Search results

  1. grand-mal

    Hospital ya mkoa wa Mtwara Ligula haina hata Panandol!

    Na bado, endeleeni kuwachagua ma-escrow
  2. grand-mal

    Wassira akacha mdahalo ulioandaliwa na ITV

    Mleta uzi anastahili Ban...mbona mzee Wassira yupo
  3. grand-mal

    Natafuta mwanamke asiye na uwezo wa kuzaa

    all the best shem
  4. grand-mal

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 11 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Nitashangazwa na uelewa wako ukimsifia huyu mama, lazima uwe div 5.
  5. grand-mal

    Prof. Kabudi afafanua serikali tatu katika Jenerali on Monday

    Punga nasikia ni baba ako, muulize mama ako kama mm punga
  6. grand-mal

    Prof. Kabudi afafanua serikali tatu katika Jenerali on Monday

    Serikali moja kila kitu, kama wazenj hawataki kuiua zenj yao waondoke watuache na Tanganyika yetu, hizi serikali tatu zitaleta more confusions
  7. grand-mal

    Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    Zitto anasema anamiliki freelander na carina, hii land-cruiser ameiuza?, na hii Nissan anaifanyia biashara gani, Zitto hajawahi kutaja umiliki wa hizi gari, haoni kama Mkono kamuumbua, njia ya mwongo ni fupi, angalau mkono kakubali kwamba huwa wanaongea na Lissu wakiwa kwenye kamati, who knows...
  8. grand-mal

    Wabunge wa CCM wawakalia kooni mawaziri mizigo

    usanii at its best
  9. grand-mal

    Nimekubali kuwa CCM ndicho chama pekee cha siasa

    HII NDIO KAZI YA CCM, NI CHAMA MAKINI KWANI MATUKIO YAO YOTE HUWA HAWAKAMATWI.
  10. grand-mal

    Kisa cha kibibi kilichopinda mdomo

    Du JF never boring, umemjibu shonza
  11. grand-mal

    Hivi ndivyo Watanzania wanavyoteswa na waajiri wao

    una au huna, namshukuru Mungu taaluma yangu inaniwezesha kufanya kazi popote, nimemshauri atafute sehemu nyingine sababu hapo hata ufanisi hautakuwepo na kuendelea kulalamika hakumsaidii hakuna atakaemsikiliza, wenye mamlaka ya kumsaidia wako busy wanakula hawataki usumbufu
  12. grand-mal

    Hivi ndivyo Watanzania wanavyoteswa na waajiri wao

    Hebu anza kutafuta kazi sehemu nyingine bana kwani si una-qualifications
  13. grand-mal

    Assumpter Aipinga CCM waziwazi

    Au wanakupa microphone ukiongea tu unaomba maji na kukata roho. RIP Kolimba
  14. grand-mal

    Assumpter Aipinga CCM waziwazi

    Kesho lazima aitwe na kuonywa kwa nini anakiaibisha chama, kama haamini amuulize Kigwangala na hoja yake ya kumkataa spika, kaufyata mpaka leo kimya
  15. grand-mal

    Mbunge JUMA NKAMIA aonja joto ya jiwe

    watu wengine ushabiki unawapa upofu, yaani Tido umfananishe na Nkamia, Nkamia mfananishe na watangazaji kama wa redio chem chem ya sumbawanga, hana weledi, he is no professional.
  16. grand-mal

    Mengi: Prof. Muhongo ni muongo

    ask your mother she will tell u how swine i am.
  17. grand-mal

    Omary Jumanne Salum, mkurugenzi mpya wa SIDO

    hata wewe unaweza kumwambia maana unaonekana ni mfurukutwa kwenye hizo mambo
  18. grand-mal

    Omary Jumanne Salum, mkurugenzi mpya wa SIDO

    si kila kitu ni kujadili, nyingine taarifa tu
Back
Top Bottom