Search results

  1. A

    Rungu la serikali latua kichwani kwa gazeti la Mtanzania

    Mkuu kwenye picha pale kunapicha ya ponda na mwangosi?
  2. A

    CHADEMA, serikali tatu na serikali ya majimbo

    Mkuu wewe unahangaika na chadema huku unafahamu kuwa chadema hawako sawa vichwani mwao zao ni kukurupuka tu hata hoja hakuna.
  3. A

    CHADEMA, serikali tatu na serikali ya majimbo

    Chadema ni chama cha mashetani mkuu.
  4. A

    CHADEMA, serikali tatu na serikali ya majimbo

    Chadema ni bendela fuata upepo wao siku zote hawana hoja wanafuata yale yanayotokea kwenye jamii ndiyo wanaruka nayo.
  5. A

    CHADEMA Kulikoni Wilaya ya Kilosa???

    Linganisha na utofautishe then utapata majibu yako kweupe tu.
  6. A

    CHADEMA Kulikoni Wilaya ya Kilosa???

    CHADEMA ni chama cha kutafuta sifa siyo kuwatumikia watu siyo hapoa tu CHADEMA hawapo sehemu nyingi sana.
  7. A

    Ona Uzalendo wa Wabongo Eti raisi wa ......Anazidiwa na Mgeni

    The boss vipi tena na wadada mkuu.
  8. A

    Rungu la serikali latua kichwani kwa gazeti la Mtanzania

    Sasa wakuu hapa serikali inahusikaje kwa watu hawa hapa yupo uli,kibanda ,padri zanzibar na home shoping centre mtanzania wanahaki ya kupigwa adhabu hata ya kufutwa kabisa gazeti lao.
  9. A

    Rungu la serikali latua kichwani kwa gazeti la Mtanzania

    Mkuu usipotoshe kilichoandikwa kwenye gazeti,gazeti limeitaja serikali halafu likamtaja kibanda,uli,mapadri waliomwagiwa tindikali,hakuna sehemu tumewahi kusoma au kuona kama serikali ilihusika na swala la kibanda au tindikali kwa padri wewe unaleta za kuleta acha umbea mkuu.
  10. A

    Rungu la serikali latua kichwani kwa gazeti la Mtanzania

    Wewe mbona umetunga heading yako mzima kweli wewe. gazeti linasema serikali yanuka damu wewe unasema rushwa ndo nini sasa.
  11. A

    Dr. Slaa: CHADEMA ni chama kinachoamini mfumo wa KIBEPARI

    Katika watu waongo wa kupindukia ndani ya chadema anaanza slaa,mnyika halafu anafuata nassri yani ni hasala tupu.
  12. A

    Dr. Slaa: CHADEMA ni chama kinachoamini mfumo wa KIBEPARI

    Mkuu jf kunawatu wengine mizigo halafu wanapingana na ukweli ila usichoke kutoa elimu watu wanakuelewa sana tu.
  13. A

    Dr. Slaa: CHADEMA ni chama kinachoamini mfumo wa KIBEPARI

    Slaa chama amekiharibu sana alipoanza kuiba kanisani halafu ndiyo kaja kwenye sasa kamwe chama hicho lazima kiwe cha kitapeli tu laana ya mungu hawataikwepa.
  14. A

    Rungu la serikali latua kichwani kwa gazeti la Mtanzania

    Lazima mambo mengine tukili kuwa wandishi wanaandika habari za kichochezi kama hii hawa mtanzania wakiachwa watasababisha mvurugano ktk taifa siyo wa kuwachekea kwani wanamda sasa wanaandika habari nyingi za uchochezi.
  15. A

    Rungu la serikali latua kichwani kwa gazeti la Mtanzania

    Hii habari ya kichonganishi kwa nini useme serikali inanuka damu kwani serikali ndiyo imemwagia tindikali padri,kwani serikali ndiyo ilimpiga kibanda habari hii ni yakichonganishi live.
  16. A

    Balozi wa China: CCM inahusika, msajili wa vyama kimyaa!

    Hili swala dogo sana haliwezi kumfanya msajiri azungumzie, wanaoishi kwenye wingu zitto ni watu kama wewe mnaotaka nchi iendeshwe mnavyotaka.
  17. A

    Balozi wa China: CCM inahusika, msajili wa vyama kimyaa!

    Siyo wote wanaojua kusoma na kuandika huandika vitu vya maana.
  18. A

    Dr. Slaa: CHADEMA ni chama kinachoamini mfumo wa KIBEPARI

    Chadema siyo chama wakuu ni genge la waharifu tu, mkuu endelea kutoa elimu jamii kubwa ilishawatambua hawa mabepari.
  19. A

    Dr. Slaa: CHADEMA ni chama kinachoamini mfumo wa KIBEPARI

    Ufisadi muulize mzee slaa anujua aliyeiba mpaka pesa za kanisa tena zilizokuwa zinahusu watoto yatima.
  20. A

    Dr. Slaa: CHADEMA ni chama kinachoamini mfumo wa KIBEPARI

    Slaa alishagawiwa haki yake na mungu tangu alivyofanya matendo ya aibu kwenye nyumba za mungu kwahiyo hayuko sawa.
Back
Top Bottom