Search results

  1. S

    In DEFENCE of LOWASSA (Warioba & Butiku on it)

    Jana baada ya kamati ya Bunge kumaliza kutoa ripoti ya richmond na kueleza pamoja na mambo mengine kuwa kuwajibika kwa viongozi wa kisiasa kumetosheleza nilikutana na watu ambao walikuwa wakijutia chuki waliyoijenga kwa aliyekuwa waziri mkuu bw. Lowasa na kusema kuwa kumbe ni kweli issue ilikuwa...
  2. S

    Mtendaji mkuu wa DailyNews

    jana nilikutana na watu wakijadili watarajiwa wa kuongoza TSN. waliotajwa ni Muhingo Rweyemamu ambaye alihusishwa na kusafisha ufisadi na kuwa ataigeuza dailynews chombo cha kusafishia mafisadi. Innocent Mungy ambaye alidaiwa kuwa ni mzungumzaji mzuri ila si mtendaji kabisa dailynews...
  3. S

    Where is Mkoko

    Shangazi huku hatuaoni Mlimani TV na Masasi pia yuko huko kwenye TV hiyo maana Mkoko yuko huko, Damumbaya nilisikia yuko kwenye redio mlimani?
  4. S

    Open university na ada za walala hoi

    Gudboy mi pia nilikuwa na wazo kama lako na nikajenga hoja kuwa ukiandika barua ya kujicommit kuwa utalipa hakuna mtu ataekataa na hiyo ni kwa vyuo vyote duniani, wadau wakasema barua hizo hazikubaliki open university ya Tanzania.
  5. S

    Chadema imeishinda CCM

    Wadau kuna hoja kwamba nchi kuingia kwenye mgao ni sehemu ya ushindi wa CHADEMA dhidi ya CCM ambao wamefanikiwa kuisambaratisha CCM na kuifanya kipoteze muelekeo kiasi cha kusababisha CCM kugawanyika na kushambuliana wao kwa wao na kisha kushindwa kufanya maamuzi yenye maslahi kwa taifa hadi...
  6. S

    Open university na ada za walala hoi

    wadau kuna taarifa toka kwa wadau ambao wanataka kujiendeleza katika chuo chetu kikuu huria cha Tanzania kwa madarasa ya jioni kuwa mkuu wa chuo hicho ametoa maelekezo kuwa wanafunzi wanaoanza kozi ya masters ambao hawataweza kulipa ada yote ya mwaka wasiruhusiwe kuingia madarasani. kuna yoyote...
  7. S

    She says she is Unhappy!

    mimi imeshawahi kunitokea aliponiambia kuwa hayuko happy alimaanisha kuwa hana mpango na mimi sema alikuwa anajishauri jinsi ya kunipiga chini ukizingatia kuwa nilimsomesha five na six na CBE nafsi ikawa inamsuta kuniacha kirahisi. mi nakushauri umuelewe, inawezekana hayuko happy kwa maana...
  8. S

    WASTAAFU wanapewa tena madaraka kwanini?

    kaka hapo umesema na kama watakuwa hawafai basi utawakuta kwenye mabodi na makamati. utakuta mtu mmoja yuko kwenye bodiya mfuko, kamati ya kuteuliwa nk na zote ziko wizara moja. nenda mawasiliano, habari, fedha, viwandank mtu mmoja yuko kwenye kamati mbili au tatu sasa unajiuliza maka sual ni...
  9. S

    Wabunge wasiwe wajumbe bodi za mashirika ya Umma

    Bunge likielekea ukingoni katika baadhi ya wizara tumeshuhudia kujirudiarudia kwa wajumbe wa bodi na kamati za mashirika au taasisi zinazosimamiwa na wizara mbalimbali. Katika baadhi ya wizara utakuta mtu huyo huyo ni mjumbe wa bodi moja kwenye bodi nyingine ni mwenyekiti na kamati nyingine...
  10. S

    Clouds FM warusha kisa cha kushtua!!

    Nasikia watoto waliofanyiwa unyama walitajwa najina, madarasa wanayosoma na majina ya wazazi wao sasa wamekuwa kituko na wanazomewa madarasani na shule wameacha kwenda. sheria ya vyombo vy ahabari inarushusu hilo?
  11. S

    Benjamin William Mkapa nimjuaye...

    jamani mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. hata wewe unaeona mapungufu una pande mbili ya maisha yako. una mazuri na mabaya. kabla hujasemea boriti katika jicho la mwenzio toa kibanzi kilichoko katika jicho lako. aiseeee jamaa wameandika kwa mahasira. inaelekea jamaa wanaishi maisha ya...
  12. S

    Ushauri please passion imekufa

    wakati mwingine wanaume wanaelewa kwa vitendo zaidi. mueleze kuwa maneno yako yamekuumiza na kwamba kwa sasa haujisikii tena na hivyo unaomba akupe muda. na umaanishe kwa kutopretend kwenye kajambos. kama anakupenda na anania na wewe atajirekebisha
  13. S

    Is this normal?

    kakaaaaaa ongeza kubembeleza, vimichezoooooo, saidia kazi, vizawadiiii, sifa sifa, utakula hadi useme basi mwenyewe. onyesha unajali wanawake wanapenda kujaliwa.
  14. S

    Mengi awaponda wanaomwandama

    mzeee mengi vipiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii????????????????????? usiwasikilize sana washauri wako wanakupotosha sasa. unaongea mno mzee wangu. hebu rudisha ile busara yako ya kila siku usiwasikilize wapambe mzee wangu. UNATUANGUSHA SASA
  15. S

    Ajali ya Dr. Mwakyembe na yatokanayo

    Mwakyembe ugua upone. katika hili nadhani kuna mtu anatufunga kamba kidogo tu lakini. kwani speed za hayo magari zilikuwa kiasi gani? maana kama mtu anamuovertake mtu aliye ni speed 100 inamaana anaenda sio pungufu ya 110 na ukungu na baridi na umande hamadi shimo hili hapa, unategemea nini...
  16. S

    ITV, Mengi to be dealt with soon

    jamani mbona tukiuliza maswali yanayohusu sifa nyinginezo za bwana Mengi michango yetu inafutwa. hapo hapa ni mahali pa ziumu fikra za bwana Mengi pekee? i smell rats
  17. S

    ITV, Mengi to be dealt with soon

    kuna habari mtaani kuwa hii ni move ya kuhakikisha kuwa serikali haiibani ITV kipindi cha uchaguzi. kwa kuwa kesi iko mahakamani basi hawatafanywa lolote wakitangaza vita dhifi ya ufisadi. wakubwa mmeipata hiyo? ikoje?
  18. S

    ITV, Mengi to be dealt with soon

    Mtaani kuna tetesi kuwa hatu ahii iliyochukuliwa inalenga kuifinga mikono serikali kuingilia masual ambayo ITV itatangaza kipindi cha uchaguzi ujao. Ni kawaida kwa kesi kuendelea kwa muda mrefu hivyo hii ninjia ya kuiwezesha ITV na chadema kupambana na ufisadi katika uchaguzi. Wadau mmeipata...
  19. S

    Issa Michuzi na vekesheni

    leo umenitolea kali kumbe kuna watu ambao maendelao ya watu ni tatizo? nanhiii akivinjari nchi za watu nongwa. hebu tujisifie jamani kuwa na mpiga picha wa kitanzania ambaye ni mbunifu. acha wivu bwana
  20. S

    For your EYES ONLY: From Salva to Rostam

    Hivi ni kwamba watanzania hatufahamu historia au tunapuuza historia? kuna gani geni katika hilo? Kama tutatulia na kukumbuka historia ya miaka minne tu iliyopita hakuna jipya wwla la kushangaza. Rweyemamu alishiriki katika kampeni wa mtandao wa kikwete ambao ulikuwa na washirika saba ambao...
Back
Top Bottom