Chama Cha mapinduzi kinatarajia kutumia mfumo mpya wa wajumbe wa mkutano mkuu wa Jimbo/wilaya kupiga kura za maoni kupendekeza wagombea Ubunge .
Utaratibu huu ni hatari sana kwakuwa unachochea rushwa kwakuwa wapiga kura ni wachache hivyo wagombea wenye fedha nyingi watawanunua kwa gharama...
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwan Kikwete anapumulia mashine Jimboni kutokana na hali mbaya ya kisiasa uchaguzi mkuu 2020 hali inayomfanya ashindwe kuhudhuria bunge la bajeti na kuweka kambi Jimboni kufanya kampeni .
Ridhiwan Kikwete amekosa uungwaji mkono kutokana na utendaji wake dhaifu na...
Jimbo la Iramba limekuwa na vita vikali kati ya Mwigulu Nchemba (Mbunge wa sasa aliyewahi kuwa Waziri pia) na Katibu Mkuu wa sasa Wizara ya Maji Prof. Kitila Mkumbo. Wasomi hawa wamekuwa na msigishano wa hapa na pale na kufanya Jimbo sasa kuangalia zadi watu waofaa badala ya kuangalia nini...
Kuhusu hili la kutengeneza mvua wazungu wenyewe wameandika haya maelezo ya kihistoria . wamekiri kwamba ilikuwa ni miujiza ya ajabu sana .
Sent using Jamii Forums mobile app
SHUJAA WA SINGIDA ALIYETUMIA MVUA YA MAWE KUPAMBANA NA WAJERUMANI
-Ni Kitentemi wa Isanzu- Mkalama
-Aliweza kutengeneza mvua wakati wowote na kuituma kwa Maadui zake wajerumani na kuihamisha mvua anavyotaka ielekee .
Na ALFRED RINGI
KITENTEMI mwanaume shujaa wa Singida aliyepambana vita...
Taarifa nilizodokezwa kutoka ndani ya CHADEMA ni kwamba uongozi wa chama hicho Taifa unaisha muda wake siku ya ijmaa tarehe 14.09. 2019 na kama hawajafanya uchaguzi msajili wa vyama siasa Nchini atalazimika kukifuta chama hicho au kukitaka kisitishe shughuli za kisiasa Nchini.
Hata hivyo...
Kwa kipindi kifupi alichokaa madarakani Rais Magufuli ameonyesha uwezo mkubwa sana wa kujenga miundombinu ya Uchumi wa Nchi, ameweza kujenga na kuimarisha mifumo ya utendaji kazi na ameweza kuisimamia ipasavyo. Rais magufuli ameibuka kuwa kinara wa ujengaji uchumi na maendeleo kwa watu wake...
*VIJANA NI TUNU YA NCHI KUKOSA UZALENDO NI USALITI*
Na Mzee Kiruu
Vijana wengi wa kitanzania kwa kupitia asasi mbalimbali wamekuwa wakitumiwa na Mabeberu kuchochea machafuko na fikra za vibarakara. Hii ni kwasababu ya kukosa Uzalendo na tamaa za kupata mafanikio ndani ya muda mfupi.
Moja...
Rais Dkt John Magufuli anaongea na wafanyabiashara Nchini ambapo katika hotuba yake ametaja vikwazo vikuu vya biashara Nchini kuwa ni Rushwa, utitiri wa kodi na tozo, ukosefu wa mitaji, Mawakala wa TPDF na utitiri wa taasisi zinazosimamia biashara. Rais JPM anaendelea na hotuba na atawakaribisha...
Rais Magufuli akiwa Zimbabwe amefungua fursa ya soko la Mahindi nchini Zimbabwe, sasa Tz itauza tani Laki saba (700, 000) za zao hilo Nchini Zimbabwe kwa kila mwaka.
Tanzania inapaa kiuchumi, Rais Magufuli anafungua fursa.
*AfDB President: Magufuli Is a Bold Reformer*
By Special Correspondent, Dar es Salaam
The Fifth Phase Government under the leadership of the President Dr. John Pombe Magufuli, has continued to be commended on the vast development reforms taking place in the country.
The African Development...
*MZEE JUMA DUNI HAJI UMEUDANGANYA UMMA KUHUSU KITAMBULISHO CHA MZANZIBAR MKAZI.*
Anaandika Abdallah Juma Makame mzanzibari halisi
Kiukweli Mzee Juma Duni Haji umekosea sana na umeudanganya umma juu ya kitambulisho cha uzanzibar mkazi kushindwa kuthaminiwa na kuwa kimekataliwa kutumika katika...
SHEIKH PONDA, KUNDECHA, WAANZISHA DES YA KIISLAM,WAWADHULUM WAISLAM.
Mwenyekiti wa Baraza kuu la Taasisi za kiislam Mussa Kundecha kwa kushirikiana na Sheikh Issa Ponda Katibu wa baraza hilo na katibu wa shura ya maimam Tanzania wanamiliki DES inayotumika kuwatapeli waislam hapa Nchini.
Miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.