Search results

  1. G

    "Mume wangu ana jinsia MBILI"

    Likeeeee! Kwa nn siri yake asmwambi docta, yeye ndo anaweza kumshauri kama ni opareshen au chochote cha kufanya kiutaalam, kuliko kumwambia huyu ambae ni mbeambea' yeye kakimbilia jf, watu bwana!
  2. G

    Naona huruma kumpiga chini, nifanyeje?

    wakati anakuambia amechoka kuishi na wewe amini usiamini alikuwa tayari anategemea mtuflani kuishi nae! Ungechunguza ungejua' cku nyingine dem akikuambi hayo makitu mwambie na mi naanza kujipanga ili yeye akibadilika asishangae mipango yako wala asiulize, si ulishamwambia?
  3. G

    Kusimamishwa abiria waliokaa siti ya nyuma kwenye mzani

    Acha maneno yasio na maana' wewe post hujaielewa!
  4. G

    Kwa nini wanawake wanene ni watamu kimapenzi kuliko wembamba (vimbaumbau)?

    lakini utamu utakao upata wewe kwa mwanamke ni tofauti na nitakaoupata mimi kwa mwanamke huyohuyo! Ndo maana 'utamu wa pipi ni mate yako'
  5. G

    Natafuta mume

    Mi ninakutaka sana tu ila bado miaka 2 ili nifikie vigezo vya umri' ila natafuta mke'
  6. G

    Msaada pls

    kwa waliopo mtwara, vp malipo ya pili ya korosho? Watu wameshaanza kulipwa?
  7. G

    Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

    duu! Sijui hata inakuwaje, unaemtaka humpati! Anaekutaka humtaki! Mi napendaga xna mwanamke mnene' kama unaweza kuwa mke mwema hebu ni pm'
  8. G

    Hali ya malipo ya korosho Mtwara

    Vp mkuu? Wameanza kulipa lini? Ni wilaya nzima au wameanza baadhi ya maeneo tu? Mimi ni mkulima niko nje ya mtwara nijulishe tafadhali'
  9. G

    Kimenuka Liwale, mabomu kwa kwenda mbele! Nyumba kadhaa zachomwa moto...

    Mimi ni mmoja wa waliowauzia magamba korosho tangu mwezi wa nane mwaka jana, malipo ya kwanza wamelipa mwezi wa tatu, wakasema watamalizia mwanzoni wa mwezi wa nne, mpaka leo hakueleweki' bora waendelee kukinukisha tu mpaka kieleweke'
  10. G

    Ghorofa hatarishi bado liko wima

    Wanasikilizia kwanza upepo unavumaje, mkuu wa kaya si bado amelala! Wakifanikiwa kulipaka rangi tu, huwezi amini halitabomolewa tena!
  11. G

    Rebels M23 urge Tanzania to scrap sending UN troops to DRC

    tanzania ndo nchi ambayo iko mstari wa mbele kupigania ukombozi wa bara la afrika, hatuwezi kuwa huru mpaka afrika yote iwe huru, mwl. Nyerere'
  12. G

    Rebels M23 urge Tanzania to scrap sending UN troops to DRC

    Unayosema ni sawa lakini unajua kenya walipeleka wanajeshi somalia kwa ajili ya kulinda usalama wao na maslai ya kenya? Wasomali walikuwa wanahujumu mpaka ndani ya kenya, tofauti na cc. Uganda inapakana na sisi kwa upande wa kusini mwa uganda, wale waasi wako kaskazini mwa uganda! Kwann nchi...
  13. G

    Rebels M23 urge Tanzania to scrap sending UN troops to DRC

    tanzania ndo nchi ambayo iko mstari wa mbele kupigania ukombozi wa bara la afrika, hatuwezi kuwa huru mpaka afrika yote iwe huru, mwl. Nyerere'
  14. G

    Rebels M23 urge Tanzania to scrap sending UN troops to DRC

    tanzania ndo nchi ambayo iko mstari wa mbele kupigania ukombozi wa bara la afrika, hatuwezi kuwa huru mpaka afrika yote iwe huru, mwl. Nyerere'
  15. G

    Ujio wa Rais wa China, Xi Jinping nchini Tanzania - Machi 2013

    china inauza bidhaa nyingi tanzania, kwa maneno mengine tz ni muhimu kwa maendeleo ya china na ndio maana rais ameamua kuanzia ziara yake hapa tz, sijui kama kuna nchi nyingine ambayo bidhaa za kichina zimetapakaa kama hapa tz, mpaka wafanyabiashara wadogo wa mitaani unakuta ni wachina...
  16. G

    Hivi kwa nini viumbe wengi wasio wanadam hawatupendi ngozi nyeusi?

    mbona wale tumbili wa pale jozani zanzibar, wakija wazungu tu wanatoka wengiiii wanawapandia hadi mabegani,akitokea tu jirani yao (ngozi nyeusi) wote wakimbia' labda useme black colour inatisha wanyam, lakini mi nahisi natural tunroho mbaya'
  17. G

    Kumbikumbi uwa wanaishi wapi wakati wa jua?

    wanakuwa malkia wa nini? Kama ni malkia wa nyuki halafu baadae ndo nyuki wenginne wanamfuata kwenye kichuguu? Kabla kumbikumbi hawajajichimbia chini huyatoa mabawa yao, ina maana malkia wa nyuki hanaga mabawa?
  18. G

    nimedanganywa...

    atakuwa anauza kimtindo' anaitwa nani? Nimtest halafu nitakuambia mambo yake.
  19. G

    Msafara wa Rais lazima uende kasi?

    siku moja nilikuwa maaeneo ya taveta unguja, ulipita msafara wa shein, niliogopa sana gari 3 au 4 hivi zilikuwa mbele ya gari la shein, zinakwenda kasi sana kwenye barabara ambayo iko bize (fuoni-darajani) kilichonishangaza zaidi gari moja inapita kushoto nyingine inapita kulia mwa barabara...
Back
Top Bottom