Search results

  1. Wilson Gamba

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Kila nafsi itaonja mauti,haijalishi una fanya Nini au unatumia Nini Huwa ni swala la muda.Mungu Ndo anajua mwanzo na mwisho.Binadamu tusiwe wepesi wa kujaji wengine hii ni Dunia Kila mtu ataiacha.
  2. Wilson Gamba

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    So sad! Dunia tunapita,nichukue nafasi hii kuipa familia yake pole,ndugu jamaa na marafiki na familia nzima ya clouds media.Pumzika kwa Amani kaka,uliitendea haki kazi yako.
  3. Wilson Gamba

    TANZIA Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (KDF) Jenerali Francis Ogolla afariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi

    So sad!Maisha ya binadamu ni fumbo kumbwa hakuna anayejua siku Wala saa.Mwenyezi Mungu ampe pumziko la Amani.
  4. Wilson Gamba

    Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

    Sijui Afrika Kuna ujuha gani?Babu zetu walikuwa na dini zao ata kabla ya hizi tunazoona sisi Ndo tunamjua mungu zaidi,na waliishi vizuri tu bila ubaguzi.Hizi dini zimeletwa na wageni siyo zetu kwa nini zitutenganishe. Waliofanya dhuluma hiyo Wana matatizo au pengine hawajui mafundisho vizuri...
  5. Wilson Gamba

    Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

    Sijui Afrika Kuna ujuha gani?Babu zetu walikuwa na dini zao ata kabla ya hizi tunazoona sisi Ndo tunamjua mungu zaidi,na waliishi vizuri tu bila ubaguzi.Hizi dini zimeletwa na wageni siyo zetu kwa nini zitutenganishe. Waliofanya dhuluma hiyo Wana matatizo au pengine hawajui mafundisho vizuri...
  6. Wilson Gamba

    TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

    So sad,mwenyezi Mungu ampe pumziko la amani,ni njia ya wanadamu wote.Nichukue nafsi hii binafsi kuipa pole familia ya mh Lowasa,ndugu jamaa na marafiki.
  7. Wilson Gamba

    TANZIA Mwana-JamiiForums, Thadei Ole Mushi afariki dunia

    R.I.P.Nawapa pole Sana familia wote, ndugu jamaa na marafiki na familia nzima ya JF
  8. Wilson Gamba

    Hakika na waambieni wake zenu waajiriwa ni wake zetu makazini

    U Uko sahihi kabisa,Kama mtoa mada alivyosema ndivyo inavyokuwa .Kuna siku nikiwa Mtwara Kuna jamaa alikuja kwangu asubuhi analia,akanambia mke wake kamwambia kuama amfate akamjibu amechoka kupigiwa kelele,jamaa akaangaika sana kwa maswali mengi,mwishoni akanambia Ndo mwisho wa ndoa Yao na...
  9. Wilson Gamba

    Nipeni faraja, nimefiwa na mume wangu mtarajiwa

    Pole sana,so sad, Mungu akupe nguvu kwa kipindi hiki kigumu Ni Jambo gumu lakini Ndo dunia ilivyo. ,So sad
  10. Wilson Gamba

    Natamani nichukue maamuzi magumu sana

    Husithubutu kufanya hivo utakuja juta.Hapo Ni Kama itakuwa unamkimbia mzee wako,angalia na wewe utapata uzao wako hicho Ndo Cha msingi,pambana na timiza wajibu wako kwa mzee mengine ya migogoro waachie wao
  11. Wilson Gamba

    Tusijenge majumba makubwa tukistaafu yanachangia upweke

    Hili Ni tatizo sugu.Wazee wetu wengi wanateseka Sana,Mara zote tumasema watoto Ni wa mama,hivyo Ni Bora kujipanga mapema Kama mtoa mada alivyoshauri huu Ndo uhalisia wa alina baba wengi
  12. Wilson Gamba

    NECTA imedanganya umma kidato Cha pili matokeo ni mabaya mno

    Mtoa mada umeongea vizuri kabisa.Hawa wanetu wataenda wapi? Waboleshe mazingira ya ujifunzaji na pia walimu wapewe motisha vinginevyo elimu itadolola
  13. Wilson Gamba

    Madeleka kufungua kesi ili ukweli ujulikane kama waliouawa Vingunguti ni panya road

    Mimi so mwanasheria Ila naisoma walau najua hakuna aliye na haki ya kutoa uhai wa mwenzake kwa namna banana yoyote,Kama Wana makosa ya kujibu watakamatwa na badae mahakama Ndo yenye haki ya kutoa haki kwa mjibu wa taratibu.Vinginevyo Ni kinyume na haki ya kuishi ya kila binadamu.Vinginevyo...
  14. Wilson Gamba

    Tuma Salamu za Krismas kwa watu wawili Unaowapenda sana hapa JF

    Naitumia familia nzima ya JF Mungu awabariki krismass iwe njema na mwaka mpya 2024 uwe wa Baraka na amani kwao.
  15. Wilson Gamba

    TANZIA Mmiliki wa Blog ya Maswa Yetu na MwanaJF, Innocent Lugano Mbwaga afariki dunia

    So sad. Maisha ni fumbo kubwa Sana cha msingi ni kuombeana tu.Natoa pole kwa familia yake, ndugu jamaa na familia nzima ya JamiiForums. Ni njia ya kila mwanadamu.RIP
  16. Wilson Gamba

    Baadhi ya walimu wa shule za msingi ni "Semi-literate"?

    Wengi hawapo Makini wanapowasajili watoto kwenye mfumo wa tamisemi,hii pia ilitokea kwa mwanangu walibadili herufi wakaweka A badala ya E wakati mfumo wa shule jina liko sawa.Nilofatilia NECTA wakabadili,fatilia huko.Ata kwao ukifatilia utapata msaada
  17. Wilson Gamba

    Askari Polisi amuua kwa Risasi Mlinzi wa Baa ya Boardroom Iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam

    Sijui dunia inaenda wapi? Hao Sheria ifate mkondo wake mapema maana hakuna aliye na haki ya kumunyang'anya mwenzake haki ya kuishi.Kwa nini wanatembea na siraha Hadi bar? Naisi binadamu tuna shida Sana kwa sasa Mungu tu aingilie Kati ili ulimwengu uwe sehemu salama pa kuishi
  18. Wilson Gamba

    TANZIA MwanaJF mwenzetu, Rubawa amefariki dunia

    Maisha ni fumbo kubwa Sana.Pumzika kwa amani mheshimiwa Rubawa.Natoa pole kwa ndugu,jamaa,marafiki na familia nzima ya JF kwa kuondokewa na wenzetu.
  19. Wilson Gamba

    Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aandika barua ya kujiuzulu

    Mama alinitolea maneno nikamwelewa mheshimiwa.Sikutaka kukomaza shingo mbele ya mzazi wangu
Back
Top Bottom