Search results

  1. N

    njoo nikufundishe Lugha ya chit chat ya jf ili msipigwe ban

    )<um6€ ^1 &#8377;u)<54 )<u¤^g€4 u+4)<4v¥¤? £1§§4^1§§4 upo h4po 3434 m14?
  2. N

    Success

    teh..teh..teh! Madame B ndio nini hicho? Au ndio lugha gongana? Lol. . Acha nicheke mie
  3. N

    Ladies Understand your MAMA MKWE..... Its worth it!!!

    umeonaee! Skirt & gaun ndio mpango mzima
  4. N

    Hawa Hawana Wivu wa Mapenzi Afrika Mashariki na Kati

    kwa upande wa watusi nakuunga mkono asilimia zote.
  5. N

    Tabia ya Mume inanitesa

    Pole sana kwa yaliyomsibu mdogo wako, me simshauri kabisaa aache ndoa yake bila kujua sababu inayomfanya mumewe awe vile. Chamsingi awaite viongozi wa dini awaeleze iloswala mbele ya mumewe ninauhakika kama mke ndiye anayemkwaza ni lazima atasema na mambo yatakaa sawa. Ndoa si lelemama...
  6. N

    Wanawake wa Mitandaoni (Online Girls)

    umemjibu vizuri sana mkuu.
  7. N

    Ladies Understand your MAMA MKWE..... Its worth it!!!

    ngoja nisiandikie mate wakati wino ninao.. Anayepinga na apinge sasa!
  8. N

    Nyumba ndogo

    vp kubwa imekushinda ndugu?
  9. N

    Sijawahi kufika kileleni

    pole sana Jenu kwakukosa raha duniani na hivi umri ndio unazidi kusonga ndivyo matumaini ya kupata kautamu yanapungua lol!
  10. N

    Tanzia: Mama yangu mzazi ameaga dunia

    kwahiyo ulitaka apige mayowe na kugaragara chini kwenye basi ili watu wajue kuwa anamajonzi? Wakati mwingine tuweni wastaarabu katika mambo kama haya ijoz anahaki kabisa kuingia mtandaoni na kutujuza sisi kama rafiki zake ilituweze kumfariji katika kipindi hiki kigumu na si kumvunja moyo kama...
  11. N

    Tanzia: Mama yangu mzazi ameaga dunia

    Pole sana ijoz kwa msiba ulio kufika, najua upo katika kipindi kigumu sana ila Mungu akutie nguvu katika kipindi chote hiki cha majonzi. Mungu ailaze roho ya mama yetu mpendwa mahali pema peponi. AMEN.
  12. N

    Njia nzuri ya kuanika nguo za ndani ili zikauke ni ipi katika jamii?

    ha ha ha ha.... Umenichekesha sana Madame B.
  13. N

    Natafuta rafiki wa ku chart nae jamani....

    mmh... Haya ckujuaga hilo!
  14. N

    Natafuta rafiki wa ku chart nae jamani....

    SEX:Jamiiforum jamiiforum ndio jinsia gani? (najuaga kuna jinsia mbili tu, kumbe kuna ya tatu.. Dah!)
  15. N

    Hili swali unalichukuliaje?? ...

    nimeona hilo swali linawahusu wanaume zaidi. But kwa maoni yangu me nadhani ukishapewa jibu kama hilo ujue mwenzio yuko ki business zaidi.
  16. N

    Hili swali unalichukuliaje?? ...

    Ha ha haa! Ngoja walengwa waje
  17. N

    Uzuri wangu sasa umekuwa kero

    Ha ha haa... Yaani nimecheka mbaya nilivyoisoma title nilizani ni mwanamke mwenzetu kumbe ni dume loh! Me nadhani we sio rizki, mwanaume asifiwi sura babu coz hata beberu anayo! We kaa ujisifie sura na shepu uone wanaume wenzio watakavyokufanya.
  18. N

    TAFITI: Watu wafupi wana wivu, gubu na ni wagomvi tofauti na watu warefu, lakini...

    huo utafiti waliufanyia wapi mpaka wakabaini hivyo. Mbona kwa wenyeji wangu huku SAME ni wafupi balaa lakini kila cku wanajazana wodini mpaka wanakosa vitanda kwaajili ya kujifungua? So kwa upande wa kuzaa sikubaliani na wewe ila kwa upande wa kuckia maumivu waki do nawanaume warefu...
  19. N

    Ni kweli kuhusu hawa wanawake?

    mmmh! Mwanamke mzuri ni kero tena? Kwani ukipita na mbaya ndio hawakukodolei mimacho? We hujawajua vizuri walimwengu hawanajema hata kidogo tena ukisema uende kwenye part huku uko na demu wako asiyeeleweka lazima wata kunanga tu kwa maneno ya kejeli.
Back
Top Bottom