Yote tumesikiliza na kweli yametokea na bila mkazo kuhusu mjadala hatutofika mahali popote nukuu misemo ya mbatia,zitto,
Lazima tufanye kitu kuhusu hili kwani elimu letu niya kwetu sisi na siyo ya mwingine.
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
1.Elimu ni ufunguo wa maisha na serikali yetu yatambua hilo,Hivi tafakari mwanafunzi aliyepata daraja la nne unampeleka awe mwalimu hivi kweli hii si njia ya kuharibu kitovu cha elimu
2.Fikiri wanafunzi wajafanya mitihani na matokeo yanaonyesha kafauli,Hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.