Search results

  1. K

    Soko la mayai ya kuku wa kienyeji

    Bwana Malila, Nipo Dsm na hii changamoto ya soko la kuuzia mayai imetokana pia na kutingwa kwangu na majukumu mengine ya kijamii ndo maana nikalazimika kutumia hili jukwaa kujitangaza, ila pia kwa ngazi ya familia kuwa kama wateja pekee imekuwa na ukinzani zaidi kwenye kubalance economic theory...
  2. K

    Soko la mayai ya kuku wa kienyeji

    Mkuu, tray moja inapatikana kwa Tsh 13,000.
  3. K

    Soko la mayai ya kuku wa kienyeji

    Habari wadau? Miye ni mjasiriamali mfugaji wa kuku wa kienyeji + chotara, kanga pamoja na bata mzinga, shughuli yenye takribani zaidi ya mwaka sasa, changamoto nayokabiliana nayo saizi ni upatikanaji wa soko la mayai ya kuku wa kienyeji kubaki shambani zaidi ya trays kumi kwa wiki bila kuingia...
  4. K

    Usaili wa kazi moja zaidi ya mara nne

    Habari wandugu? Najua conversation hii imewavutia sana na mngependa kuona ikiendelea ila nadhani imefika mwisho. Nilidhani mleta hoja yupo tayari kubeba challenging ideas ila badala yake anatengeneza hoja zisizo mashiko na zenye mwelekeo wa matusi & dharau. Nilichogundua kupitia andishi lake la...
  5. K

    Usaili wa kazi moja zaidi ya mara nne

    Mawazo ujenzi, Habari yako? Mbona umejibu huku povu linakutoka mdomoni? Ntajitahidi kukujibu kwa hoja ili mwishone tuweze kuelewana. Director wa sales wa coca cola kwanza ana asili ya uhindi na ni mfupi kwa kimo. Hii kazi ilitangazwa kwenye gazeti la Guardian la 11/07 na mwisho wa maombi...
  6. K

    Usaili wa kazi moja zaidi ya mara nne

    On Tuesday 2/9, nikapigiwa simu na coca cola kwa majibu ya interview with their number of 0784106740, nasubiri call ya kwenda kumwaga wino now...! Taarifa yako inaleta mkanganyiko kiasi. Hiyo test ya driving sijaona mantiki yake
  7. K

    Usaili wa kazi moja zaidi ya mara nne

    Mkuu, Mbona sijakuelewa kiusahihi? Hiyo post nami ni candidate ila nimefanya only two oral interviews moja ilikuwa July 17 with Director wa sales & HR Director, after screening tukabaki wa3 na last interview ilifanyika Aug 12..! Mbona kama habari yako imeenda mbali sana?
  8. K

    CCM Kagera yawafukuza madiwani wake 8

    Wakati mwingine wa kushuhudia nguvu za vyama kisera umewadia, another moment for CDM kujiongezea namba za madiwani katika halmashauri ya mji wa Bukoba. Am kweli wapambanapo mafahari wawili ziumiazo ni nyasi.
  9. K

    Vichwa Hivi vya Azania Viliishia Wapi?

    Yule dogo aliyelosti na 7 yake anaitwa Andrew Ibrahim aka Wenzi, aliishia kufundisha Tuition magomeni na kugonga mademu tu. Wenzake saizi twagonga bata tu duniani.
  10. K

    CHADEMA yaisambaratisha CCM Uchaguzi wa Vijiji Kilosa

    Mpwa Nape upo wapi na vilaza wenzako Lusinde, Mwigulu na mzee wa ---- you...! Serukamba? Jiandaeni kutuachia state house yetu 2015
  11. K

    Kinana atumia dk zaidi ya 45 kuiongelea CHADEMA

    ukiona mtu mzima anatumia lughaya utajiju basi jua huyo mtu si riziki, pole kwa kukubali kutumika na kuwa punga. Ushauri wangu kwako ningekuomba kwanza urejee shule maana hata kiswahili bado hujafuzu,
  12. K

    Waraka wangu mfupi kwa Kikwete, na washauri wa Kikwete.

    Natumaini unastahili kuwa mshauri wa Rais, nyeusi waiita nyeusi na hiyo ndo lugha sahihi, hakika weye ni mkweli na mzalendo kwa Taifa lako. Rais wako atakusoma tu au idara yake ya habari ya akina Nshomile Salva itaisoma article yako ila usitarajie matekelezo coz inasemekana kuwa Rais wako...
  13. K

    Vijana, msifanye makosa kama niliyofanya. Kujiunga na CHADEMA ni sawa na kucheza karata tatu!

    Lukosi, weye ni matokeo ya wote waingiao katika siasa kwa malengo binafsi. Tuhuma zako juu ya cdm ni baada ya kushindwa kwako kutimiza malengo yako binafsi yaliyotawaliwa na tamaa, Ulipohamia ndo kukufahako maana huku kwafahamika kama chukua chako mapema, ungana vyema na wapiga porojo na...
  14. K

    Simkumbuki Wakili mnafiki kuliko Marando

    Kaona maswali yamemkwaza na kumzidia na wale vijana wake wa mitandaoni pale Lumumba wamelala hawamtetei Bosi wao, kwa nini asile kona Nape kilaza? Akili nyepesi always uja na mambo mepesi yasiyo na mashiko, ni kweli angetuwekea ushahidi wa Mzee Marando kumjibu Jeetu Patel angalau leo Nape...
  15. K

    Msaada wa kuchaguliwa mchumba jamani

    Aaah balaha! ila wa pili toka kushoto ni kisu mbaya!!!
  16. K

    Nafasi 5 mpya za kazi leo

    Hiyo email ya receiver inanipa mashaka!
  17. K

    Said Mwema - Kuwa shemeji ya Rais ni leseni?

    Ulitabiri vyema na bado unaendelea kutuaminisha kuwa kam mauaji haya ya polisi ni sawa na ngoma, basi ndo kwanza ngoma inawambwa moto bado hata haijapigwa kuchezwa! Hadi imalizike kuchezwa sijui akina nani watakuwa wamebaki hai iwapo hatutatafuta means za kuzuia au kuepusha ujinga huu wa Jeshi...
  18. K

    Ni yupi kiongozi kati ya hawa?

    Kuna kiongozi mtendaji na mtalii vasco da gama.
  19. K

    Tanzania Commision for Universities- kujitoa kwa MOROGORO ISLAMIC UNIVERSITY

    Hiki chuo kweli hakitizami alama "principals" pekee kama criteria pekee ya kukupa admission, nimestaajabu leo hii kuona matokeo ya o level & a level ya mmoja wa wanafunzi wa chuo hiki cha MUM nikabaki najiuliza alipataje admission ya chuo kikuu? Kwa Div 4, O level & A level eti alikuwa admitted...
  20. K

    Tatizo Watanzania wamezoea kuwachezea POLISI wetu kutokana na upole na ustaarabu wao.

    Kupe, kadudu kasumbufu kenye tabia ya kushiba pasipozalisha! Hakika ulichagua jina sahihi kwa matendo yako ila kuna uwezekano hata hili jina wamekuchagulia waliokupangia kufanya kazi hii na kwa kuwa hujui wajibu wa jeshi la polisi sitopoteza muda wangu kukujibu zaidi ya kukuelimisha kuwa Jeshi...
Back
Top Bottom