Search results

  1. P

    Vita Kali ndani ya CHADEMA

    hyo ni tuhuma isiyo kua na mashiko couz aliyekua askofu mkuu wa jimbo lambulu alishajibu akasema ni uongo na kwa wakati huo aliku AskofuTHADEUS RWAICHI xo hoja yako haina strong point
  2. P

    Kuna sheria tofauti katika kuhukumu kesi ya uchochezi

    mtoa hoja kwa wakristo hamnaga kisasi xo ucjiahami hvyo angalia na aina ya uchochezi pia upi ni halali na upi wa kusingiziwa
  3. P

    CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)

    jaman ni wabunge wangapi wa ccm wana phd lakini wanalala bungeni wakisubiri waseme ndioooo? Je ndo elimu yake inapowatuma? Ni bora huyo msema chochote kuliko hao wanaolala bungen
  4. P

    Juliana Shonza amlipua Mbowe

    Jamani wana ccm komaeni kiakili education cannot rule mbona una wakina Nape wana Phd lakini waropokaji hawajui utawala ? Uongozi ni kipaji na c elimu
  5. P

    Nakala ya karatasi na mwandiko wa Lwakatare wakati anatoa maelekezo hii hapa

    jamani sijawahi kupost ila naomba niseme hata mtoto akiiona hyo hati inaonyesha kabisa ni ya kugush haina ukweli
Back
Top Bottom