Search results

  1. I

    Naomba kujua dawa ya kipele kigumu ambacho hakiumi ila nilikichokonoa kinatoa damu mara kwa mara

    Habari zenu wana jamvi. Naomba kujua dawa ya kipele fulani kigumu ambacho hakiumi ila nilikikwangua kinatoa damu mara kwa mara ingawa hakiumi kabisa. Kipo kwenye kidole gumba cha mkono kushoto.
  2. I

    Mtoto wa miaka 16 ajiua baada ya picha zake za ngono kusambaa

    How reliable is this story? Source of information ni gani?
  3. I

    Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

    ha ha haaaa kwaiyo kujua kiingereza kunajustify mtu kuwa msomi?
  4. I

    Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

    kwaiyo umekubaliana na mimi kuwa hata wewe ni kopo mwenzangu!! Lugha sio ujuzi
  5. I

    Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

    Kuna uwezekano mkubwa wa mtu kujua lugha kuiandika na usiwe mzuri katika kuizungumza lugha hiyo.... Kwaiyo kusoma hadi uprofesa haina maana ndio unajua kiingereza zaidi kuliko aliyeishia sekondari tu!!
  6. I

    Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

    Tatizo mnalinganisha vitu viwili ambavyo haviendani, Elimu na Lugha ni vitu viwili tofauti.... Mfano wafuate wachina wanaojenga SGR au flyovers, je wanajua kiingereza? Na je kutokujua kwao Kiingereza ndio kunawafanya wasijue ujenzi?
  7. I

    Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

    Kwaiyo una maana kujua kiingereza ndio kuwa na akili? Kwaiyo watu wa mataifa mengine wasioongea kiingereza hawana ubongo? ACHA KUWA MTUMWA WEWE, JIKUBALI UTANZANIA WAKO!!
  8. I

    CEO wa Safari Com Kenya akutwa amefariki dunia

    COLLYMORE WA SAFARICOM KENYA AFARIKI DUNIA (from Mwananchi Online) Aliyekuwa ofisa mtendaji mkuu wa kampuni ya Safaricom nchini Kenya, Bob Collymore (61) amefariki dunia leo asubuhi, Julai Mosi, 2019. Taarifa iliyotolewa na mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Safaricom, Nicholas Nganga...
  9. I

  10. I

    Naombeni msaada wa kuchangiwa Bima ya Afya (NHIF) ili kuokoa maisha yangu

    Mtu anapoumwa au anapokuwa na tatizo anatakiwa kutiwa moyo na sio kutishwa au kukatishwa tamaa kama wewe ulivyofanya. Umekosea ndugu!!
  11. I

    Naombeni msaada wa kuchangiwa Bima ya Afya (NHIF) ili kuokoa maisha yangu

    Anasahau kuwa kuugua sio kufa. Anaweza kufa yeye mzima, mgonjwa akabaki mzima na akapona.
  12. I

    Ninaomba kujua ni kisimbusi gani kinaonesha Clouds TV mkoa wa Dodoma?

    KWA DODOMA KATIKA KISIMBUZI CHA STARTIMES HAIONEKANI AU NIELEKEZE NIFANYAJE ILI NIONE.
  13. I

    Ninaomba kujua ni kisimbusi gani kinaonesha Clouds TV mkoa wa Dodoma?

    Habari zenu ndugu. Ninaomba kujua ni kisimbusi gani kinaonesha Clouds TV mkoa wa Dodoma? Pia ninawezaje kusikiliza Upendo FM huku Dodoma?
  14. I

    Special thread: Kwa wote ambao tumeshagongewa wake zetu

    SASA INAKUUMA NINI WAKATI HATA WEWE MWENYEWE UNASEMA UNAGONGA SANA NJE? SAMEHE TU MAISHA YAENDELEE :D:D ha haaa si unajua muosha huoshwa!!
  15. I

    Wanawake siku zenu za kuringa ni chache sana

    Hata mm naona mwandishi hajatumia akili, anataka mtu awe hivyo hivyo miaka 10??? Mbona sisi wa kiume pia miaka 10 tunabadilika, mavitambi hadi shughuli za vitandani zinatushinda!!
  16. I

    Ni Dr au ni Prof. Joyce Ndalichako?

    NDIO KIPO TANZANIA. NI CHUO KIKUU CHA AGA KHAN
  17. I

    Rais Magufuli apiga simu Clouds TV na kuwapongeza kwa kipindi cha Clouds 360

    Sidhani kama ni kweli!! Reportage ya mambo ya uchaguzi ya ITV ilikuwa haina upande, walijitahidi sana kuwa professional. Wagombea wote walipewa footage.
  18. I

    Rais Magufuli apiga simu Clouds TV na kuwapongeza kwa kipindi cha Clouds 360

    Mi naona yeye ni binadamu pia, ana vitu anapenda na vitu hapendi so amepiga kama mtu wa kawaida tu anayependezewa na hicho kipindi. Mimi pia ni mpenzi wa hicho kipindi, namna yao ya kuwasilisha ujumbe imekaa kama mzaha au utani lkn ujumbe unafika na haiboi kusikiliza/kuangalia.
  19. I

    Elections 2015 Kampeni CCM: Ndugai ampiga mgombea mwenzake, azimia na kukimbizwa hospitali huko Kongwa

    Kuna hadi video clip ya hizo vurugu. Km hujaipata weka namba yako nikutumie
Back
Top Bottom