Search results

  1. E

    Biashara gani?

    Habari wadau biashara gani itaweza kuniingizia 10,000 kwa siku na yenye mtaji mdogo.Asante wana jamvi
  2. E

    Kovu kwenye ubongo

    Nisaidieni jamani. Ndugu yangu anakovu kwenye ubongo, hii imemfanya apate stroke upande wote wa kulia wa mwili wake, Je nini tiba ya ugonjwa huu,ana miaka 6 tangu apatwe na tatizo hili.
  3. E

    Tafadhalini nisaidieni jamani mamaangu (strock)

    Naomba msaada naomba kufahamu. Ndugu yangu ana KOVU KWENYE UBONGO,imesababisha kupata stroke upande wa kulia,tiba yake ni nini,hasa kutibu hili kovu kwenye ubongo na stroke,ana miaka 6 sasa tangu augue. Asanteni.
Back
Top Bottom