Search results

  1. N

    Hasara ninayoipata kwa kutumia mtandao wa tigo

    Hamia kwenye ZANTEL, matatizo yako yatakwisha.
  2. N

    Siri ya mkutano wa chadema arusha jana.

    Tunahitaji Mabadiliko....
  3. N

    maaambo zenu??hodi humu

    Karibu ndani ya JF, "The Home of Great Thinkers"
  4. N

    Ushauri wa mtaalam kuhusiana na mgao wa Uranium kwa serekali zote mbili

    The Farmer, Nakubaliana na wewe kwenye swala hili. Uranium Mining in effects nyingi sana za kiafya na kimazingira. soma attached document...
  5. N

    Can u solve this???

    Ok, Complete the sequence 18, 20, 39, 132, 635,_______ ?
  6. N

    Natafuta Jina Jipya

    Kabuyanda
  7. N

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Duh, hii kali...tehe tehe tehe
  8. N

    Hello,

    Karibu ndani ya JF, umetuletea zawadi gani?
  9. N

    laptop mpya

    Laki tano hazitoshi kupata Laptop mpya!!!
  10. N

    Meremeta 00:00:00. EXTRA

    Kwa nini unawaza kukosoa tu? na sio kuongeza inputs zako kama unazo???
  11. N

    Meremeta 00:00:00. EXTRA

    Ni kweli kabisa, PhD usipende vya bure. Toa pesa upate hiyo report.
  12. N

    Matokeo Biharamulo: Chadema yaongoza Mijini, CCM vijijini!

    Nakuunga mkono, CCM imeshatuchosha kabisa. Angalia muda unaopotezwa kwa kurudia rudia kuhesabu kura kwa sababu wameshindwa. Kwa kuendelea kuongozwa na CCM itachukua muda mrefu sana Tanzania kuacha kuomba omba misaada kutoka Ulaya na Marekani.
  13. N

    Matokeo Biharamulo: Chadema yaongoza Mijini, CCM vijijini!

    Imesomeka vizuri kabisa....
  14. N

    Matokeo Biharamulo: Chadema yaongoza Mijini, CCM vijijini!

    Mhh sasa hayo masanduku yaliyokwama njiani yameshaletwa??? Hizi ni dalili za UFISADI. Leo hizo kura zinaweza kurudiwa mpaka jioni kwa sababu CCM wameshindwa. Kazi ipo.
  15. N

    Matokeo Biharamulo: Chadema yaongoza Mijini, CCM vijijini!

    Hapa kuna namna hii sio bure na safari hii hatutakubali yaliyotokea Busanda yajirudie. Hapa tunasubiri matokeo yasomwe na sio kuhesabu kura. Hilo swala la masanduku kukwama mahahi linatoka wapi??? Safari hii hatuta kubali UFISADI wa aina yoyote ile. Mpaka sasa hivi zimebaki dakika kama 17 tu...
  16. N

    Matokeo Biharamulo: Chadema yaongoza Mijini, CCM vijijini!

    Hii mandate unayoisema ndio iliyotokea kwenye Budget ya Wizara ya Miundo Mbinu.
  17. N

    Matokeo Biharamulo: Chadema yaongoza Mijini, CCM vijijini!

    tumsam, wewe umeuliza humu JF itakuwaje, na mimi nimekujibu kama ulivyouliza. kama ungeuliza kuwa hapa Tanzania kama CCM wakishinda CHADEMA itafanyaje? Nadhani ungepatiwa jibu mwafaka kabisa.
  18. N

    Matokeo Biharamulo: Chadema yaongoza Mijini, CCM vijijini!

    Hii thread itafungwa na kutupwa kwenye kapu la "Closed Threads"
  19. N

    Why Foreign Aid is hurting Tanzania and other African countries!

    Ni sahihi kabisa, Nchi inapotegemea misaada haiwezi kupata maendeleo hata kidogo. Ili uweze ku-move/develop unahitaji kuwa na strategic plans ambazo unaweza kuzitekeleza. sasa kama unaishia kuomba omba tu, hizo plan utazitoa wapi???
  20. N

    Matokeo Biharamulo: Chadema yaongoza Mijini, CCM vijijini!

    Sasa majumuisho ni ya nini tena kama kura zimesha hesabiwa??? Mimi naona kuna namna inayotakiwa kufanywa hii sio bure.
Back
Top Bottom