Search results

  1. Kaka Mtenga

    Polisi wamnyima dhamana Tundu Lissu, waandishi wa habari watimuliwa

    UMAARUFU WA MTU HUSABABISHWA NA ADUI YAKE
  2. Kaka Mtenga

    Waziri Mkuu apiga marufuku matumizi ya Shisha nchini

    Shisha kwa kichaga ni SAFI/NZURI naomba serikali ije hewani na vitu vya msingi.Namkumbuka sana Amina Chifupa wa Mpakanjia alivyoachwa kuungwa mkono na serikali hii hii ya CCM
  3. Kaka Mtenga

    Magesa Mulongo na mti upindao

    mipango ya viongozi wetu huwa haieleweki maana hata OLE NJOOLAY ALIONDOLEWA KIAINA
  4. Kaka Mtenga

    Zitto: Watumiaji wangekuwa na moyo wa dhati kama mkusanyaji Kitilya, tungepiga hatua kubwa sana

    ZZK nae ni jipu lingine Mh. JPM akifika Tanesco majibu tutayapata
  5. Kaka Mtenga

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Mkuu ni kwamba kuunda tume kuchunguza watu waliohujumu nchi kwa JK ilikuwa ni deal ndio maana alikuwa haachi kukenua
  6. Kaka Mtenga

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Kwa muda wa mwezi sasa tangu JPM aingie Ikulu nimeona tofauti kubwa kiutendaji kwani matukio ambayo yangeundiwa tume na JK watu wako nje ya kazi na pasport za kusafiria zimezuiliwa pia wengine wako chini ya ulinzi wa polisi. Kweli HAPA KAZI TU ni kiboko
  7. Kaka Mtenga

    Magufuli, acha kujitafutia sifa kwa mfumo huu

    Mleta mada hajitambui au ni mmoja kati ya wanaosafiri zaidi ya kwenda kusalimia wazazi wake.
  8. Kaka Mtenga

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma 20 Nov, 2015: Hotuba ya Rais wa JMT kuzindua Bunge la 11

    Mimi ni mwanamabadiliko lakini kwa hotuba ya Dr Pombe ikiwa atasimamia anayoyasema nchi yetu itabadilika kiuchumi. Lakini pamoja na hayo sisi wanamabadiliko tutaendelea kufuatilia hatua kwa hatua kwenye ahadi zake na kulazimika kufikiri zaidi njia bora zaidi ili kuhakikisha wananchi...
  9. Kaka Mtenga

    Edward Lowassa aongea na vyombo vya habari, Amesema hatokubali matokeo ya uchaguzi mkuu

    Mungu akujalie ili huo ugonjwa wa akili unaoufurahia na kuutamka kwa madaha kwa kiburi cha uhai uliojaliwa na Mungu wa sio kwa ujanja wako ukupate wewe ili furaha yako itimie ila usiwape mzigo ndugu zako wenye mtazamo tofauti na wako juu ya Mzee Lowassa
  10. Kaka Mtenga

    Dr. Slaa akimbilia tena Marekani, awatakia Watanzania uchaguzi salama

    Uko sawa bora aende kwa Pope Francis atafute Amani ya Nafsi
  11. Kaka Mtenga

    Tunachofanyishwa hakuna tofauti na utumwa

    Vipi wale waliodeki kwa ajili ya Obama? Acha upuuzi na wivu wa kike NDOOOOOROBO WEWE
  12. Kaka Mtenga

    Watoto wa vigogo na ajira BoT

    Mgombea urais kupitia ccm anajigamba kuwa atawashugulikia mafisadi akichaguliwa. Atumbie hao watoto wa vigogo pamoja vigogo wanaouza madawa ya kulevya na wengine wameshikilia nafasi mbalimbali kwenye taasisi na mashirika mbalimbali hata bila kuwa na vigezo atawafanya nini?
  13. Kaka Mtenga

    China isingemchelewesha Lowassa

    Mbona China walishindwa kumnyonga Riz one? Acha Bange
  14. Kaka Mtenga

    Wenje abomoa kufuli,aingia ndani amwaga pombe kata ya mabatini

    Muda huu barabara za Mabatini zimebanana watu wakimshangilia Mh.Wenje baada kumaliza mkutano. Watu ni wengi ajabu lakini hakuna fujo kuonesha ustaarabu wa wanaUKAWA Kwa ufupi ni kwamba MABULA kapambanishwa kazi ngumu maana kila kona anadaiwa matoroli pamoja na masufuria ya mama ntilie...
  15. Kaka Mtenga

    Elections 2015 Nape: Mbowe aiuza rasmi CHADEMA kwa Lowassa

    Eti unamvulia kofia, kwani ulitaka umvulie nini?
Back
Top Bottom