Search results

  1. UmkhontoweSizwe

    Chadema Nyasa tunaomba Mdahalo kati ya Joseph Mbilinyi (Sugu) na Mchungaji Msigwa uwe Mubashara ITV

    Mdahalo, kwani wako pande mbili kinzani? Au wanagombea uenyekiti wa chama? Kama hawako kambi mbili tofauti basi huo siyo mdahalo, ni mazungumzo tu.
  2. UmkhontoweSizwe

    Biteko: TANESCO inanunua umeme wa Megawati 31 kutoka Uganda na Zambia

    Hiyo mikoa inayonunuliwa umeme kutoka nje haiko kwenye gridi ya taifa. Kwa hiyo lile ongezeko la umeme kwenye gridi ya taifa haliwezi kuwanufaisha kwa kuwa hawajaunganishwa!
  3. UmkhontoweSizwe

    CHADEMA yaahirisha Maandamano ya Karatu kwa sababu ya Mafuriko

    Mwenge huja na miradi ya maendeleo, maandamano huja na porojo; wewe huoni tofauti hapo?
  4. UmkhontoweSizwe

    CHADEMA yaahirisha Maandamano ya Karatu kwa sababu ya Mafuriko

    Sisi wenye macho ya kuona mbali tulitoa tahadhari mapema, lakini nyie vipofu hamkusikiliza tulichosema. !
  5. UmkhontoweSizwe

    Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

    Afadhali yeye anatetea chama chake. Erythrocyte yeye amekalia kumfagilia Makonda tu, chama chake amekisahau!
  6. UmkhontoweSizwe

    Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

    Unamchukia kwa kuwa anakuzidi kwenye kujenga hoja za kutetea chama chake kuliko wewe unavyotetea cha kwako kwa porojo na udaku. Una post nyingi zaidi za kumpromote Makonda kuliko kukielezea chama chako na wanasiasa wake akina mdude.
  7. UmkhontoweSizwe

    Uchaguzi mkuu kiti cha Rais 2025 (video): Unabii waweka wazi kuwa ni Samia S. Hassan (CCM) vs Bishop Josephat Gwajima (CHADEMA)...

    Kwa hili nakubaliana na huu unabii. Na hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kujiunga kwenye chadema hii ya sasa ili agombee urais!
  8. UmkhontoweSizwe

    Makonda acha Uongo, hukugombana na Wauza Unga, Uligombana na kila mtu

    Kama aligombana na kila mtu, maana yake si ni kwamba hata wauza ngada walikuwemo humo kwenye "kila mtu"? Another bullshit post about Makonda from nyumbus !!
  9. UmkhontoweSizwe

    PONGEZI: Utenguzi wa Mkurugenzi Mafia Ili kupisha Uchunguzi, Pongezi ziende kwa Dkt. Dorothy Gwajima. Kiukweli kwenye hili amejituma sana

    Wakuu, hivi maximum sentence ya mtu kama huyo akipatikana na hatia ni nini?
  10. UmkhontoweSizwe

    Waziri Simbachawene: Huenda Mpina ana ajenda. Uongozi wa Rais Samia uko kwenye viwango kuliko wakati mwingine wowote

    Waziri amejibu kwa porojo namna hiyo? Au hizo porojo ni zako wewe mleta mada?
  11. UmkhontoweSizwe

    Kumekucha: CHADEMA yatoa ratiba ya wiki ya Maandamano, Tundu Lissu kuongoza Mikoa Mitano

    Mmeshindwa kununua hata kiwanja cha kujenga ofisi ya makao makuu ya chama, hiyo miundombinu mraiwezea wapi?
  12. UmkhontoweSizwe

    Kumekucha: CHADEMA yatoa ratiba ya wiki ya Maandamano, Tundu Lissu kuongoza Mikoa Mitano

    Watu bado tunahangaika na mafuriko nyie mnakuja kutuandamanisha? Nyie hamna uchungu na maisha ya watanzania.
  13. UmkhontoweSizwe

    Rais Samia, vyeti feki kwenye taasisi za Umma bado ni tatizo

    Bwashee hao ndio wana vyeti feki?
  14. UmkhontoweSizwe

    Dtk. Biteko: Tumetekeleza agizo la Rais. Mgao wa Umeme imemalizika rasmi

    Ni afadhali hao kuliko chadema waliopinga kabisa ujenzi wa hilo bwawa.
  15. UmkhontoweSizwe

    Katibu Mkuu CCM kumpinga RC Arusha kimafumbo anataka kumfurahisha nani?

    Mbona kizuri cha kujua pesa za join the chain nyie hamuweki hapa tukajua wote? Au hicho kizuri cha kukula na nduguyo ni kile chao tu, lakini cha kwako kinakuwa kichungu kula na nduguyo?
  16. UmkhontoweSizwe

    Katibu Mkuu CCM kumpinga RC Arusha kimafumbo anataka kumfurahisha nani?

    Anataka kumfurahisha Kikwete. Una swali jingine?
  17. UmkhontoweSizwe

    Kwanini magari mengi ya serikali ni TOYOTA?

    Mkuu naona hauko serious. Hapo hakuna gari ya kulingana na Toyota kwa uimara. Nakubaliana na hoja kwamba tunapigwa sana kwenye bei, nadhani tunapigwa kwa sababu sisi wenyewe tunapenda kupiga cha juu kwenye kila tenda, lakini kwa ubora na uimara Toyota ni #1.
Back
Top Bottom