Search results

  1. N

    Wimbo wa taifa huu unavutia

    Tumejaliwa haki sisi Tanzania Ngao yetu umoja tunajivunia Uhuru na umoja tunajivunia Mawazo ya mwalimu yameshatimia Kudumisha umoja ndio yetu nia Ni wajibu kumshuru baba Nyerere Kumsifu kwa furaha wingi wa hamu Mwalimu baba yetu tunamfahamu,Nyerere baba yetu tunamshukuru Mwalimu ndugu yetu...
  2. N

    Naomba ushauri juu ya huyu mgeni,mana amebadili nyumba yangu

    Sawa kaka lakini yule aliyekushauri usilaze watoto na wageni amekwambia jambo ambalo ni la muhimu sana dunia imekaa vibaya sana mkuu kwanza mtu mchafu hivyo kwa nini unaacha alale na wanao?
  3. N

    Natamani kufanya maamuzi magumu ila naogopa mamangu atanyanyisika sana.

    Mkuu miaka 15 kwa binti kama huyo kuolewa ni kosa kisheria,atapata shida bure mbele ya safari,kama una uwezo wa kumuondoa hapo fanya hivyo haraka sana,mtafutie shule aendelee na masomo ndio ukombozi pekee wa mwanammke,usiogope jipe moyo utashinda
  4. N

    Ni Nani Huyu?????????????????

    Teodoro wa prison break
  5. N

    Yu Wapi Askari Mkama Sharp?

    Dah!Mkuu umenikumbusha mbali sanaaaa,wkt nasoma primary pale uhuru siku moja nikasukumwa kwenye daladala nikaanguka kumbe Mkama Sharp alikuwa hapo,aisee abiria wote walishushwa gari nzima tukapakia wanafunzi.Dah siwezi msahau huyu bwana
  6. N

    Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

    Tatizo lako ni ndg sana,inategemea uliombewa wapi na nani?sio kila mtu ana uwezo wa kuomba,wewe kama ni mkristo itumie damu ya Yesu itakuondolea yote hayo,nimeshuhudia watu walikuwa na matatizo makubwa kuliko yako sasa imebaki historia nitafute kwa 0762768053 (tuma text)nitakuelekeza...
  7. N

    Hivi kuna haja ya kuzaa?

    Mkuu usikate tamaa,shetani asipoivuruga ndoa yako kwa kuwakosesha maelewano,atawavuruga kwa kuwakosesha watoto,kuna kila dalili kuwa uwezekano wa ninyi kupata watoto upo,angekuwa hajawahi kushika mimba kabisa hiyo ndio ingekuwa issue,kazana na maombi sana sana msichoke kuomba kuna vifungo...
  8. N

    Msaada tafadhali.; hii inamaanisha nini????

    Damu ya Yesu ndio daw pekee
  9. N

    Goodbye my friend

    BWANA ailaze roho yake panapostahili.Amen
  10. N

    Watoto watekwa, walawitiwa na kuteswa kinyama ndani ya handaki lilipo katika msitu wa Mabwepande

    Kwa sisi wenye watoto wadogo wanaosoma habari kama hii inaweza kukunyima usingizi kabisa,ni habari mbaya sana hii,Serikali ifuatilie hili jambo kwa kina
  11. N

    Kipindi cha CHEREKO kupitia TBC1

    Mm binafsi ni mshabiki wa hki kipindi lakini now days kinaboa sio kama mwanzo alipokuwa anakiendesha yule dada mwingine
  12. N

    Nauza kiwanja Mabwepande

    Nimeshindwa kuweka picha kwa sababu picha niliyonayo itaonyesha eneo kubwa na siuzi lote ni sehemu tu,mambo yamebebana
  13. N

    Nauza kiwanja Mabwepande

    Mabwepande mjini sio kule msituni usihofu
  14. N

    Nauza kiwanja Mabwepande

    Usiwe na wasiwasi ukiwa tayari niambie nikupeleke ukapaone
  15. N

    Nauza kiwanja Mabwepande

    Nauza kiwanja kipo mabwepande,kipo karibu na dispensary ya Mabwepande na karibu na makazi ya watu,kina ukubwa wa hatua 20 x 20 Mawasiliano 0762 768053 Karibuni
  16. N

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Haswaa mkuu,sasa hivi tunasikilizishwa taarab,vijembe vya watangazaji bila kupenda,vipindi vya kuelimisha hasa watoto kama kile cha mkoa kwa mkoa kilikuwa kizuri sana mtoto anakuwa anajua nchi yake ina makabila gani na utamaduni wao ni upi,kupitia redio tu.
  17. N

    Serikali Sasa Yafungia Website ya Mwananchi

    Serikali ina uchi?inaona aibu?basi kama ina vyote hivi hta nguo inazo
  18. N

    Msaada wa movie za kibongo zenye maadili,

    Kuna Movie inaitwa Last Card inafaa pia haina story ya mapenzi coz muvi zote za kibongo ni mapenzi tuu K
Back
Top Bottom