Search results

  1. T

    Zanzibar 2020 Zanzibar: Maudline Cyrus Castico achukua fomu kuomba ridhaa ya kugombea urais

    Mbona mwaka 2015 bara walijitokeza 46. Hapo wengi hawautaki urais isipokua wanataka teuzi tu kutoka kwa Rais atakaepita lazima ataikumbuka tu timu yake ya wachukua fomu wenzie 32. Kama JPM waliochukua nae wengi walilamba uteuzi na uwaziri.
  2. T

    Wataalamu, ina maana gani kupandisha mapato ya mwajiriwa kutoka 170,000/= mpaka 270,000/=?

    Kwa hiyo kwa mfano mtumishi ana basic ya 750 vp anaweza pata ongezeko kwenye take home yake? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. T

    Sheria mpya za kutuma pesa kutoka nje zitapunguza mapato

    Mbona unapanic mkuu? Hv kuna mekezaji gani wa maana anaetumia app kutuma hela ya uwekezaji wake? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. T

    Ni faida gani wanayopata wenye followers wengi Instagram na viewers wengi YouTube?

    Wadau naomba kuuliza maswali mawili mwenye kujua anielekeze. 1. Wale wenye followers wengi Instagram hadi wanakuwa na tick ya blue hivi wanapata hela au inakuaje, yaanikiufupi wanapata faida gani na ile tick ya blue? 2. Wasanii wakiwa wametoa nyimbo wakiiweka kwenye YouTube wakipata views...
  5. T

    Chato kuwekewa taa za barabarani

    Tuache ushamba bana taa za barabarani sio issue kubwa hata kidogo kwanza zinatumia sollar tutembee tuone ndio tutaamini ni swala dogo sana.Nenda zanzibar uone taa za barabarani zipo barabara nyingi tu ukipita usiku zinawaka
  6. T

    Tanzania bado hatujapata Rais Mzalendo na Intellectual

    Tanzania tunatafuta Rais mzalendo wa kazi gani kwenye taifa linalokesha kutafuta video ya ngono?
  7. T

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Watabana wataachia tu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. T

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Sent using Jamii Forums mobile app
  9. T

    Tujipange: Kutaifishwa mzigo wa almasi Airport ni mwanzo wa vita ya kibiashara kati ya Tz na De-Beers

    Sasa hv inauzwa hatupati kitu tangu miaka na miaka sasa tukiizuia hata tukikosa wa kumuuzia tutapata hasara gani? Wacha tuizuie inawezekana wajukuu zetu wakaja kuiuza na kupata mafanikio tele? Coz hata hao walioitetea sio wao wanaofaidika sasa ni vizazi vyao,pia tusiwe waoga kuwa nani atainunua...
  10. T

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Barua itakua ya kizushi tu hiyo yaan iandikwe trh 27 july na tuanze kuiona humu august mwishoni? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. T

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Mm shule ninayofanya kazi wameshahama walimu watatu wa kike tena wote ni nje ya mkoa sijui hizi njia za panya ni kwa ajili ya wanawake tu? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. T

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Mmmmh Sent using Jamii Forums mobile app
  13. T

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Lini sasa tutahama? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom