Search results

  1. L

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Kigwangalla afanya ziara ya kushtukiza kwa Dr. Mwaka

    Kwa vile watanzania sio watu wa kufuatilia mambo ngoja wapigwe pesa na hao wasanii wa tiba mbadala...Loliondo aliibia watu, alisababisha vifo, na hadi leo hajachukuliwa hatua, tiba mbadala wameingia wanafanya zaidi ya udakitar na hawajasomea na bado wadanganyika tunawashangilia, Ndodi, Mwaka...
  2. L

    CHADEMA imehamharibu sana huyu Dada kisaikolojia! Any help out?!

    Naona post yake wamefunga comments, jaribu kuiunganisha na post yake ya Butiama tumpe stress zaidi... adrenaline na strres hormone ziendelee kuharibu cycle yake
  3. L

    Zitto: Ninaunga mkono UKAWA!

    Kirusi daima hakiwezi kusurvive on its own, kinatafuta pa kujishikiza Kitoswe mbona wakati wa BMK hakikuwaona ukawa? Ngoja aone ilivyokazi kusimamisha na kunadi chama
  4. L

    Tundu Lissu atangaza rasmi Zitto Kabwe kuvuliwa uanachama wa CHADEMA

    Kuna mikakati mipya au bado mnatafutana yupi kabaki, CHADEMA ni chama kikuu cha upinzani, toeni dira na mikakati juu maswala muhimu ya kitaifa, katiba mpya, kujiandikisha kwa wapiga kura na uchaguzi mkuu ujao na mengine mengi.....just thiking
  5. L

    Zitto ana ufunguo wa CHADEMA kushika dola 2015

    Kama anamashabiki wengi huyo fisadi aanzishe chama, ili umfuate huyo mbunge wa mahakama
  6. L

    Zitto nakupa wiki moja uondoke CHADEMA

    Zitto keshaondoka CHADEMA, hashiriki kazi yoyote ya kujenga CHADEMA, CHADEMA hawako bungeni kwa kundi la UKAWA, na yeye yuko nje ya bunge peke yake maana yeye hayuko UKAWA, Alipoenda Kigoma hakuenda na Bendera ya CHADEMA, kinachombakiza CHADEMA ni kubomoa tu.
  7. L

    Treni za umeme na reli za juu kwa juu Dar es salaam..Shuka nayo

    Safi sana, mawazo mazuri, uje haraka mpango huu, jiji litafaa saana, ukijumlisha mji wa kisasa wa kigamboni, Bongo bwana!!! Kichwa cha nazi
  8. L

    Ni wakati wa CHADEMA kuwasamehe Zitto na Dr. Kitila Mkumbo

    Kumsamehe huyo msaliti ni sawa na kuisamehe mizengwe yote inayoendekezwa na ccm kwa tume na ukawa
  9. L

    Prof. Baregu ndani ya kipindi cha kipima joto ITV

    Kuna kijamaa cha ccm kinaongea pimba sana hapa kuhusu muungano now itv..huyu jamaa ni mfanyakazi wa nida na aligombea kura za maoni na.dr kafumu igunga akashindwa..anaongea pimba tu Huyo dogo kaniboa sana,,, afu anajitize ni mwanafunzi wa Prof. Baregu, mi nadhani Prof amemsamehe kumkataa...
  10. L

    Dr Slaa Live on Startv - March 31, 2014

    Wel informed Dr W Slaa, goodluck
  11. L

    Madaktari Hospitali ya Wilaya ya Misungwi hawana mahala pa kuishi

    Haki inapiganiwa, pambaneni mpaka watoe
  12. L

    Misungwi hakuna nyumba za wafanyakazi wa afya, madakitari wanalazimika kulipia guest

    hospitali ya Wilaya Misungwi haina nyumba kwa ajili ya wafanyakazi, madakitari walazimika kujilipia hela ya guest, huku Mganga mkuu akibaki hana majibu ya lini na kivipi tatizo hilo litashughurikiwa na ukizingatia waraka wa serikali wa 2004 na 2009 ukiwataja Madakitari wanastahili kupewa nyumba...
  13. L

    Hongera HALIMA MDEE umeonyesha ukomavu

    Zito ni Mbunge wa Mahakama
  14. L

    Mwenyekiti CHADEMA Temeke adai alitekwa na mwanaCHADEMA mwenzake, CHADEMA yataka Polisi ichunguze

    CHADEMA CHADEMA CHADEMA!!! Nakupenda sana,, najua unapitia mengi na watanzania bado wana imani kubwa,, lazima upitie mengi ili uwe imara! Wenye pesa watatumia njia tofauti kukudhofisha, kuna watanzania wanaumia sana hasa hospital kwa kukosa huduma bora huku kila kukicha viongozi wakiendelea...
  15. L

    CHADEMA, tumsamehe Zitto tusonge mbele; awe mtu asiye na madhara kama Shibuda!

    Zito yupi? Au yule mmbunge wa mahakama? Si hana chama kwa sasa? Au agombee kupitia CUF?
  16. L

    OFFICIAL: CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba...

    Viva CHADEMA!!! That why i like u guys, I tusiwl always be on your side.... Zitto nae asepe zake,,,,, yeye si anadai ni zaidi ya CHADEMA, hilo ni tusi... kwa chama chenye wapenzi inchi nzima
  17. L

    Pendekezo: Prof. Abdallah Safari awe Mwenyekiti CHADEMA

    Kwanini? Mbona CUF hakupewa uenyekiti?
Back
Top Bottom