Search results

  1. Kaniki1974

    Show rooms za magari Dar

    Na wewe ni mpelelezi pia? Kwani hivyo vyombo ulivyovitaja havijui kazi yao mpaka uviarifu kupitia hapa? Hii JF siku hizi vipi tena? I think it's time now wabongo kuangalia other critical/strategic societal issues. Hatuna maji, hatuna umeme, hatuna elimu, hakuna ajira , hatuna barabara, e.t.c
  2. Kaniki1974

    Kijana atangaza kumng'oa Malecela Mtera

    Habari njema hii. Hii mijitu style ya Mugabe yapaswa kung'olewa tu.
  3. Kaniki1974

    Mh. Iddi Azan anafanya biashara gani?

    Wewe ni mpelelezi? Unatafutia nini habari hizi hapa?
  4. Kaniki1974

    VIP makanisani.....

    Hata kama si viti, kuna ukweli kiasi kikubwa tu kwamba baadhi ya taasisi za dini/makanisa yanashobokea vigogo. Haya mambo ya imani za kidini ndio maana yanaangaliwa critically huko China. Hizi imani za kidini ukiziendekeza sana zitakuchanganya tu.
  5. Kaniki1974

    Colabo

    Yaani hawana vigezo? What's your preferred colabo?
  6. Kaniki1974

    Colabo

    Kila chema huanza katika ndoto/mawazo. Hakuna mtu mkamilifu. Ubaya /mapungufu huzidiana.
  7. Kaniki1974

    Colabo

    Hapo ndio udhaifu. Hata kama hakuna wenye sifa huko? Kama muungano waweza kuwa kikwazo cha ustawi, kwa nini usirekebishwe? Hamad Rashid, any way.
  8. Kaniki1974

    Kunani watanzania?

    Kwi kwi kwiiiiii.... nilisikia, tusikate tamaa any way. Hope best hukubali tubaki kama hivi daima!
  9. Kaniki1974

    Colabo

    Utaratibu au chama isn't an issue. Issue ni colabo. Do you believe in utaratibu or chama?
  10. Kaniki1974

    Colabo

    Magufuli - president Pinda - vice president Slaa - Prime minister Hapo vipi?
  11. Kaniki1974

    Kunani watanzania?

    So twastahili kila aina ya hujuma! God have mercy!
  12. Kaniki1974

    Kunani watanzania?

    Huu upole wa watanzania, umetoka wapi? Una maana kweli kwa maendeleo ya nchi? Utatutoa kimaendeleo? Ukiwa mwanasiasa unaweza kuwaahidi uongo, ukawadharau na hata kuwanyanyasa na watakuangalia tu na hata kuzidi kukuchagua/kukupigia kura; Rais anayumbisha na kuharibu uchumi wa nchi kwa utawala...
  13. Kaniki1974

    Katiba ibadilishwe? Kikwete awe Rais wa Maisha!

    Mwanakijiji, Huwa nakuchukulia kama mwanamapinduzi wa kweli. Hizi kauli za kukata tamaa, sipendi kuzisikia toka kwako!
  14. Kaniki1974

    Tatizo la umeme nchini linahitaji ufumbuzi wa muda mrefu na sio muda mfupi

    Pengine TANESCO wamewahi kuwa na mpango kabambe kama huo. Hebu watwambie kama wamehi kuwa nayo ili tujue ni kwa kiasi gani siasa zetu chafu na mipango mibovu imekwamisha juhudi za wataalamu! Tatizo kubwa ni uongozi usio na uwezo, nia, dira wala uzalendo!
  15. Kaniki1974

    Uchaguzi 2010: Masilahi Ya Taifa Kwanza!

    Ni Rais mjinga tu ndiye anayewashughulikia mafisadi na maharamia baada ya PRESSURE toka kwa wananchi. Rais mzalendo, hasubiri hayo.
  16. Kaniki1974

    Decor

    Wakuu, Nimesaidiwa mara nyingi hapa. Shukrani za dhati kwa JF team. Asanteni sana wote pia. Ninaomba kusaidiwa zaidi. Ninatafuta wataalamu /professionals wa interior & exterior design na landscaping, pools and gardening. They must be reliable and exprienced professionals. Ningependa zaidi...
  17. Kaniki1974

    Uchaguzi 2010: Masilahi Ya Taifa Kwanza!

    Mizengo Kayanza Peter Pinda
  18. Kaniki1974

    Benz C Class na E Class

    Asante SM Sijakupata vizuri hapo mkuu, you mean CIF?
  19. Kaniki1974

    Uchaguzi 2010: Masilahi Ya Taifa Kwanza!

    Hawa naweza kuwapa kura yangu: Pinda Makufuli Slaa Selelii
  20. Kaniki1974

    Benz C Class na E Class

    Anayezifahamu, ushauri please. Magonjwa sugu yake kama yapo na matatizo mengine. Spare parts sijali. Used saloon 2001 -2003. I intend to import from Japan. Pia MAKADILIO YA TOTAL COSTS PLEASE PLEASE PLEASE. Asanteni sana.
Back
Top Bottom