Jaman naomba kama kuna mwenye orodha ya waliochaguliwa kujiung na vyuo vya ualimu ngazi ya CHETI (Grade A) na STASHAHADA atuowekee hapa, Ombi itoe kwenye PDF ili tuweze kuifungua,
Naomba mnisaidie kutambua Category niliyopo kwenye CAS,
Nina qualification zifuatazo;
>form IV-point 25 (NECTA-2007),
>Grade IIIA teacher cert. (primary teacher) GPA 2.9 (NECTA-2010) na
>Cert. in foundation course (offered by Open University of TZ).
Inasemekana kuwa mwaka huu 2013/2014 hakuna udahili kupitia vyuoni, wakati baadhi ya vyuo vimeshaweka aplication form, je inakuwaje hapo? naomba msaada wenu tafadhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.