kulipia fomu mpaka achangiwe? Hivi aliomba au...
  7. Tulimumu

    Dkt. Hussein Mwinyi adai Mzee Mwinyi hakuagiza azikwe Mkuranga

    Swali ni je Mwinyi ni kabila gani?
  8. Tulimumu

    Juzi nilikuwa Posta, Mwendokasi mida ya jioni ni kisanga. Serikali hamwoni? Nusura nipate kilema

    Hakuna biashara inayofanywa na serikali ikafanikiwa. Wizi mtupu. Serikali inatakiwa kujenga miundo mbinu na kuachia sekta binafsi ifanye biashara serikali ikusanye kodi. Basi!
  9. Tulimumu

    Rais Mstaafu ni Msaidizi wa Rais aliyeko madarakani ndio sababu anaweza Kutumwa kumwakilisha Rais kwenye shughuli mbalimbali!

    Kwahiyo makamu wa rais ana kazi gani iwapo rais mstaafu ndiye msaidizi wa rais?
  10. Tulimumu

    Waziri Mwigulu: Tanzania inakopa kwa Sababu ina Uwezo wa kulipa

    Ujinga mtupu. Sasa kama inawezo wa kulipa kwanini ikope?
  11. Tulimumu

    Lema yuko Sahihi Waislamu Wana Uwezo wa kuwatetea Wanasiasa wa Kiislam Lakini hawawezi kuwatetea Wanazuoni wa Kiislam!

    Na waarabu nao hivyo hivyo. Wanaitetea Marekani wakati ndugu zao wapalestina wanauawa kila siku huko Gaza
  12. Tulimumu

    Mch. Daniel Mgogo: Kikokotoo cha pensheni ni wizi na utapeli

    Wasikilize John Heche na John Magufuli pia
  13. Tulimumu

    Nchi zenye Amani zaidi Africa

    Tanzania hakuna amani ila watu wametulia, wanastress, hofu na mashaka
  14. Tulimumu

    Boniface Jacob: Roho ya Thadei Ole Mushi yaiandama CCM

    Nina nina zao. Wamelaanika wale
Back
Top Bottom