Search results

  1. M

    Barabara ya Tunduru-Songea ni mbovu sana

    Barabara kutoka Tunduru mpaka Songea ni mbovu sana. Kwa abiria wanaotalajia kusafiri na barabara hiyo wajiandae kubeba vyakula na maji ya kutosha.Kwa sababu mnaweza kukwama njiani zaidi ya siku 2,bila msaada wowote.Maeneo yanayosumbua ni kilimasera,Hulia,matemanga,mingwea na dalaja...
  2. M

    Chelsea v rubin kazan;europe league

    Leo saa 4;05 usiku kutakuwa na mechi nne za robo za kombe la Europe League, Chelsea v Rubin Kazan Tottenham v Fc Basel Benfica v Newcastle Fenerbahce v Lazio
  3. M

    Real Madrid kuikalibisha Galatasaray

    Real Madrid ya Hispania inaikalibisha Galatasaray ya Uturuki katika robo fainali ya michuano ya Uefa Champion League.Kocha wa Real Madrid,Mreno Jose Mourinho anatafuta kuweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza kuchukua kombe la Uefa mara tatu kwa timu tatu tofauti,mpaka sasa amechukua mara...
  4. M

    Leo Malaga kuikabili Bor Dortmund

    Malaga ya Hispania itaikalibisha B.Dortmund ya Ujerumani katika mfululizo wa mechi za robo fainali za Uefa Champion Ligi saa 9;45 pm
  5. M

    Mtoto hatumwi dukani leo;bayern munich vs juventus

    Leo ni leo kati ya mafahari wawili,Bayern Munich vs Juventus.Saa 10;45 usiku Ligi ya Mabingwa Robo fainali.
  6. M

    Messi aweka rekodi ligi kuu hispania

    Mchezaji wa Barcelona ya Hispania,Lionel Messi ameweka rekodi kwenye ligi kuu Hispania kwa kufunga mfululizo mechi 19.Kwa maana hiyo amezifunga timu zote 19 zinazoshiriki ligi kuu,baada ya mwishoni mwa wiki kufunga goli moja kati ya magoli mawili wakati Barcelona ilipotoka 2-2 na Celta Vigo.Du...
  7. M

    Serikari yatangaza nafasi za kazi 1,134

    Serikari kupitia Ofisi ya Raisi Sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma,inawatangazia Watanzania wenye sifa na uwezo kujaza nafasi wazi za kazi kama zilivyo katika tangazo la lugha ya kiingereza na kiswahili.Kwa mujibu wa katibu wa sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma Bw.Xavier...
  8. M

    Mesi aishiwa hewa,atapika dimbani bolivia

    Mechi kati ya Bolivia na Argentina ya kufuzu kombe la dunia,iliyochezwa nchini Bolivia katika mji wa La Paz urefu wa mita 4000 kutoka usawa wa bahari ilisababisha wachezaji wa Argentina kuishiwa hewa na wengine kutapika uwanjani.Mechi hiyo iliishia sare ya 1-1.
  9. M

    Mchina kortini kwa meno ya fisi

    Raia wa China,Xu Wenze (29) amefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Wilaya ya Mpanda akikabiliwa na tuhuma za kukamatwa na meno matatu ya fisi.Mwendesha mashitaka wa hifadhi ya wanyamapori ya mbuga ya Taifa ya Katavi,Pele Malima,alidai mbele ya hakimu mkazi Mfawidhi Chiganga Tengwa kuwa...
  10. M

    Arusha,moshi kuingia digital

    Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema inatarajia kuzima mitambo ya kurusha matangazo ya televisheni ya mfumo wa analogia katika mji wa Moshi na Jiji la Arusha ifikapo machi 31 mwaka huu.Jiji la Mbeya watazima aprili 30 mwaka huu. source;gazeti la mwananchi
  11. M

    Mawaziri ambao ni mfano kwa kizazi iki na kijacho

    Kwa serikari ya awamu ya nne ya Mheshimiwa JK toka ilipoingia madarakani mwaka 2005-mpaka sasa,mawaziri wanaoziongoza wizara zao vizuri ambao ni mfano wa kuigwa nchini ni wangapi? na wakina nani? naona kila siku ni malalamiko tu.
  12. M

    Stars gumzo,Kamati Saidia Ushindi yaja

    Wakati timu ya Taifa ya Soka Tanzania ''Taifa Stars'' ikiendelea kumwagiwa sifa kutokana na ushindi wa juzi dhidi ya Moroko,Serikari imesema itaunda kamati maalum ya kuisaidia timu hiyo ifanye vizuri katika michezo iliyosalia. swali;hizi kamati si ndo zinaongoza kwa ufisadi,mtu akiwa kwenye...
Back
Top Bottom