Search results

  1. M

    Rais Magufuli amjibu Kikwete kiaina

    Mkuu nimecheka sana Umeniibua kwa hiki Kiswahili kipya Respect !!!
  2. M

    Rais Magufuli, Badilisha jina la Mtaa wa Ikulu linatutia aibu

    Duuuh Mkuu hebu funguka zaidi Umenishtua kidogo Respect !!!
  3. M

    Would you rather..

    Mkuu naomba nichangie kwa lugha yangu Nachomekea kidogo, Najua unazungumzia watu, ila kwa kuangalai sinema za wanyama, mfano nyati au nyumbu, ukizubaa peke yako peke yako unahatihati ya kuliwa na samba au fisi. Kaa na wenzio uwe salama zaidi Respect !!!
  4. M

    TANZIA: Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama(CCM) afariki dunia

    Innalillah wainna illah Raji'un. Respect !!!
  5. M

    TANZIA: Aliyewahi kuwa Meya wa Jiji la Dar, Kleist Abdulwahid Sykes amefariki dunia

    InnaLillahi wa Inna IlayhiRajiuun Mbele yetu nyuma yako Pumzika kwa Amani Mzee wetu Respect !!!
  6. M

    CCM walimfanyia unyama Baba yangu mzazi

    Ndugu yangu Deo Nilitaka nipite tuu bila kukoment lakini uvumilivu umenishinda Hebu achana na aina ya "maharagwe" unayokula Badili aina ya mboga mkuu Usisahau kunywa maji mengi kuondoa sumu mwilini na kupunguza stress Respect !!!
  7. M

    Ni sahihi Rais akienda Kanisani Ikulu itoe taarifa kwa vyombo vya habari?

    Ndugu Chinchilla Nashukuru kwa kuweka hii video ya Ndugu Rais siku ya Kismas kwa ukamilifu wake. Kuna watu waliongea sana kuhusu Rozari nk. Wakayacha yoote mengine muhimu kwa makusudi. Tujifunze, tutafute ukweli, tuache kuamini simulizi tuu. Shukran Ndugu Raisi kwa hotuba safi, japo fupi...
  8. M

    Magufuli 'apigwa' Bilioni 100

    Ndugu zangu wakati mwingine nashindwa kuwaelewa watanzania wenzangu Hivi vita dhidi ya ufisadi nk ni vyetu sote kwa faida yetu wote. Sasa tunaposema Ndugu Rais kapigwa nk sii ni ujuha uliopitiliza ? Hasara ni ya nani ? Mtu kajitolea watu wanaleta ujuha. Inakera sana hii Ndugu zangu...
  9. M

    Rais Magufuli, naomba utoe msamaha kwa ndugu George Paul

    Shukran sana ndugu Pondamali kwa kuleta taarifa hii. Nimepitia mwanzo mwisho angalau nipate namba ya simu au njia yeyote ya kuwasiliana na familia ya ndugu George. Tafadhali kama kuna ndugu yeyote humu atakayeweza kusaidia hili nitashukuru sana. Ahsante Respect !!!
  10. M

    Ni nani aliyewapa vibali vya Business permit badala ya work permit Huawei-tiGO?

    Salaam bro Andrew Kwa hiyo mantiki ya maelezo yako hapo juu ni kwamba Tufumbie macho uvunjifu wa sheria ? Pia na ni sawa "two wrongs = right ?" Au nimelewa ugali wa hamira niliokula mchana huu ? Tafadhali tusaidie ufafanuzi mkuu wangu, ni hayo tuu Reaspect !!!
  11. M

    Ada elekezi shule binafsi tayari

    Mhhh Hapa inaleta shaka Rais wangu Ndugu JPM tafadhali sana iweke hii sawa. Shukran Respect !!!
  12. M

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Ndugu zangu Na mimi nianze kwa kumshukuru sana mwenyezi Mungu kwa mengi sana na yote. Mojawapo ni kwa kunipa pumzi ya kushuudia haya. Utendaji wa raisi wetu Ngugu John Magufuli na timu yake unaleta matumaini makubwa sana ambayo nikiri bila hiyana yalikuwa yamefifia sana kama sio karibu...
  13. M

    TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    R.I.P Deo na ndugu zangu mliokuwa kwenye hii ajali . Poleni sana ndugu zangu wote mlioguswa kwa njia moja ama nyingine na msiba huu mkubwa Respect !!!
  14. M

    TANZIA: Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya ACT-Wazalendo afariki dunia

    RIP Estomih Malla Ndio hatma ya kila mmoja wetu Respect !!!
  15. M

    Kauli Mbili Muhimu za Mwalimu Nyerere

    Salaam ndugu zangu Hii tabia ya kumnukuu Mwalimu vipisi vipisi inakera sana. Mwalimu alisema, kuamini na kusimamia mengi sana. Tuache unafiki. respect !!!
  16. M

    Lowassa na Sumaye wako UKAWA kuua upinzani...

    Ndugu Chili Sii umwache huyu nyumbu aendelee kusinzia ? Hivi unavyomshtua na kumkurupusha ataliwaje na simba sasa ? Respect !!!
  17. M

    Maswali 16 ya Mchungaji

    Shukran sana Rev. Maswali ya msingi sana haya, na mengine meengi tu kuhusiana na ufisadi, uadilifu, uzembe, uonevu, uporaji, uuwaji nk nk. Wahusika wajulikane, waadhibiwe kwa mujibu wa sheria na kilicho chetu kirudishwe na fidia juu. Vinginevyo ni "Usanii" tu. Haki lazima itamalaki...
  18. M

    Nasubiri huyu wa CCM akachukue fomu, Arguably the most qualified humo

    Mzee MM Asalaam Alheikum Tukiwa wawazi na wakweli kwa nafsi zetu binafsi sijashawishika na hawa woote wanaojipitisha pitisha, kujifaragua na kupiga makelele kila kona. Na hata hawa wanaopigiwa chepuo mhhhh, sidhani, ila huyu labda, pengine anazo silaha za maangamizi ambazo amezificha mpaka...
  19. M

    Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

    Ndugu zangu Shukran sana. Hapa naendelea kujifunza mengi hasa historia ambayo sikuijua awali. Shukran tena na zaidi Respect !!!
Back
Top Bottom