Search results

  1. B

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mikocheni B umeme hakuna, je ni mgao? kama mgao umeme utarudi saa ngapi au hitilafu?
  2. B

    Tukumbuke Zamani: Historia ya Taifa letu katika picha

    Natafuta picha ya Mwalimu Nyerere ya 1983 akipokea tuzo ya Nansen aliyopata kutokana na msaada wake mkubwa kuhifadhi wakimbizi Tanzania. Mwenye nayo tafadhali naomba msaada.
  3. B

    Msaada: Gharama ya Kupaka rangi conmix

    Habari zenu? Naomba kupewa makadilio ya kupaka rangi conmix kwa nyumba yenye vyumba vitatu, store, jiko, sebule na dining. Makadilio tu ili niweze kujua najipanga kuanzia wapi. Nyumba ilishapakwa rangi ya kawaida kabla ila imechakaa inahitaji kubadirishwa. Asante.
  4. B

    Ninauza mayai ya kuku chotara

    Habari zenu, Ninauza mayai ya kuku chotara. Bei ya trei moja ni 12,000/- Tshs tu.Ninapatikana Mbezi ya Kimara. Kwa atakayehitaji namba zangu ni 0685323620. Kama kuna anayejua soko la mayai kwa hapa Dar es salaam ninaomba anijuze. Karibuni sana.
  5. B

    Ninauza mayai ya kuku chotara

    Habari zenu ninauza mayai ya kuku chotara bei ya trei moja ni 12,000/- Tshs tuna patikana Mbezi ya Kimara. Kwa atakayehitaji namba zangu ni 0685323620. Kama kuna anayejua soko la mayai kwa hapa Dar es salaam ninaomba anijuze. Karibuni sana.
  6. B

    Ninauza majogoo aina ya Kroiler/chotara.

    Habari za kazi! Ninauza majogoo aina ya Kroiler/Chotara kwa bei ya shilingi 15,000/- wana umri wa miezi 7. Mimi ninapatikana Dar es salaam. Kwa atakayehutaji ntamletea hadi mlangoni. Shukrani.
  7. B

    Ninauza majogoo aina ya kroilers/chotara

    Habari za kazi! Ninauza majogoo aina ya Kroiler/Chotara kwa bei ya shilingi 15,000/- wana umri wa miezi 7. Mimi ninapatikana Dar es salaam. Kwa atakayehutaji ntamletea hadi mlangoni. Shukrani.
  8. B

    Naulizia soko la kuku chotara/ Kroilers.

    Dar es salaam
  9. B

    Naulizia soko la kuku chotara/ Kroilers.

    Habari zenu? Mimi nimfugaji wa kuku chotara lengo ilikua ni kwaajili ya biashara ya mayai lakini baada ya kuletewa vifaranga nikakuza na majogoo ambayo kwasasa nimeamua kuyauza. Wapi nnaweza kupata soko nikauza majogoo, yana miezi 6.
  10. B

    Shule ipi nzuri kwa A level kwa ajili ya kijana wangu mwakani hususani za Serikali?

    Asanteni sana, nimegundua nilikosea kwenye ombi langu kwani sikua specific kuwa sio shule ya serikali kwani sina uwezo wakumuingiza shule ya serikali, hivyo ningepata kujuzwa shule za binafsi ingefaa zaidi. Shukrani
  11. B

    Commercial Bank of Africa (CBA) graduate trainee interview

    naomba kuuliza, kuita watu wanatuma email au wanapiga simu?
  12. B

    Nnauza HTC 620

    Ninauza HTC 620 kwa 290,000 Mwenye kuhitaji anipm
  13. B

    Msaada: Kila nikitaka kuinstall itunes ikifika inaroll back

    Naomba msaada wenu, kila nikijaribu kuinstall itunes kwenye laptop inagoma, nikiinstall inaendaa ikifika sehemu inaanza kurudi nyuma ( roll back) then inaishia hapo, nimejaribu version tofauti ila bado , naomba msaada jinsi ya kufanikisha ni' install
  14. B

    Kuactivate lg g4 baada ya kuselect language.

    Msaada jinsi ya kuactivate lg g4, nikiwasha inanipa option ya kuselect language, nikishaselect language inanipa option ya kuset internet connections ambayo nikiselect chochote kile inanipeleka kwenye configuring your phone kwa muda mrefuuuuu mpaka charge inaisha, tatizo ni nini na jinsi ya...
  15. B

    nataka kwenda ledger plaza au kama ramada hivi au double tree ila sijui bei ya kiingilio

    Nnaplan ya kwenda swimming sehemu nzuriiiii kama ramada au ledger plaza au double tree sitaki coco nilizozoea nikabarizi na mdada flani hivi ila sitaki nifike pale nitoe macho kiingilio, kwani shilingi ngapi etii !
  16. B

    Kiwanja kinauzwa Kigamboni

    Kimepimwa? Kipo eneo gani?
  17. B

    Achari/Ubuyu wa embe

    Asanteee
Back
Top Bottom