itakua ngumu kuchaguliwa kwasababu;
1.Kigezo cha kwanza kusoma advance ni kupata Div1-3
2.Kigezo cha pili ni kuwa na credit zisizo pungua tatu(yani A,B au C na sio D wala F)
3.Kigezo cha tatu rakini hakina uzito sana kama ivyo nilivyoanisha hapo juu ni Kubalance Comb
Ushauri wangu:kama...
Nina ndugu yangu aliyemaliza kidato cha nne,matokeo yake ya awali yalikua ni Div4 ya 28.Matokeo mapya yakaja Div4 ya26
Rafiki wa huyo ndugu yangu awali alikua na 4 ya 31 sasa ana Div3 ya 24
NAOMBA KUJUZWA VIGEZO VILIVYOTUMIKA HAPO NA NECTA
habar zenu wana Jf
polen kwa majukumu,mimi tatizo langu ni miwasho sehemu za siri, tena tatizo hili ni la muda mrefu(miaka miwili sasa),baada ya kumuona daktari na kufanyiwa vipimo nmegundurika nina ugonjwa huo.lakini matibabu sikuwahi kupata..Naomben msaada wenu juu ya tatizo hili maana...
Mm n mhtm wa kdato cha nne mwaka jana na matokeo kiujumla kuna three moja ya peke yng shulen kwe2.Nmepata three ya 24 Phys:C Chem:C Eng:C Geo:C Math:d Bios:d Ksw:d Hstr:d Cvcs:f . . .Je naweza kwenda form fve؟‎ kama naweza kwenda wanaJf mnanshaur nn niende A-level au niapply chuo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.