Search results

  1. zailolly

    Hakuna kati ya Nyerere, Lumumba, Nkrumah, Malcolm X, n.k aliyeikomboa Afrika

    For me atleast nyerere alikuwa patriot tofauti na Mandela 26 yrs prison alafu it went in vein maana south africa hadi Leo bado wanalia na apartheid policy
  2. zailolly

    Nilijikuta naishi maisha ambayo sikuyategemea ila sina jinsi

    Usiniambie baada ya haya unataka kurudi kwa mumeo aisee songa mbele kama hakujua thamani yako Jana Leo ataijuaje zaidi atakurudisha kwenye maumivu Yale yale usijaribu piga moyo konde tafuta vibarua vingne zaidi
  3. zailolly

    Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika

    Sasa siushatuambia Wana if woooote hahahahaha uiii
  4. zailolly

    Haya mabadiliko ninayaona peke yangu ama nanyi wengine mnayaona?

    Mambo ya mjini jaman[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  5. zailolly

    Rais Samia kwa siku anabadilisha nguo mara ngapi?

    Wew unamuonaga wapi kila saa utujuze na sie tukamuone, lakini Mimi mwenyew ni mwanamke nikishinda home nikifua nabadili nikilala mchana nikaoga nabadili Dera langu nikipika nikimaliza nabadili sembuse yeye raisi? Acha aenjoy life is too short
  6. zailolly

    Mwanamke ukijichora tattoo, huolewi "ng'o!

    Naunga mkono hojaaaa hata Mungu hapendi
  7. zailolly

    Wanawake kuweni wasafi

    Jamaniiiiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  8. zailolly

    Tumia maji ya mchele kukuza nywele zako

    Binafsi natumia maji ya mchele kwa uso pia inaact kama anti aging na wachina na wakorea wengi wanatumia ahsante kwa somo
  9. zailolly

    I am not a Victim to R Kelly – Joycelyn Savage

    Unaona eeeh yaan wakikuamulia wanahakikisha wamekupoteza
  10. zailolly

    I am not a Victim to R Kelly – Joycelyn Savage

    Lakini this is different bwanaa
  11. zailolly

    I am not a Victim to R Kelly – Joycelyn Savage

    Wazungu wapo smart sana walichofanya awali kabisaaa ni kubrain wash watu kwamba he is a bad dude hvyo kama unavyojua marekani watu hawataki mchezo
  12. zailolly

    The following are signs of fake nice people

    No one is perfect, but what I understand is atleast we should all consider humanity, sympathy and empathy to our fellow human, we should think before we act and ask our selves am I doing the ryt thing to my fellow what if it was me would I be satisfied with those actions? Hope the world will be...
  13. zailolly

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Kuepuka hiili jifunze kuisoma dini yako na kuielewa afu mbona kama ni sadaka Kuna sehemu kibao za kupeleka sio lazima huko uzuri wa Mungu wetu analipa kwa Nia ushaona hapa Kuna ulakini sadaka yangu haina uhakika wa kufikia lengo why usiwapelekee wahitaji Moja kwa Moja?? Hahahaha suala la Imani...
  14. zailolly

    Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

    Upo sahihi okello John anamchango mkubwa kwenye mapinduzi ya Zanzibar but historia imemtupa nnje na kumpa mwingne sifa
  15. zailolly

    I am not a Victim to R Kelly – Joycelyn Savage

    Navyofahamu last year alikuwa sentensed to 30 yrs prison alafu mwaka huu mwanzoni kwenye shtaka lingne wakamuongeza 20 mingne so sad [emoji24]
  16. zailolly

    I am not a Victim to R Kelly – Joycelyn Savage

    Mie mara kadhaa nimekuwa nikiwaambia watu issue ya r Kelly imekaa kimkakati na kama ukiangalia hata maisha ya Michael Jackson mpka kufariki kwako Kuna alot of things that were going on kiasi Cha kufrustrate dipression na kila aina ya hila, hao jamaa wakikuamilia wamekuamulia hyo kesi haina...
Back
Top Bottom