Search results

  1. F

    Nyumba ya kupanga

    habari wanajamvi wenzangu. Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya mbezi beach, kunduchi au mwenge. Iwe na chumba cha kulala, sebule na jiko. Kwa yeyote mwenye taarifa here is my mobile no: 0653 84 26 43. Asanteni.
  2. F

    udom wababaishaji tu

    Labda wameshaita watu alafu labda wewe ndugu yangu haujabahatika. Ila tusikate tamaa tuendelee kupambana.
  3. F

    yaliyonikuta leo

    Jamani ndugu zangu, hawa jamaa ni matapeli, wanatumia majina tofauti tofauti. Kwenye hiyo ofisi yao, wanatumia majina km vilw RAFIKI ELIMU FOUNDATION, NEEMA RECRUITMENT AGENCY, NEEMA HERBALIST. Owanaishi kwenye nyumba ya kupanga ambayo iko changanyikeni, nyumba hiyo haina wanaitumia km ofisi...
  4. F

    Workshop for graduates searching for jobs

    Another form of ufisadi! Mweh, that is not helping, that is " unyonyaji" khaaaa!!
  5. F

    TTWB hawa jamaa wapo kweli

    Matapeli hayo, niliwauliza ofisi zao zilipo wakaingia mitini, alafu huyo hr chrisant msiga eti anasema usimpigie simu tuma sms tu kuwasiliana simu hadi akuruhusu!! Alafu nimetafuta taarifa za hyu hr and registra manager wao chrisant msiga anajiita hazipo popote, yaaani ndugu zangu hao ni...
  6. F

    Uhamiaji uhamiaji uhamiaji!

    Jamani wana jf wenzangu naomba tufahamishane km uhamiaji wameshaanza kuita watu. Asubuhi njema ndugu zangu.
  7. F

    Uhamiaji koplo na kontebo.

    Walitoa kwa form 4 na form 6.
Back
Top Bottom