Unaweza kutupatia link ya hiyo hotuba ya London, Uingereza, tarehe ishirini na sita mwezi wa Juni mwaka 1959 kwenye mkutano uliohutubiwa pia na Father Trevor Heddleston?
Sijui swali lako linalenga wapi. Kama unazungumzia muktadha wa EAC suala muhimu si nani economic powe house. Suala muhimu ni kwamba kila nchi itafaidika vipi na mfumo wa ushirikiano wa kiuchumi (economic integration) uliopo. Kwa uelewa wangu ambao kila nchi ina fursa ya kufaidika na EAC. Mjadala...
Hivi kweli unadhani JK anaweza kumwondoa SS? Kama ameshindwa kuwaondoa akina Chenge, Rostam kutoka katika nyadhifa zao CCM atawezajekumwondoa huyo Waziri?
Jana nilikwenda kipiga kura saa 3 asubuhi. Kituo kilikuwa hakijafunguliwa na wala hapakuwa na dalili wala taarifa yoyote. Nilisubiri hadi saa 3.30 na baada ya kuona hakuna kinachoendelea nikaondoka kwenda kwenye shughuli zangu. Wakati nikiwa kituoni, walikuja watu wengi na wakaondoka kwa kukata...
Nani alisema viongozi wa siasa hawawezi kupata Phd kutoka UDSM? Magufuli tayari alikuwa na M.Sc ya UDSM na alianza kusomea hiyo Phd miaka 5 iliyopita. Sasa politicization inatoka wapi?. Mh Magufuli anastahili pongezi. Kwani tofauti na wanasiasa wengine (Nchimbi, Mary Nagu, Mahanga, Chegeni, etc)...
Namuunga mkono Keil kwa 100% Kwani nini kinamzuia kusema "Naagiza kwamba kuanzia sasa viongozi wote wa serikali, ukitoa Rais na Makamu wake, watumie magari yasiyozidi cc 2000. Wenye magari yanayozidi ukubwa huo wawe wameyarudisha Wizara ya Ujenzi ifikapo 31 Dec 2009" ili yauzwe". Kwa kuongoza...
Kitendo cha Spika Sitta kukaangwa kwenye kikao cha NEC kinadhihirisha kwamba mafisadi wana ngivu isiyo na kifani na hata wamekiteka chama cha CCM, pia wameiteka dola. Wabunge wa CCM wanaopinga ufisadi inabidi wajipange upya. This war must not be lost.
Amechanganyikiwa haswa! Nilidhani atazungumzia mapungufu wa Waraka, kitu ambacho hakukufanya kabisa. Haitoshi kusema dini isichanganywe na siasa. Mbona mara nyingi katika matukio mbalimbali wanasiasa hukaribisha viongozi wa dini wawaombee?
Ni Wakati Tume ya Uchaguzi ya Taifa ifikirie kutumia electronic voting. Isisubiri hadi watu wachinjane. Hebu soma:-
"Kenya may adopt an electronic voting system by 2012 should stakeholders and the Interim Independent Electoral Commission (IIEC) agree.
Yesterday at the National Conference...
Ni doctorate ye heshima aliyopewa na Jomo Kenyatta University kutokana na mchango wake wa kuleta amani Kenya baada ya vurugu ziizotokea baada ya uchaguzi wa 2008
Mnakumbuka wakati akiwa Waziri wa Ujenzi Mhe.Magufuli alisema hawezi kujenga flyovers DSM kwa kuwa sehemu nyingi nchini hazina barabara. Matokeo yake ndiyo tunayaona katika msomgamano jijini Dar. Hivyo hatuwezi kusubiri eti barabara zingine zijengwe ndipo mradi huu uendelee. Lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.