Search results

  1. R

    MwanaJF gani unapenda topics na comments zake?

    Pdidy. Huyu jamaa bana.basi2!
  2. R

    Mohamed Trans laua Polisi watano!

    D.9084 D/CPL Adolf, F.6459 PC Evarist, H.3783 PC Deogratius(dereva), WP 10337 PC Jackline na WP. 10382 PC Jema. Mungu awapumzishe kwa amani askari.
  3. R

    Msaada wa kujua ushuru wa magari bandarini (TRA)

    List ya Tra itakuwa hyo s/n 1552
  4. R

    Nina 10m nahitaji gari Harrier au Xtrail.Niko mwanza

    Alipata harrier m11, akaanze kushinda gerej..
  5. R

    Toyota Harrier,milion 18

    Nmeku Pm mkuu
  6. R

    Toyota Harrier,milion 18

    Specification please.
  7. R

    Sababu 10 za kuwachukia madaktari

    We wachukie tu, but one day you will be their client and by that time you will be Quiet... Unayoyasema ni mapungufu ya mtu na mtu ambayo yapo kila sehemu sio kwa madr tu hata huko kwenu yapo. Sio kila anayefanya kazi hosp ni dr au nesi.
  8. R

    Adha ya foleni Kilicho tokea ubungo maji,

    Ahahaaaaahahahaaaaaa we noma! Hyo barabara ni janga.. Kuna mjinga mmoja anapanda kwenye bonet ya gari au anabinjua wiper za magari ukimgomea akufutie kioo tena anatulia livesti lake lichafu.... Foleni ya hapo si salama kabisa
  9. R

    Vipimo vya Ugonjwa wa Malaria na dawa za malaria its another serial killer in Tanzania

    "Sio kila homa ni malaria" Wizara ya afya imethibitisha kuwa kipimo cha mRDT kinaweza kudetect whether +/- kwamba malaria ipo au haipo na blood smear (microscopy) ikatuambia una wadudu wangapi (kama wapo). Ni vyema kuchek mRDT b4 B/S. MRDT inasaidia kupunguza false -/+
  10. R

    Najivunia kuwa Mtanzania, najivunia Utanzania wangu, Asante Madaktari Mabingwa

    Neurocardiology is the study of the neurophysiological, neurological and neuroanatomical aspects of cardiology, including especially the neurological origins of cardiac disorders. The effects of stress on the heart are studied in terms of the heart's interactions with both the peripheral nervous...
  11. R

    Najivunia kuwa Mtanzania, najivunia Utanzania wangu, Asante Madaktari Mabingwa

    Mkuu wangu, mi staki kutaja mtu hapa ila nielewe tu its possible na wapo. Neurologist na cardiologist ni physicians, kwa hawa ni rahisi kupata hizi superspclt zote as hawafanyi operations wanatibu kwa dawa na vipimo. On the other hand kuna neurosurgeon na cardio-thoracic surgeons hizi...
  12. R

    Najivunia kuwa Mtanzania, najivunia Utanzania wangu, Asante Madaktari Mabingwa

    Unaweza ukawa na MD, MMEd (internal medicine) ukasuperspecialize (neurology) pia ukachukua diploma in cardiology ukawa neurologist na cardiologist hapohapo.
  13. R

    Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Tawheed, kizota sure na kizota best, fikiria kwanza, ngasu ya vome (nyuma imeandikwa roho ya paka), fresh ya shamba, air shengena na air msae (hizi zilichinja sana)bazzu, islam, takrim,tawfiq (nyuma imeandikwa tokyo ingine kyoto) zilikuwa zinapga route ya dar-ars, tanga-ars.
  14. R

    Uchaguzi wa madiwani tarehe 30/6/2013 -Arusha wako tayari

    Naombeni kujuzwa.. Hivi mpaka sasa Arusha mjini CDM wanashiklia kata ngapi ukiacha hizi nne na hyo ya sombetini?
  15. R

    Wazinzi mwanza wapatanishwa kwa kufanya sherehe kubwa Mwanza

    Hawa jamaa na kundi lao katka hali ya kawaida tu wanachinja mbuzi karibu kila j2 kuna bar moja kule nyegez maeneo ya sweya beach inaitwa gamba kwa mwenzao pia,huwa wanakula bata mrefu na warembo wazuri mezani ni chupa kubwa kubwa tu.... Wacheni wagombane, wapatane anyway z part of their life.
  16. R

    Msanii Langa afariki Dunia!

    Haya matukio yananikumbusha ile movie ya "FINAL DESTINATION" who is next?!..... RIP LAnga.
  17. R

    Kamusi Mpya ya Kiswahili ya CCM

    Mchakato: utaratibu wa ucheleweshwaji kwa makusudi jambo muhimu lenye masilah kwa Taifa ili kulinda mtu wa kundi fulani.
  18. R

    Bugando na ulanguzi wa dawa

    Pole sana, Kwa kawaida hospitali za uma zinakuwa na in-hospital pharmacy (zile za ndani) ambazo zinahudumia wagonjwa wa ndani na nje. Hizi pharmacy za ndani zinategemea asilimia kubwa dawa kutoka msd. Dawa hz zinakuwa bei nafuu kwa ajili ya wagonjwa wa kawaida (yani gradeIII, II, msamaha, n.k.)...
  19. R

    Msaada: Nifanyeje chooni kwangu kuna nyoka

    Mi nlimkuta wa kijani kabatini kufungua tu kabati nyoka huyu nikalifunga nikaondoka kabisaa badae nkarudi na mikakati ya kufight... Nadhani aliingia na nguo loh pole.
Back
Top Bottom