Search results

  1. H

    Natafuta kiwanja cha kujenga nyumba ya kawaida Dar

    @ mama joe... Una specific contacts za mbezi au gopa? Kama unazo plz share na mimi ningependa kujua. Je uko kumepimwa?
  2. H

    Kuku wa kienyeji nimda gani hutumia hadi kufikia kuliwa

    Jamani mi nataka kujua kama kuna mtu Ana contacts za kupata kuku wa kienyeji wa jumla.. Na mimi niko interested kuanza kuuza kuku wa kienyeji kwa rejareja
  3. H

    Mtaji wa 200,000/=

    Kaka unaongelea kuku wa kienyeji? Una contact zozote za kupata kuku wa kienyeji ????
  4. H

    Kuku wa kienyeji

    Habari za Leo wadau.. Nafikiria kuanza kuuza kuku wa kienyeji, je kuna mtu anafahamu wapi naweza kununua kuku wa kienyeji kwa jumla kwa bei ya chini ili niweze kuja kuuza rejareja dar?
  5. H

    Nauza hizi pair mbili za viatu

    No sina Air Force one! But unaweza kuniagizia nikaketea. Ni PM
  6. H

    Nauza hizi pair mbili za viatu

    Hakuna tabu mi ninakusubiria
  7. H

    Nauza hizi pair mbili za viatu

    The Dealer mimekuelewa Mkuu go ahead nisaidie Mkuu mi bora vinunuliwe
  8. H

    Natafuta king'amuzi

    King'amuzi maana yake nini?
  9. H

    Nauza hizi pair mbili za viatu

    Hi guys! Wanajamii ninauza hizi pair mbili za viatu laki na nusu kila pair maelewano kidogo yapo. Viatu viko dar kwa any serious buyer tafadhani ni PM asap Viatu vya brown ni size 9U.S na black ni 9.5 U.S Asanteni
  10. H

    Tangazo kwa Umma juu ya uuzaji wa viwanja katika eneo la Golani, kata ya Kimbiji

    Jamani kuna yeyote aliyefuatilua hivi viwanja? Mama yangu ameenda leo jumatano April 3rd na kuambiwa kuwa fomu zote zimeshaisha. Sijuini kweli au ndio utapeli tu... Mwenye info zaidi naombeni maelezo plz
  11. H

    Jifunze ms excel for free

    Jamani samahanini wana jamii siku jua kama hii site haifunguki kila sehemu. Ila kuna site nyingine inaitwa coursera.org very good site. Haina excel but Ina different classes from American university na ni bure. Some classes wanatoa mpaka certificate Asanteni
  12. H

    Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

    Kristian habari mzee! Kuanzia tarehe 25 April natarajia mzigo wangu ufike dar from marekani. Nina mabox mawili moja 20x20x20 na jingine ni 24x24x24 yamejaa nguo za watoto, wanawake na kidogo za kiume. Zote ni mpya kabisaaaa. Nataka mtu wa kuzinunua jumla kama unahitaji nistue tafadhani. Na kama...
  13. H

    MSAADA Kwa anaejua Microft Office Excel.

    learningexpresslibrary.com is the very good site ya kujifunza excel for free ndugu yangu!!! Hope it will help
  14. H

    Why Current, Savings or Fixed Deposit with International Commercial Bank. (ICB)-Karibuni

    @ sun wu! Ni kweli kaka Sijui kwa nini hawa jamaa wana haji service fee each month! I think watawavutia sanaaa wateja wakiwa na free checking and saving account. Na ni kweli their charges ni kubwa kuliko interest. stanbic ni aje we zangu! Nafikiri kuhamia uko...... Crdb wamenishinda
  15. H

    Naomba Ushauri - Kufuga ng'ombe wa maziwa na kupack maziwa

    I like your idea Mzee! Hongera na endelea kutupa updates please.
  16. H

    Jifunze ms excel for free

    Habari zenu wanajamii... Naona ni share hii site na nyie, kwa yeyote ambae angependa kujifunza MS Excel, Adobe, Visio etc ajaribu kuingia kwenye hii site: learningexpresslibrary.com I hope ntakuwa nimemsaidia angalau mtu mmoja au wawili. Asanteni
  17. H

    Picha. Nimeanza leo kufuga kwa mara ya kwanza ushauri plz.

    Hongera!!! Mungu akubariki katika biashara yako
  18. H

    Online transaction

    What r u looking to buy? kama ukinunua bidhaa from websites za nje sijui mambo ya shipping yatakuwaje. But kwa experience yangu kadi ya Crdb sio reliable at all kuna some sites crdb kadi haikubaliki kabisa. Anyway, u only need a good reliable card, iwe inakubalika sehemu ningine preferable iwe...
  19. H

    Msaada: Kusafirisha vitu toka U.s.a

    :rodgersexports@gmail.com. Mcheki kwenye hiyo email anaitwa Haji
Back
Top Bottom