Search results

  1. A

    Huyu mdudu anaitwaje?

    Tandu
  2. A

    Ninauguliwa na baba watoto wangu

    Pole Sana mkuu, kumbe umeikula Chumvi
  3. A

    HISTORIA YA MAPINDUZI ZANZIBAR 1963-1964

    Sultan aliyetoka Oman kwao ije kuwa Uingereza? Angalia pia takwimu zako za matokeo ya uchaguzi wa 1963.Sultan anaishi Potsmouth Uingereza kama uhamishoni.
  4. A

    Tuweke kumbukumbu sawa, Bethlehem alikozaliwa Yesu sio Israel, ni Palestine

    Hii ni kutokana na jinsi UNO ilivyogawanya maeneo 1947.Eneo lote lilikuwa chini ya waingereza hapo Kabla.
  5. A

    Forever Living imeniachanisha na mke wangu

    huna lolote majigambo mengiiiii
  6. A

    TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

    nimechoropoa kama 20 hivi kati ya hizo nne ni za baba yako
  7. A

    TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

    The Guy is in here for this long, uwiii, ataniua leo
  8. A

    TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

    Katika vitu vya kijinga kwenye relaionship ni kutikisa kibiriti karibu na petrol, na huwa sifanyagi hayo NEVER maana mimi mtu akinitishia kuniacha huwa ndo bye bye sibembelezi hata kama nimefika bei. Kwa kulitambua hilo huwa nikiamua kuachana na mtu normally huwa siagi wala sijielezi yani huwa...
  9. A

    TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

    Apparently hata kuvunjika kwa ndoa yake pamoja na allegations nyingi alizotoa ex wife wake lakini na yeye pia anadai kikubwa ni kuhusu huyu huyu mtoto wake kwamba ex wife alikua hampendi na alikua anambagua kiasi kwamba mtoto akakimbilia kwa babu yake. Kitu nilichokuja kugundua ni kwamba hata...
  10. A

    TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

    I GOT TIRED...NIMEKATA TAMAA BECOZ NAONA KAMA NILIJITOA MNO TO HIM AND HIS CHILDREN LAKINI KUTWA MATUSI NA LAWAMA
  11. A

    TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

    Nimekuelewa mno ndugu! Najua kabisa kitu kipya sio lazima kiwe bora zaidi kuliko cha zamani na ndio maana mie huwa si mtu wa kuondoka kwenye relationship mara nyingi huwa nabaki hadi mwisho kabisa....hata hapa nitaendelea kubaki kuona upepo unavyokwenda na mimi sitashindana na upepo nitaelekea...
  12. A

    TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

    Nisaidie kwa kupiga kimya. Baki tu kusoma comments za wadau.
  13. A

    TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

    Hata mimi huwa naliwaza mno hilo suala, maana nahisi inaweza tokea siku akanifurumusha nje....Nachomlaumu ni kwamba, nilimsisitizia mno kwamba ayamalize na mkewe kabla hajamove on na mtu mwingine.... kidesign moyoni naona kama hatutafika mbali maana ni shida mno aiseeee....sasa why hakumbembelez...
Back
Top Bottom