Search results

  1. Patience123

    Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    Msalimie BIGI mdogo hapo ndani 🤣
  2. Patience123

    Vurugu Umbwe-Lyamungo: Miaka 12 baadae

    Subiri kwanza.... Mimi ndiye Legend sasa. Nimesoma Umbwe, nimesoma Machame... Tukiwa Machame tulikataa kucheza disco ya Lyamungo, tukacheza na Umbwe. Lyamungo wakatishia kutuchapa viboko tukifunga shule. Tumefunga shule tukaogopa kuondoka shuleni maana walisema wanatusubiri pale mashine...
  3. Patience123

    Simu za Redmi zina shida ya overheating?

    Wewe sio mzima.... 🤣 Yani naomba msaada wewe ndio kabisa unanichinja 🤣 Khaa, subiri kwanza pakuche vizuri hata ninywe chai
  4. Patience123

    Vurugu Umbwe-Lyamungo: Miaka 12 baadae

    Hawa hata siwaumbuki. Kitambo kirefu sana. 20yrs now. Umbwe nimetoka 2002...
  5. Patience123

    Vurugu Umbwe-Lyamungo: Miaka 12 baadae

    Etropia nilimuacha shule, mimi nilisoma na dada yake Etropia
  6. Patience123

    Vurugu Umbwe-Lyamungo: Miaka 12 baadae

    Weeeee, mwalimu Mbise alifariki muda mrefu sana. Alipata uvimbe tumboni ukawa sababu ya kifo chake. Alitufundisha English kuanzia form one mpaka four. Apumzike kwa amani Mwl Mbise. Mr Kapinga nae alishafatiki pia. Alikuwa anafundisha B/K na commerce
  7. Patience123

    Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

    Kuajiri plumber uchwara. Kuta maji yanavuja rangi imebanduka sana
  8. Patience123

    Simu za Redmi zina shida ya overheating?

    Usiseme hivi. Wakati nabadilishiwa simu, Redmi 10 zilikuwa zimeisha, nikaongeza hela kidogo nikapewa note 10s... Laki 530 miezi miwili tatizo ni lile lile. Nimejaribu kuweka screenshot ya hiyo overheating alert Naona Nimeshindwa, natumia browser. Usawa huu simu natoa wapi tena? Subiri...
  9. Patience123

    Vurugu Umbwe-Lyamungo: Miaka 12 baadae

    Nakumbuka tu jina Feruzi, alikuwa mweusi na lips flan nyekundu. But alikuwa Day, kama ni huyo namkumbuka.
  10. Patience123

    Simu za Redmi zina shida ya overheating?

    Daaah 😭😭😭😭 Mkuu, umeamua kunikata maini kabisa
  11. Patience123

    Simu za Redmi zina shida ya overheating?

    Nilitumia Redmi 9c, haikuwa na shida, ikaibiwa, Japo baadae nikaja kuipata but tayari nimeshanunua Redmi 10. Hii Redmi 10 ndio baada ya muda ilianza usumbufu wa kuchemsha. Na sasa ni Redmi note 10s. Au pengine kuna namna nakosea matumizi, Japo mimi sio mgeni wa kutumia smartphone.
  12. Patience123

    Simu za Redmi zina shida ya overheating?

    Duh... Hii yangu nimenunua Banana Morocco mkuu, pale jengo la Airtel, nadhani wale ni E-life communications, Mbona masikitiko jamani
  13. Patience123

    Simu za Redmi zina shida ya overheating?

    Nimenunua Banana Morocco mkuu, na ni brand new.
  14. Patience123

    Simu za Redmi zina shida ya overheating?

    Wakuu salama? Nilinunua Redmi 10 mapema mwaka huu, baada ya miezi michache ikaanza kupata moto sana na kumaliza battery haraka nikapeleka kwa agent aliyeniuzia wakapeleka service center mwisho tatizo halikuisha, wakanipa device nyingine hiyo hiyo brand ya Redmi, but note 10s. Miezi miwili sasa...
  15. Patience123

    Uhalali wa kuoa mke zaidi ya mmoja (maoni yangu kama mwanamke)

    Ngono Ngono Ngono Yes, ndio starehe pekee ambayo tajiri na maskini wote wanaimudu... Mashamba na mifugo hatuna, na ngono tukose? Acha utani...
  16. Patience123

    Vurugu Umbwe-Lyamungo: Miaka 12 baadae

    2001 nilikiwa Umbwe, form three.... Hizi vurugu sizikumbuki.
  17. Patience123

    Sad Truth: Sijivunii na mama wa mtoto wangu

    We jamaa kenge kila ukipumua. Wallahi Nimecheka kama kichaa
  18. Patience123

    Mention someone without any reason just to disturb them

    Nimecheka kwa nguvu. Halafu usijidai kuwa namba yangu umefuta. Long time no see you mtu wangu
  19. Patience123

    Mention someone without any reason just to disturb them

    Amenificha kaka yako Mtani. Mtu M-bad sana yule
Back
Top Bottom