Search results

  1. M

    Je, Viongozi wa Idara ambao ni Wachagga waachie ngazi!??

    Mzee Mwanakijiji, you are not serious my dear, are you? kama hoja ni wachaga kuwa wengi kwenye idara fulani, ni bora taratibu za ajira za idara hiyo zichunguzwe, huenda zina matobo yanayopelekea watendaji kujiamulia kwa interest zao. Then matobo hayo yazibwe. Laikini kusema waachie ngazi wote...
  2. M

    Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    Mkuu nimekubali, unayafahamu majamboz yao! ama nawe ni mmoja wao?? tuhabarishe mkuu,we need to know the truth. By the way, what's wrong about being a freemason?
  3. M

    EPA hadi Kortini - Kwa nini twashangilia majani na si matunda?

    Techno ume-hit target mwana! mie nilishaona kuna mchezo fulani unachezwa ili kuwafumba macho (ya akili) walio wengi. Mie pia najiuliza, kashfa ya EPA na hasara ma mabilioni inayotajwa haijatokea kwenye enzi ya JK, imetokea kabla yake, iweje aliwateua wahusika kuwa kwenye cabinet yake? Ni kweli...
  4. M

    If our President has more than one wife: The question of human rights

    hapa mie sijaona jambo la msingi! ...... aliyeolewa hajaona kama kanyimwa ama kukatazwa haki yake.....hajalazimishwa. iweje haki yake tuione sisi na siyo yeye? What is not right for the rest can be right for someone provided it does not contradict laws of the land
  5. M

    General Apigwa Risasi Zimbabwe

    Duu! Hiyo siyo dalili nzuri hasa ukizingatia hali ilivyo tete huko Zim
Back
Top Bottom