Search results

  1. MITOCHONDRIA

    #COVID19 Serikali: Chanjo ya Corona iliyoruhusiwa ni kwa wafanyakazi wa Balozi na taasisi za nje, kwa Watanzania bado hatujaamua

    Kufuatia kamati ya wataalam kutoa maoni yao juu ya mustakabli wa Tanzania kuhusu chanjo ya corona, Mh Rais ameruhusu kuingizwa kwa chanjo hizo kwa nchi za nje ambao wana watumishi wao hapa Tanzania. Huo ni mwanzo wa kuingizwa matumizi yake nchini. Nini Maoni yako kama mwananch, je upo tayari...
  2. MITOCHONDRIA

    Msamaha kwa walaka wa wazee

    Mdogo wangu, kuzaliwa wa kwanza kuna baraka zake na pia ni ushahidi wa kuona mengi. kwa uelewa wako finyu unaona nimekosea. lakini mm sio mwalimu wa kiswahili kama wewe. nahaisi unatafuta credit C ili ujiendeleze. sisi tumeshavuka huko. Labda nikupe elimu usije ukaumbuka tena. Lafudhi za...
  3. MITOCHONDRIA

    Msamaha kwa walaka wa wazee

    Mh Joseph Pombe Magufuli mutu ya watu umefanya mambo mengi sana ambayo mengine hata halaiki ilishindwa kuamini kama ungeweza kuyafanya. Umewasamehe babu seya na wenzake Umewasamehe askari waliohusika kutorosha dhahabu Umesamehe mahabusu zaid ya mia nne waliokuwa magerezani Umemrudisha kazini...
  4. MITOCHONDRIA

    Waziri wa TAMISEMI, George Simbachawene na Naibu Waziri wa Ujenzi, Edwin Ngonyani wajiuzulu

  5. MITOCHONDRIA

    Natafuta mume mwenye umri wa miaka 30 hadi 37

    Mungu atakusaidia utapata mtu unayemtfuta. Hawa wengine tayari wanao watu wa hari yako ila hawamjui.
  6. MITOCHONDRIA

    Natafuta mume mwenye umri wa miaka 30 hadi 37

    Mungu atakusaidia utapata mtu unayemtfuta. Hawa wengine tayari wanao watu wa hari yako ila hawamjui.
  7. MITOCHONDRIA

    Natafuta mume mwenye umri wa miaka 30 hadi 37

    Nakwende unaangaika na mambo yasiyokuhusu, nahisi utakuwa darasa la saba. maana ugeni au wenyeji hauna mahusiano na mada ya mtoa mada. Lakini umeshuparia sana. mnajua humu ndani unaweza kufahamika uwezo wako wa kuelewa jinsi unavyorespond mada. tuwe makini kwa hilo.
  8. MITOCHONDRIA

    Natafuta mume mwenye umri wa miaka 30 hadi 37

    Acha kudili na mambo yasiokuhusu we angalia mada weka comment zako, ukiendelea kujibizana na huyo member itabidi tuitishe cv zako. Maana tutakuwa mashaka pengine ndio wale wale wa Magufuli.
  9. MITOCHONDRIA

    Natafuta mume mwenye umri wa miaka 30 hadi 37

    Sasa ugeni au uenyeji unaingiliana vp na mada yake au ndio kusema siku hizi wageni hawaruhusiwi JF. Mbona unafambo mkubwa
  10. MITOCHONDRIA

    DART yaongeza magari ya mwendokasi barabarani

    DART ni wabadhirifu sana. wameua mfumo wa kadi kwa kuwa ni vigumu kuiba, tiketi wanaweka za kwao. Sielewi kwann serikali inawabembeleza katika hili la matumizi ya kadi. Matumizi ya kadi hayana longolongo. Nilikuwa Dar kw ajili ya masomo nilipata shida sana na huu usafiri. kuna wakati unaon bora...
  11. MITOCHONDRIA

    Natafuta mume mwenye umri wa miaka 30 hadi 37

    What do you mean by ID mpya
  12. MITOCHONDRIA

    Natafuta mume mwenye umri wa miaka 30 hadi 37

    Nimepitia, comment zote lakini sijaon hata mtu mmoja ambae ameonyesha nia ya au hitahji la huyo dada, kisa aamesema ana HIV. lakini kumbukeni hao mnaokutana nao kila siku hawajawaambia status yao. Ila mnakula mpaka chumvi. Pia Njia za kupata ukimwi zipo nyingi mfano Kuwekewa damu yenye virusi...
  13. MITOCHONDRIA

    Afisa Msaidizi wa Forodha wa TRA apandishwa kizimbani kuelezea utajiri wake usioendana na kipato chake

    Mtumishi wa umma shart uwe maskini. kama upohuko ondoka brother
  14. MITOCHONDRIA

    Kukamatwa kwa dhahabu Mwanza, GGM na ndege yao wachunguzwe

    Uzoefu wako upi wa kuvusha kama wenzio tuliowakama
  15. MITOCHONDRIA

    Kukamatwa kwa dhahabu Mwanza, GGM na ndege yao wachunguzwe

    Hakuna exaggeration, rudi kwenye periodic table ya form two. kasome heavy metal na kwa nini zinaitwa heavy metal. Mtu mzima ana wastani wa kg 70. na kwenye gari wanakaa wastani wa watu sita ni kilo ngapi hizo. acheni utoto kwenye mambo ya msingi. kama hamjui tulieni tu. Chemistry mlikimbia...
  16. MITOCHONDRIA

    COSTECH waikubali barua iliyoandikwa kwa Twaweza, wasikitika barua ya kiofisi kufika mitandaoni

    The validity and reliability is very important in any research, whatever your doing in research you have to consider, because it can give the power to generalize the findings of research, how to address it is mandatory, how does your sample size could representatives, Triangulation of data and...
  17. MITOCHONDRIA

    Waziri wa TAMISEMI, George Simbachawene na Naibu Waziri wa Ujenzi, Edwin Ngonyani wajiuzulu

    Watu wasiojulikana itakuwa walimshawishi asaini hizo document
  18. MITOCHONDRIA

    Watumishi 450 washinda rufaa ya vyeti feki, hakuna mishahara mipya

    Uwekwe mkeka mwingine wa majina yaliyopotoshwa
Back
Top Bottom