Search results

  1. H

    MTI anaotumia babu wa Loliondo ni sumu?

    Naomba chanzo cha habari tafadhali....
  2. H

    JWTZ na taarifa ya Mabomu Gongo la Mboto

    Kuna ambao ulitokea Maputo Mozambique nadhani miaka miwili iliyopita , habari zilikuwa wazi kabisa. Vile vile kama ni siri hivyo anajuaje ilitokea?
  3. H

    Misafara ya JK Kuandamana na Private Ambulance: Picha gani kwa Huduma za Serikali?

    Kwa kuangalia Serikali yetu...oops yake...oops yao, ya kukurupuka na kutokuwa na mipango, kutokuwa na wanaoweza kuweka mipango bila ubinafsi na roho mbaya. Wamejikuta wanahitaji ambulance, kuangalia zinazopelekwa hospitali za manispaa na jeshini kiutapeli na cmc na toyota wakaona sio ambulance...
  4. H

    Ndege za kivita?

    Naomba ufafanuzi ndugu kwenye vacuum of measurements na wengineo tuelewe, Asante
  5. H

    Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    Vile vile waweza pakua programu ya "freecorder" ambayo itazinasa wakati ukizitizama. Zisipoonekana pakua avs video converter uzibadilishe kwa format itakayofaa kwako
  6. H

    Kamati kuu CCM yamtosa Hussein Bashe, adaiwa si raia wa Tanzania

    What a tongue in cheek...!!
  7. H

    Utapeli mpya waibuka Dar

    I think the heading is misleading....utapeli ulio mpya ni kwa waliotumia akili kidogo kuingilia utapeli uliozoeleka wa mawaziri ...kuamuru wapewe kiasi fulani cha fedha...ingebidi kiwe utapeli wa mawaziri waingiliwa, hao madereva waliozoa kutumwa na kuona fedha zinachotwa tu ku kutumwa bila hata...
  8. H

    Siasa na Vitimbi vya Kombe la Dunia Lilipotua Bongo!!

    Coca cola watapenda sana hii picha....
  9. H

    Mwanamke hawezi kukaa bila ku-"do" kwa miaka 3?

    Mmh pretty...yaani five years, with out previous history of being hurt...basi tu imebidi katika kutafuta maisha kutengana? Hebu tueleze ilikuwaje na sie tujifunze....
  10. H

    The kambas alfabets

    Hillarious....we could get more tribes to strut theirs...
  11. H

    Kuna haja kwa kampuni ya TIGO kubadili jina hili la matusi?

    Nadhani haya yote yalitokana na tangazo lao...Tigo, mtandao unaokupa zaidi, kubadili jina hakuna maana labda kama wao wataona wanapoteza wateja kwa kuogopa kusema ...mie napenda Tigo..wakimaanisha mtandao wa tigo . Sio kazi yetu.
  12. H

    matatizo ya meno

    sensodyne works well for sensitivity,which occur when there is gum recession...and that is not what u r explaining,not to discredit the service you got...the problem with Tz is that for whatever cadre everyone is a doctor, and for the different cadres...how one approaches a condition might...
  13. H

    matatizo ya meno

    Pole, Daktari wa hospitali gani? Tatizo lako inaelekea kuwa la fizi...waweza google..periodontal disease/periodontal conditions...na linasababishwa na bakteria waliopo kinywani. Tiba ni kumuona dentist atakae kufanyia uchunguzi na kukupa tiba ambapo mara nyingi ni kuondoa "calculus" ambayo huwa...
  14. H

    Mkulo Ignorant on DECI

    mmh sidhani kama tunaweza kumhurumia kwa hili...kwa hayo yaliyosikika tu redioni kuwa ati kidogo aingie mkenge(clouds fm) anastahili kujiuzulu kabisa. Hivi waziri wa fedha hana hata kauwezo kadogo tu kakujua kuwa kuna pyramidal schemes na hakuna uzalishaji wowote unaotokea katika hili ambao...
  15. H

    Vinyago: Vivutio kwa watalii au vinatudhalilisha watu weusi?

    Nakubaliana na wewe kuwa hivi vinyago vinavyouzwa kwa watalii katika "curio shops" vinatudhalilisha.Ila inabidi tujikumbushe imekuwaje ikafikia hapo. Wanunuzi wa hivyo vinyago wanapendelea vilivyoko sokoni na hiyo imekuwa ndio chanzo cha wachongaji kuchonga aina mbali mbali za vinyago ambazo...
  16. H

    Kitu gani kinamfikisha mtu kwenye ufanisi katika maisha

    I think it will be good for us especially in a country like Tanzania to be specific when we talk of success, I would prefer to talk of success stories which inspires, which can be told to show to the young and also the daring that there with hard work, determination and constancy of...
Back
Top Bottom