Search results

  1. W

    Bodi ya mikopo yatoa majina ya wanaodaiwa.

    Nafikiri huu ni ufisadi. Mimi wakati ninasoma sikuwahi kuandikiwa barua kuwa nimekopwa kiasi gani,na pia sikuambiwa utaratibu wa kuzilipa baada ya kumaliza masomo utakuwaje. Hivyo nafikiri itakuwa wafanye verification juu ya utaratibu wa kulipa na watuandikie,maana information zetu wanazo,ili...
  2. W

    Umoja ni nguvu

    Naitwa wasunuka,nimekuwa nikifuatilia sana jamii forums kwa muda mrefu sasa na nimeamua kujiunga ili tuwe na nguvu kubwa ya kuleta maendeleo katika nchi yetu na africa kwa ujumla,Napenda kuwapongeza sana wote kwa juhudi kubwa za kupinga ufisadi bila woga,naomba tusonge mbele,tutashinda. Umoja...
Back
Top Bottom