Search results

  1. Zak Malang

    Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Monduli asimamishwa uongozi mara moja

    Safi sana! Pulizia dawa kunguni, mende na mbu wote watokomezwe CDM. Twataka CDM mpya kabisa.
  2. Zak Malang

    Polisi wetu wana uwezo wa kuonyesha ubabe kuliko kuchunguza matukio ya vifo, utesaji wa raia nk

    Namuunga mkono mtoa mada. kingine wanachoweza ni kubambikizia watu kesi zisizo na vichwa wala miguu, na baadaye kuaibika mahakamani baada ya kesi kutupiliwa mbali.
  3. Zak Malang

    Polisi wetu wana uwezo wa kuonyesha ubabe kuliko kuchunguza matukio ya vifo, utesaji wa raia nk

    Hicho ndicho wanachokijua kwa sababu hakuna haja ya kutumia akili au busara. Lakini inapokuja kuchunguza matukio ya vifo, umwagiaji tindikali, utesaji wa raia na utupiaji mabomu katika mikusanyiko ya watu yanayouwa polisi wetu huwa kaput! Utaalamu wa hayo hawana pamoja kwamba kuna wasomi...
  4. Zak Malang

    Msafara wa Dkt. Slaa wazuiwa kwa muda Iringa jioni hii

    Bila ya hao mapoliccm -- CCM haina kitu kabisa!!!! CCM kwishney. Pamoja na ishu ya zitto wanayoikuza, CCM wameiona nguvu ya dola!! kama mna ubavu CCM acheni kutumia mapoliccm tuone. Kila saa mbeleko tu!!!
  5. Zak Malang

    Vipi JK hazungumzii ufisadi majukwaani? Kwake mimba za wanafunzi ni tatizo kubwa zaidi ya ufisadi?

    Siku akizungumzia ufisadi majukwaani siku ya pili yake jua litachomoza magharibi na kulelekea mashariki! Hana ubavu dogo huyo!
  6. Zak Malang

    Vipi JK hazungumzii ufisadi majukwaani? Kwake mimba za wanafunzi ni tatizo kubwa zaidi ya ufisadi?

    Tehe tehe tehe ..... yeah tunda lile lile la mti uitwao EPA! Kweli tuna raisi!!!!
  7. Zak Malang

    Vipi JK hazungumzii ufisadi majukwaani? Kwake mimba za wanafunzi ni tatizo kubwa zaidi ya ufisadi?

    Kwenye red: Huyu si aliwahi kusema kwamba wanafunzi wanaopata mimba ni kutokana naviherehere vyao? Au siyo yeye aliyesema?
  8. Zak Malang

    Vipi JK hazungumzii ufisadi majukwaani? Kwake mimba za wanafunzi ni tatizo kubwa zaidi ya ufisadi?

    Kwa nini JK akiwa majukwaani au kwenye hafla huwa hazungumzii ufisadi kwa namna ya kukemea na kusema ni tatizo linalohatarisha amani ya nchi? Nakumbuka mara ya mwisho JK kuzungumzia ufisadi ni Bungeni Dodoma, mapoema August 2008 wakati wa suala la wizi wa EPA lilivyoshika kasi. Hata baada ya...
  9. Zak Malang

    Mwenyekiti gani wa CCM taifa aliyepambana na mwingine katika uchaguzi wa ndani?

    Kwa wao CCM huwa hawataki mwingine apambane na mwenyekiti aliyopo kitini (incumbent) hadi yeye mwenyewe atake kung'atuka, lakini katika vyama vingine maCCM husisitiza sana hilo lifanyika. Ama kweli nyani haoni..... Pambaff hawa Maccm.
  10. Zak Malang

    CHADEMA kama mtamfukuza Zitto, anaweza akaondoka na wafuasi wengi mpaka mkashangaa!

    Zito na wapambe wake wanapaswa kulielewa hili kuhusu uendeshaji wa chama cha siasa. Uendeshaji wa chama cha siasa una changamoto nyingi. Kikubwa ni uongozi bora na fedha. Vyote viwili vinachangia kukuza na kuimarisha chama. Uongozi uko namna mbili – kuna wale wnaokiuza chama...
  11. Zak Malang

    John Mnyika: Too Soon to Lose you!

    Zito na wapambe wake wanapaswa kulielewa hili kuhusu uendeshaji wa chama cha siasa. Uendeshaji wa chama cha siasa una changamoto nyingi. Kikubwa ni uongozi bora na fedha. Vyote viwili vinachangia kukuza na kuimarisha chama. Uongozi uko namna mbili – kuna wale wnaokiuza chama kutokana...
  12. Zak Malang

    Kwa nini Zitto anautaka sana uenyekiti CHADEMA?

    Zito na wapambe wake wanapaswa kulielewa hili kuhusu uendeshaji wa chama cha siasa. Uendeshaji wa chama cha siasa una changamoto nyingi. Kikubwa ni uongozi bora na fedha. Vyote viwili vinachangia kukuza na kuimarisha chama. Uongozi uko namna mbili – kuna wale wnaokiuza chama...
  13. Zak Malang

    Tumefika hapa kwa sababu ya Udhaifu wa Mbowe, Dr Slaa

    Zito na wapambe wake wanapaswa kulielewa hili kuhusu uendeshaji wa chama cha siasa. Uendeshaji wa chama cha siasa una changamoto nyingi. Kikubwa ni uongozi bora na fedha. Vyote viwili vinachangia kukuza na kuimarisha chama. Uongozi uko namna mbili – kuna wale wnaokiuza chama...
  14. Zak Malang

    Kelele zote tunazozisikia CHADEMA ni kwa sababau ya madaraka tu

    Zito na wapambe wake wanapaswa kulielewa hili kuhusu uendeshaji wa chama cha siasa. Uendeshaji wa chama cha siasa una changamoto nyingi. Kikubwa ni uongozi bora na fedha. Vyote viwili vinachangia kukuza na kuimarisha chama. Uongozi uko namna mbili – kuna wale wnaokiuza chama...
  15. Zak Malang

    Nilionya kuhusu Zitto siku nyingi sana, hakuna aliyetaka kusikia

    Zito na wapambe wake wanapaswa kulielewa hili kuhusu uendeshaji wa chama cha siasa. Uendeshaji wa chama cha siasa una changamoto nyingi. Kikubwa ni uongozi bora na fedha. Vyote viwili vinachangia kukuza na kuimarisha chama. Uongozi uko namna mbili – kuna wale wnaokiuza chama...
  16. Zak Malang

    Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    Uendeshaji wa chama cha siasa una changamoto nyingi. Kikubwa ni uongozi bora na fedha. Vyote viwili vinachangia kukuza nakuimarisha chama. Uongozi uko namna mbili – kuna wale wnaokiuza chama kutokana na mvuto wao kwa wafuasi – kama vile wazungumzaji wazuri majukwaani (yaani fiery na/au...
  17. Zak Malang

    Mtela Mwampamba,Habib Mchange na Nyakarungu waratibu mkutano wa waandishi wa Habari Serena Hotel

    Kauli zenu hizo ni za kuendeleza wizi na ufisadi tu. Nakubaliana na Bushfire kwama wakati wa Nyerere katu asingekubali tusi kama hilo.
  18. Zak Malang

    Mtela Mwampamba,Habib Mchange na Nyakarungu waratibu mkutano wa waandishi wa Habari Serena Hotel

    Duh! Nakumbuka hiyo kitu -- magazeti yaliandika saan! Mkuu wao huyo - JK - ndiyo mkosa 'good judgement na maadili' number 1 siku zote anazunguukwa na mafisadi bila hata kushituka, na ndiyo maana anashindwa kuwashughulikia.
  19. Zak Malang

    Mtela Mwampamba,Habib Mchange na Nyakarungu waratibu mkutano wa waandishi wa Habari Serena Hotel

    Nyie SSM ndiyo zenu hizo -- kukosa maadili na good judgement. Miaka miwili iliyopita , Jk aliitisha mkutano na wazee wa Mkoa wa Dsm (wa CCM) katika ukumbi wa PTA kuongelea masuala ya mgomo wa madaktari. Wakati huo ndiyo ulikuwa ule wakati tuhuma dhidi ya Idi Simba za wizi wa fedha za malipo ya...
  20. Zak Malang

    The Shocking Information against CHADEMA

    Uthibitisho mwingine ni wakati wa uchaguzi mkuu 2015 pale gazet la Mwanahalisi lilipofungiwa kwa miezi 3 baada ya kuchapisha mawasiliano kati ya Zoka wa TISS na Zitto kupitia simu zao za mikononi. HGabari za gazeti hilo lilikuwa la kushtua sana na Zitto alishindwa kueleza 'uswahiba' huo ulikuwa...
Back
Top Bottom