Search results

  1. Midundo

    Prezoo amtukana Diamond

    Hahaaaaa, sawa kijana, umenena vyema:-)
  2. Midundo

    Prezoo amtukana Diamond

    Kijana, hili ndo tatizo letu tulio wengi, hatuukubali ukweli....usijali, pole.
  3. Midundo

    Prezoo amtukana Diamond

    All I meant is, let it go and work hard......it doesn't matter how one got money and we can't justify that, bottom line they have cash, not ours.
  4. Midundo

    Prezoo amtukana Diamond

    Wacha uboya, haijalishi hela umeikuta au umeitafuta, zote ni hela, stop hating n work your ass out...wabongontunapenda porojo sana
  5. Midundo

    January Makamba awataka wananchi wawalaumu wabunge wao kuhusu kodi ya 1,000 kwa kila laini

    Tatizo sio 1,000, tatizo ni wapi hizo pesa zitatumika:)
  6. Midundo

    unajisikiaje mwanamke

    Kaunga you are such a smart person!!
  7. Midundo

    Nyumbani hautoi dozi ya kuridhisha na bado unakwenda nje

    Endelea kujidanganya kuwa utababuka, popote unaweza babuka, tena hivi vitoto ndo kabisaa!!
  8. Midundo

    Nyumbani hautoi dozi ya kuridhisha na bado unakwenda nje

    Naona huyu mwanamke kidogo hajielewi. Sio wote wanaoenda nje ni kwa ajili ya kukomoa....kwake yeye anaona fahari, wanawake pia mbona wanafanya.....mie mwenyewe nina mama mtu mzima mke wa mtu, nampa kilimo kwanza ile ile na anahudumia, usafiri naotumia kachangia 60% ya manunuzi afu unasema...
  9. Midundo

    Nisaidieni jaman mke wangu ataniua

    siku hizi wote wana wachezaji wa ziada, usidanganyike, chukua hatua....
  10. Midundo

    unajisikiaje mwanamke

    basi tafuta wa kukupa midundo ya ukweli ila ukae ukijua vikikolea havina siri.....
  11. Midundo

    Wanaume Matajiri Muwe Makini Sanaaaa! Mjihadhari na yaliyomkuta 2Face Idibia!!

    Kweli unacheza wewe, madame B tafadhali chunguza maternity case kwa vijana zilivyo juu, rate ya single mothers inaongezeka kwa kasi, tunafanya research ktk sekta ya afya, hali ni tete.....mnaishia kuwa sperm bins ili muweze kujikimu na maisha na kuwalewa wanenu! Fungukeni aisee, inasikitisha
  12. Midundo

    Kwa nini wake za watu (majority) hamuwezi kukituliza

    Mshahara wenyewe laki 5, hujala, hujaweka mafuta, hujapigwa ka mzinga! Utahonga kweli? Labda azimike nawewe tu akupe utamu....tamaa ya maisha ya juu ndo yanawaponza wanawake walio wengi, wanaishia kuliwa ovyo...ni kweli bhana tunayoyaona maofisini sishawishiki kuoa hata kwa rungu!
  13. Midundo

    Mabinti wa watz washamba na limbukeni kwenye mahusiano.

    Cash sijakupa aisee, labda nkununulie kitu cha thamani na ujue utatumikia sana tu.... Arifu saka noti huwa wanafata tu kama mbwa kwa chatu
  14. Midundo

    Hata kwa mtutu wa bunduki

    Jamaa hajamuonyesha picha, ni kwamba haamini kilichotokea, ni kama ndoto kwake.......
  15. Midundo

    Hata kwa mtutu wa bunduki

    Jamaa sio kicheche aisee, tunazunguka nae porini sana tu, hajawahi kulala na demu, na ndo mana kadata.....mana akifikiria wana walikua wakimtania siku utakuta mkeo analiwa utakufa wewe, na ndo yametokea kweli!
  16. Midundo

    Mke analalamika house girl mchawi!

    Wanawake wenyewe ndo wanaruhusu haya, hasa hawa .com ndo kabisa, wanajifanya wana elimu, ajira nzuri hivyo hawababishwi. Mwanaume asili yake uongozi wa familia aisee, sasa kama mwanamke anajifanya naye yupo juu ndo hapo balaa linaanza, na ujue mwanaume akiona ---- ni sawa na mbwa kwa chatu...
  17. Midundo

    Mentor utaoa lini...

    Hizo tabia haziezi isha! Noma sana lakini.....
  18. Midundo

    Hata kwa mtutu wa bunduki

    Jamaa anampenda mkewe kama kitu gani sijui, na kazi zetu ni za research, mara nyingi tupo vijijini ila huwezi mwona jamaa na mwanamke aisee, jamaa anachemka kazi mpaka amepewa warning letter, imembidi amweleze boss ukweli ndo tulipojua linaloendelea, sasa jamaa anataka wapeleke watoto kwa mama...
  19. Midundo

    Hivi kwanini mnapenda kufanya hivi...

    Ndo vile arifu, lazima atakuzingua sana, na kumbuka wakati anakuletea hizo pozi kuna boya mwingine anamgegeda kama kawa!!
Back
Top Bottom