Search results

  1. S

    Msaada:: Computer yangu inachelewa kuwaka.

    Nami pia nakushukuru sana kwa ushauri huo mana hata mimi yananikutaga sana hayo. Mi niko na Latitude D620 RAM 1GB,Processor ni 1.83GHz lkn ni Duo Core. Hadi leo sijapata kujua Ni Antivirus gani ni best for my PC. Tafadhali nami nisaidie!!!
  2. S

    Nasumbuliwa na Shahidi wa Yehova

    NAKUUNGA MKONO SANA KUWAHUSU MASHAHIDI WA YEHOVA. Jaman,tusijudge vibaya km hatuna uhakika na jambo.NO RESEARCH NO RIGHT TO SAY wandugu. Tufanye utafiti wa ndani zaidi kuwahusu Mashaidi wa Yehova,nadhan hiyo itasaidia zaidi. NI MTAZAMO TU!!!
  3. S

    Mchungaji Yehova jela kwa wizi

    Mwisho wa kesi hiyo ilikuwa ni nini!!? I mean,Huyo ndugu bado yupo Jela!?
Back
Top Bottom