na hii tax exemption myaka kumi na tano it must be a joke. kuna faida ipi ya moja kwa moja kwa mtz ili wasamehewe kodi miaka yote kumi na 5? mitano yenyew ming iweje 15? na hao wafanyakaz 5000 ama nafas nyngne 2000 ni %ngapi ya jobless out of 48million tanzanian? f.u.c.k them
Ni watu wachache mno wanaoweza kutamka kwa ukweli kabisa na bila woga mbele tena ya waumini wa mtu mwingne, kwel kama zitto ni mkubwa kuliko chama waende. LLLOOO amewazibua masikio,hata zito alidai alilelewa na cdm pale alipoFikia kazi si ndogo
watu wengine makatili sana, pale blc L ukenda huwez ongea bathroom lazma uongee tena dem wako anakumwagiamwagia maji pale chumbani.kwenye chemb yenu, kesho mwanamke anamimba unaanza kukataa c ukatili ni nin
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.